Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
.
Yah, kifua ninacho sema inafikia wakati inakuwa too much... Sasa umeshaelewa kilichopo nenda tena kaisome ile reply ya kwanza baada ya kuzungumza ulichonijibu.Sasa nimekuelewa kaka,ila kuna watu wapo/tupo hivyo cha msingi endelea kuwa na kifua.
Binafsi nimependa jinsi unavyojenga hoja,lakini lugha unavyoitumia kwa wenye mtazamo tofauti na wewe.
Unastahili kuitwa GT.
Kazi mnayoifanya kwenye huu uzi ni kubwa sana.
Ukipenda unaweza kuniweka pote, Itakuwa vizuri zaidi, As you wish, kwetu hakuna shida.Pro Russia wote ni nuts conspiracy theorists.
Sijaona au kukutana na Pro Russia ambaye haamini mojawapo ya conspiracy/nadharia tete zilizozagaa duniani.
Ukiacha huyu anayeamini kuna species tofauti za binadamu duniani pia Wapo wanaoamini.
1.Benki kuu zote za dunia ni za Rothschilds
2.Michele Obama ni mwanaume na wale sio watoto wake.
3.US utajairi wake ni wa kuprinti dollars tu
4.Familia ya Ufalme wa UK na watu wengine matajiri US na Ulaya ni Reptiles au mijusi.
5.Corona ni mpango wa wazungu kumaliza watu wengine,kuuza chanjo au kuwapunguza
7.Vita ya Ukraine ni mpango wa US kuidhoofisha Ulaya au kuuza silaha
6.Dunia ni tambarare
7.US walianzisha NWO ambayo ni mpango wa kishetani.
Wewe lazima utaangukia kwenye kundi mojawapo au zaidi ya moja kati ya haya na mengine mengi.
Tanzania tuna maisha mazuri, You can take a bath infinity times no authority will fine you. Wenzetu kuosha mara 2 nywele ni kosa, faini juu. There water rationing kijiji flan huko Italy. Hey buddies, walisema ni matajiri sana eh? Wazee wa vyoo vya msaada mko wapi wadau wangu.
View attachment 2276147
[emoji298][emoji298][emoji298]Italian hairdressers will be fined for double shampooing clients, writes The Guardian.
Hairdressers are required to save water because of the country's worst drought in decades. Such measures were introduced in the city of Castenazo, 10 km from Bologna.
Water rationing measures have also been introduced in other Italian cities. For example, public fountains were turned off in Milan.
Humu ni hoja tu sema watu wanachanganya na hulka zao.Uko sahihu bro, Ujue hata kutamka kua ni Pro-NATO ni katika kusitiriana, sitaki na huwa sipendi kujionesha niko kwenye sokomoko na mtu. Lengo haswa ilikuwa ni kuclear jambo lenyewe bila kum-expose mtu.
[emoji23]Kwani hayo maswali yanahusiana vipi na hii mada yetu!?
Anatupotezea muda,ye kama hajasoma form I shauri yake.
Hapa maswali yajikite kumu husu PUTIN wetu URUSI na viongozi wake na haka KA-OP kanakoendelea.
As I expected, Angekuwa first one to react kwenye comment yako. Probably atakuwa first one kureply kwenye hii comment too. You know what bro, I know each and everything that it's out of topic.
Ngoja nikupe story fupi, It's a week now. Tulitoka nje ya mjadala mimi, bro Galip Vrl na bro kisiju pwani. Tulizungumza mengi mwisho tukaamua kutokukubaliana maisha yaendelee, Hatukupeana maneno ya kashfa, up to day tunaheshimiana na kaka zangu hao.
Someone akanifata PM kuhusu ile issue tuliokuwa tunaizungumzia. Alivyonifuata kule nikaona ni busara pembezoni bila kukera wengine.
Mjadala ukaanza key terms miongoni mwazo ni hizo, mwisho wa siku tukakubaliana kukutokubaliana. So what happen? Kanibandika majina kadhaa ambayo anayatumia sana kwenye huu uzi moja wapo "Mbwiga".
Of course sio Pro-NATO ni pro-Russia na tatizo kubwa lililopo ni u-much knows, kuna watu wana kasumba hapa kwa kuona kua Pro-Russia wapo sahihi kila kitu mkipishana we ni mweupe.
