Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unajua mkuu,wewe kama binadamu kama unajitambua,hupaswi kushangilia jambo kama hili,kwa kuwa huu ni ushindi for humanitys' adversary-Satan.Western governments are representatives of Satan or the NWO, while Russia is fighting on our behalf.Acha Uzuzu mkuu,wake up.Watch this[emoji116],labda akili itazibuka.


Atakwambia huyo mzee ni mwali wa Putin.
 
Britain may cut off gas supplies to continental Europe.

This will happen if there is a serious shortage in the country, writes the Financial Times.

Grid utility National Grid has developed an emergency plan that includes the possibility of shutting down pipelines to the Netherlands and Belgium.

According to the publication, European gas companies called on the UK to cooperate with the EU and warned that the cessation of gas supplies on its part could lead to unpleasant consequences.
View attachment 2276383View attachment 2276383
Solidarity yao iko wapi ha ha ha mbona mapema sana [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Wewe ndio uliamua kuendeleza vya chumbani mi nilishatoka huko.

Kiroho Safi au sio nikawa na like kama hatujasukutuana PM mnakumbuka ww na mwenzio si ndio mara gafla naona code zinatembea kua sijui kupuuzwa.
Sasa mimi ningetulia tuu bila kurudisha majibu.
Na najua kua mara ya mwisho niliwaambia acheni mambo ya kuchambana tokea hapo nikawa na maindi business zangu silike wala siwakot kila mtu ashinde mechi zake.

[emoji23][emoji23][emoji23]Ssa siku ya gundu ni gundu tuu kuna ubishani ulitokea wa dakika katika masilaha mm nikachukua upande yaani ni kama vita baridi kwa upande wangu sasa kumuita T14Armata yy ajui kitu ila nilitaka maoni yake ili kumkomesha Galip Vrl c ndio katika majibizano niliemuita kanijibu shit nikamuignore kitu nilichomuitia hajakifanya na sikuweza kuendeleza ligi na yy ilihali (nikasarenda) nawatemea shit nyie na chanzo n Wewe mm sikuyaleta hapa.

Hapa ni kijiwe cha kupumzikia tusichukulie vitu siriazi kiivo na kumuita machuma chumaa ni kutokana na yeye kunishit ivyo nikampa AKA afeel nilichofeel na ni baada ya kuona yameisha between mm na nyie kwa ww kulike comments zangu.

Mi pia silipwi kuchangia hapa ni sehemu ya kupumzikia watu huku ni vitu vya kawaida kuzinguana na n PM sasa Wewe kuleta jukwaani ndio unazidi kujichoresha.

Mimi mbona nimevumilia na mnanipiga spana wawili sijawayaleta hapa iyo inaonyesha kwamba hauna kifua puuza kama ulivyosema otherwise lamba jivu likate kiungulia.

Cc
Msuluhishi@mtimawachi
Duh, kumkomesha Galip Vrl ha ha ha ahya bn.
 
Swadakta, nje ya mada uanzishwe uzi tufatane huko huko hadi kieleweke. Mie binafsi nakiri ile day tulikosea sana kuleta ule mjadala hapa. Lakini isiwe kesi muungwana akisahihishwa hutii na mie natii na kuunga mkono hoja kua nje ya mada zitengewe uzi hapa tubaki na Russia/Ukraine.

Mimi ndio niliye mfata PM hapa ulikua mrefu wala sikujishughulisha nao ila nilikua msomaji na lengo langu ni dogo tuu kumtoa kwenye neno lugha kuja kwenye ubinadamu.

Sasa mm nilimmindi maana naona analeta ligi na mm sikua kilig ingekua ivyo ningeendeleza hapa jukwaani.

Kwani akibaki na anavhokielewa na mm nikibaki na changu kuna tatizo.
 
Kaka vita ina gharama kubwa mno kwa siku, sisi tulipigana vita miaka ya 70 lakini toka hapo uchumi ukayumba hadi leo.
Tena hii vita haiishii kwenye Uchumi, Mrusi aanze kujiandaa kufanya yafuatayo:-
  • Kuanzisha mashindano yake maana FIFA hatutaki kumwona sura yake
  • Kuanzisha UEFA yake maana hatutaki kumwona sura yake
  • Kuanzisha Olympic yake maaha hatutaki kumwona sura yake.
  • Michezo yote inayohusisha Umoja wa Ulaya na NATO hatutaki sura yake.

Yaani ni hivi ndugu zangu Dunia ya leo usijifanye mtemi utaumia - huwezi kujitenga na wenye nguvu wenzako, atapata madhara mengi mno huyu anayejiapiza kwamba ni mtemi wa Dunia subirini anguko lake.
Umesema kinyume chake....south America, Africa na Asia wanaweza wakaunda shirika lao la soka na kuiacha Europe na North America...
It is quite possible....na hili limeanza kujadiliwa
 
Earlier in Kremenchug along the Dnipro river bridge crossing, a Russian missile destroyed a machinery plant filled with foreign weapons and ammunition.

Russia amejiandaa na space star war ameshajaribu silaha za kudungulia satellite na za kuneutralize nuclear missile . Kwa sasa ameweka askari 100000 mpakani baada ya kubaini NATO anapanga ku invade . Jamaa amajiandaa kila engo ni amazao ama zangu . Musioijua Russia mtabaki na ishu ndogo za fulani kajiunga NATO nk hao wanaojiunga hawana cha maana katika vita isiyofuata sheria yaani vita ya kihuni hiyo ndio vita yenyewe. Russia anawajua Nato hadi utumbo visatelite vyao anavijua.