Ambapo in facts kote alikuwa chaka, Yes if am wrong mtaniambia. Nawapa mifano kadhaa.
1. Akaniambia Race ni species za binadam
View attachment 2276251
🔸Infact sio kweli, we all knows kua Race na Species ni term 2 tofauti.
View attachment 2276249
2. Akadai kua kuna species za binadam ya kizungu na kiafrika na nyinginezo.
View attachment 2276257
🔸 Hapa napo akaingia chaka, we all knows kua kuna only one human species to date. Ambae ni Homo sapiens sapiens, all modern human being tupo kundi hili.
View attachment 2276272
Eti kwamba kuna Species 4 za binadam kweli????
View attachment 2276312
Hivi kweli leo hii wadau mtu asimame awaambie species za binadam ni waafrika, wazungu, Mongolian n.k mtamuelewaje?
Halafu mtu kama huyo kisa yupo upande wa Russia anajiona kama anajua kiviiile nje ya mawazo yake basi si kweli.
Yote 9 mi sikuona issue yoyote, alinipa majina kadhaa pale kama, "Mweupe" hamna kitu wewe, mara mbwiga n.k kisa nini? Kumuelewesha kua anachokifaham sio sahihi.
Ikafikia hatua ananiambia eti niende Quora nikasome, damn wadau hivi Quora na JF kuna tofauti gani? Lile ni jukwaa kama jukwaa hili la hapa any1 is free kuandika analojisikia.
Nikapuuza nikayaacha hapo hapo nikaendelea na wana hapa kwenye majadiliano ya Russia vs Ukraine
Mdau wetu katoka nayo kule kahamia kwenye thread hapa. Kila mda mtamskia oooh team mashudu. Nikavunga tu coz sipendi league na skirt. Inakaribia weak sasa halimuishi. Imekua kama uhasama hivi 😂.
Sasa leo nafungua page kadhaa hapa nakutana nalo tena, Kaanza hapo kutoa adress ya mbwiga kisha machuma chuma.
You guys mnamjua machuma chuma kua ni T14 Armata, yes Mbwiga kama hamkuelewa ni Qibsyl
Sasa em ifike hatua ukiheshimiwa jiheshim, Ukisitiriwa sitirika. Sipo hapa kuwania tuzo kwa mtu yoyote ya ujuzi. Sipo hapa kuwania Tuzi za likes wala compliment kua najua saaaana! NO
Naamini sijui kila kitu ila kamwe sitozungumza kitu nisicho na hakika nacho, ninaye mkera kuna button ya Ignore pembeni. Ani-block, Vijembe vya ******* sitaki.
Tubakini kwenye uzi, kua team flani hakutufanyi tuwe tunajua kila kitu, tuelekezane kwa adab as martured people. Na tukiamua kutoekuelewana, heshima iwepo hatufanani so tusilazimishe kufanana.
"Untouchable" & "Unbeaten"Mkuu unaonaje hili la Ukraine liingizwe kwenye mitaala ya skuli watoto wetu wajifunze ukombozi wa fikra [emoji23] with "vivid" references live kutoka Donbass ha ha ha.
Alihisi unakosoa taarifa kumbe huna habari na Taarifa yenyewe[emoji23][emoji23] yani Pro-NATO hawajiamini kabisa mkuu, hata ukimusalimia tu anaweza zani unampiga spana.
Wamekuwa kama mtu aliewahi kung'atwa na nyoka kwenye majani, kila akiguswa na jani anaruka mita mia akifikiri ni nyoka inataka kupita nae tena[emoji23]
Pro-NATO FUSO relax kuna wakati tunasalimiana tu na siyo kupigana spana.
Haa unasema ,adding mwombee njaa .Njaa ikikupata utatulia.Currently arrond 1.8m HIV affect citizen of Tz wanapata ARV yaani dawa za kufubaza ukimwi bure kutoka US through USAID kwa zaidi ya miaka 5 sasa.Dozi ya mwezi mmoja ya mtu mzima ni shs kati ya Tzs 400k to 500k kwa mwezi .Na ya watoto ni more expensive. Kuna watu wanatumia na wanatunza familia .Sasa wewe sema hatutaki msaada wakati ukibanya hata bima uliyonayo haikusaidii .Hii nimetoa mfano tu mmoja .Sasa iwe urusi au US bado dunia inategemeana you can not have everythingMimi sitaki msaada wewe ndio msaada unauona ndio jambo la kutolea mfano Kwa huyo mume wenu USA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
White House officials are losing confidence that Ukraine will ever be able to take back the land it has lost to Russia.
From CNN:
Advisers to President Joe Biden have begun debating internally how and whether Ukrainian President Volodymyr Zelensky should shift his definition of a Ukrainian "victory" — adjusting for the possibility that his country has shrunk irreversibly.
The growing pessimism comes as Biden is meeting with US allies in Europe, where he will try to convey strength and optimism about the trajectory of the war as he rallies leaders to stay committed to arming and supporting Ukraine amid the brutal fight.
The mood has shifted over the last several weeks, though, as Ukraine has struggled to repel Russia's advances in the Donbas and has suffered staggering troop losses, reaching as many as 100 soldiers per day. Ukrainian forces are also burning through their equipment and ammunition faster than the West can provide and train them on new, NATO-standard weapons systems.
A US military official and a source familiar with Western intelligence agreed it was unlikely that Ukraine would be able to mass the force necessary to reclaim all of the territory lost to Russia during the fighting
Internally, there is a sense among some in the Biden administration that Zelensky will need to start moderating expectations for what Ukrainian forces can realistically achieve.
Kule makanisani jomba wanatafutia kiki, ili kupigwe waseme Russia anashambulia Makazi na Raia.Zelensky kweli ni comedian kapewa msaada wa silaha kuzitumia ila ye kaenda kuzificha kanisan anafikiri ndio njia sahihi ya kuziokoa zisiripuliwe sasa aendelee tu kuzificha kama nguo ya skukuu zitaingia kwenye mikono ya wa Russia zikiwa bado mpya maana naamini hawezi kupata muda wa kuzitumia warusi wameshaziona akizitoa tu hapo kwenda kutafuta target sekunde hiyo hiyo atatumiwa salam za iskanders
Unajua mkuu,wewe kama binadamu kama unajitambua,hupaswi kushangilia jambo kama hili,kwa kuwa huu ni ushindi for humanitys' adversary-Satan.Western governments are representatives of Satan or the NWO, while Russia is fighting on our behalf.Acha Uzuzu mkuu,wake up.Watch this👇,labda akili itazibuka.
Kaka vita ina gharama kubwa mno kwa siku, sisi tulipigana vita miaka ya 70 lakini toka hapo uchumi ukayumba hadi leo.FUSO kama FUSO
Mbona zelenks anasema kabla ya msimu wa baridi kuanza anatarajia kuisha kwa OP.
Upande wa pili Russia katumia 18% ya nguvu zake na kasema yuko tayari kupambana na NATO wote.
Nani tajiri hapo 😃😃😃😃 kupambana ni HELA sasa kwa kuwaaibisha zaidi kasema njooni nyote maana UFALME wa duniani ni wangu.
Na kuthibitisha kwamba yeye ni mafia hakuna chawa hata mmoja aliyeriact.
Uuurrraaa.
Duh, anyway sio geni kwangu. Ila nikuombe kitu Mdogo wangu Q endelea kupanua kifua. Puuza kama ulivyoanza, ukiona jau sana hiyo Ignore button unayoizungumzia na wewe ifanyie matumizi.As I expected, Angekuwa first one to react kwenye comment yako. Probably atakuwa first one kureply kwenye hii comment too. You know what bro, I know each and everything that it's out of topic.
Ngoja nikupe story fupi, It's a week now. Tulitoka nje ya mjadala mimi, bro Galip Vrl na bro kisiju pwani. Tulizungumza mengi mwisho tukaamua kutokukubaliana maisha yaendelee, Hatukupeana maneno ya kashfa, up to day tunaheshimiana na kaka zangu hao.
Someone akanifata PM kuhusu ile issue tuliokuwa tunaizungumzia. Alivyonifuata kule nikaona ni busara pembezoni bila kukera wengine.
Mjadala ukaanza key terms miongoni mwazo ni hizo, mwisho wa siku tukakubaliana kukutokubaliana. So what happen? Kanibandika majina kadhaa ambayo anayatumia sana kwenye huu uzi moja wapo "Mbwiga".
Of course sio Pro-NATO ni pro-Russia na tatizo kubwa lililopo ni u-much knows, kuna watu wana kasumba hapa kwa kuona kua Pro-Russia wapo sahihi kila kitu mkipishana we ni mweupe.
Ambapo in facts kote alikuwa chaka, Yes if am wrong mtaniambia. Nawapa mifano kadhaa.
1. Akaniambia Race ni species za binadam
View attachment 2276251
[emoji842]Infact sio kweli, we all knows kua Race na Species ni term 2 tofauti.
View attachment 2276249
2. Akadai kua kuna species za binadam ya kizungu na kiafrika na nyinginezo.
View attachment 2276257
[emoji842] Hapa napo akaingia chaka, we all knows kua kuna only one human species to date. Ambae ni Homo sapiens sapiens, all modern human being tupo kundi hili.
View attachment 2276272
Eti kwamba kuna Species 4 za binadam kweli????
View attachment 2276312
Hivi kweli leo hii wadau mtu asimame awaambie species za binadam ni waafrika, wazungu, Mongolian n.k mtamuelewaje?
Halafu mtu kama huyo kisa yupo upande wa Russia anajiona kama anajua kiviiile nje ya mawazo yake basi si kweli.
Yote 9 mi sikuona issue yoyote, alinipa majina kadhaa pale kama, "Mweupe" hamna kitu wewe, mara mbwiga n.k kisa nini? Kumuelewesha kua anachokifaham sio sahihi.
Ikafikia hatua ananiambia eti niende Quora nikasome, damn wadau hivi Quora na JF kuna tofauti gani? Lile ni jukwaa kama jukwaa hili la hapa any1 is free kuandika analojisikia.
Nikapuuza nikayaacha hapo hapo nikaendelea na wana hapa kwenye majadiliano ya Russia vs Ukraine
Mdau wetu katoka nayo kule kahamia kwenye thread hapa. Kila mda mtamskia oooh team mashudu. Nikavunga tu coz sipendi league na skirt. Inakaribia weak sasa halimuishi. Imekua kama uhasama hivi [emoji23].
Sasa leo nafungua page kadhaa hapa nakutana nalo tena, Kaanza hapo kutoa adress ya mbwiga kisha machuma chuma.
You guys mnamjua machuma chuma kua ni T14 Armata, yes Mbwiga kama hamkuelewa ni Qibsyl
Sasa em ifike hatua ukiheshimiwa jiheshim, Ukisitiriwa sitirika. Sipo hapa kuwania tuzo kwa mtu yoyote ya ujuzi. Sipo hapa kuwania Tuzi za likes wala compliment kua najua saaaana! NO
Naamini sijui kila kitu ila kamwe sitozungumza kitu nisicho na hakika nacho, ninaye mkera kuna button ya Ignore pembeni. Ani-block, Vijembe vya ******* sitaki.
Tubakini kwenye uzi, kua team flani hakutufanyi tuwe tunajua kila kitu, tuelekezane kwa adab as martured people. Na tukiamua kutoekuelewana, heshima iwepo hatufanani so tusilazimishe kufanana.
Yah, kifua ninacho sema inafikia wakati inakuwa too much... Sasa umeshaelewa kilichopo nenda tena kaisome ile reply ya kwanza baada ya kuzungumza ulichonijibu.
Swadakta, nje ya mada uanzishwe uzi tufatane huko huko hadi kieleweke. Mie binafsi nakiri ile day tulikosea sana kuleta ule mjadala hapa. Lakini isiwe kesi muungwana akisahihishwa hutii na mie natii na kuunga mkono hoja kua nje ya mada zitengewe uzi hapa tubaki na Russia/Ukraine.Unajua hawa akina Qibsy,Jesus mlokozi,Sikirimimimasikini,Nyundo ya moto,Mathanzua,!Galip vrl,Chrome na wewe Ngaboru mnatumia muda wenu kwa faida ya wengi hasa sisi pro Russia.
Nisingependa mchoshwe hovyo hovyo tu na vijiswali nje ya mada hii kwani mna kazi ngumu ya kutuletea habari,uchambuzi na kuelimisha.
Mtu akitaka ya nje ya mada afungue uzi tumjibu.
ILA kwa kuwa kaenda PM hamna shida
Ha ha imeisha hiyo