Vikosi vya star war vipo tayari na mifumo yake . Tunashabikia lakini dunia itaingia engo ngumu ghafla kwa sababu ya taifa linalopenda raha halitaki kufanya kazi ni music ushoga na drama mwishowe kuprint pesa . Halafu Wana watumwa wapo Africa wanawasapoti .
 
Haa unasema ,adding mwombee njaa .Njaa ikikupata utatulia.Currently arrond 1.8m HIV affect citizen of Tz wanapata ARV yaani dawa za kufubaza ukimwi bure kutoka US through USAID kwa zaidi ya miaka 5 sasa.Dozi ya mwezi mmoja ya mtu mzima ni shs kati ya Tzs 400k to 500k kwa mwezi .Na ya watoto ni more expensive. Kuna watu wanatumia na wanatunza familia .Sasa wewe sema hatutaki msaada wakati ukibanya hata bima uliyonayo haikusaidii .Hii nimetoa mfano tu mmoja .Sasa iwe urusi au US bado dunia inategemeana you can not have everything
Ha ha ha na mimi nitunzieni hizo ARV na hamu naaaaazo... Ukimwi wanimalizzzza dada UPOPO [emoji23]
 
Duh, kumkomesha Galip Vrl ha ha ha ahya bn.

Ni baada ya kuona mnaleta ligi maandazi ebu kuwa wazi kabisa tokea mnaambizana hajui kupuuzwa mlitgemea mm nichekelee kama mjinga.

Ulikua ujui supavaisa huwa anatafutiwa boss wake ili anmyee vizuri 😂😂😂😂.

T14 Armata yuko vizuri kwenye silaha hilo halina ubishi kuzinguana na mtu hakuondoi fact kua anaweza.

Natema nyongo
 
Mambo ni Magumu mno - Kwa maneno haya ya mkuu wa majeshi wa Uingeleza - ni balaa tupu, ni kwa asiyejua masuala ya vita na ujasusi ndiyo anaweza kubeza maneno haya.

“In all my years in uniform, I haven’t known such a clear threat to the principles of sovereignty and democracy, and the freedom to live without fear of violence, as the brutal aggression of president Putin and his expansionist ambitions,” he is expected to say.

“This is our 1937 moment. We are not at war – but must act rapidly so that we aren’t drawn into one through a failure to contain territorial expansion.

“I will do everything in my power to ensure that the British Army plays its part in averting war.”

The development came after NATO declared it would would increase its high readiness forces from 40,000 to 300,000 troops and send more heavy weaponry to Ukraine.

NATO Secretary-General Jens Stoltenberg described the move as “the biggest overhaul of our collective defence and deterrence since the Cold War”.
 
Umesema kinyume chake....south America, Africa na Asia wanaweza wakaunda shirika lao la soka na kuiacha Europe na North America...
It is quite possible....na hili limeanza kujadiliwa
sawa, sasa ya nini yote hayo ujitenge na Dunia ndugu!! hilo kombe nani ataliangalia. Nchi za Africa si za kuamini eti zitajiunga na shirikisho la Urusi.
Kwanza africa nani anaangalia ligi ya URUSI by the way !! South America hawawezi kukubali ujinga wa kujitenga na wanaojua kandanda sahau.

Wachezaji mahili wa Urusi wanaocheza Ulaya watapewa uraia ili kuendelea kucheza soka kwa viwango vya Dunia. Mrusi kayakanyaga sheikh.
 
Mimi ndio niliye mfata PM hapa ulikua mrefu wala sikujishughulisha nao ila nilikua msomaji na lengo langu ni dogo tuu kumtoa kwenye neno lugha kuja kwenye ubinadamu.

Sasa mm nilimmindi maana naona analeta ligi na mm sikua kilig ingekua ivyo ningeendeleza hapa jukwaani.

Kwani akibaki na anavhokielewa na mm nikibaki na changu kuna tatizo.
Hapana Shangazi kwanza kaandika mashudu tu, hebu achana nae huyo dogo hajielewi sawa eeh?

Samehe 7 mara 70... Mpuuze tu pimbi mmoja huyo. Maria Zakharova wetu hebu tuendelee kubaki kwenye mada. Assume ni upepo tu umepita.
 
Sasa kama Finland inajiunga NATO kwa sababu ya Ukraine kuvamiwa na Urusi na Urusi haiivamii Finland wewe unawezaje kuendelea kuamini Ukraine inavamiwa na Urusi kwa kutaka kujiunga NATO??!

Unamaanisha intelejensia ya Urusi inayosifiwa sana na wapenzi wake haikujua uvamizi wa nchi majirani isiyo NATO itasababisha nchi nyingine zisizo NATO kutaka kujiunga na NATO kwa haraka zaidi??
Kuna mawili nayaona kwnye comment zako,kutokujua kunakoletwa na kutosoma ama ubishi unaoletwa na kujua sana.
Nmeshakwambia Finland amejiunga pindi wenzie wanapigwa so vgumu Urusi kuishambulia at the same time yaishambulia Ukraine, si jambo la imani kwamba imevamiwa kwa ajili ya kutaka kujiunga NATO but fact maana mwenywe Putin aliweka hlo wazi (nmekupa link hapo usome why kashambulia hujasoma waja kuhoji hoji kwa uvivu wako wa kusoma).
Whether intelijensia ilisema ama la ila uvamizi wa Ukraine ulikuwa hauepukiki maana asingewafanya alichowafanya wangemdharau majirani wote na wangejiunga eventually maana wangemuona No Action Talking Only.
 
Earlier in Kremenchug along the Dnipro river bridge crossing, a Russian missile destroyed a machinery plant filled with foreign weapons and ammunition.

Russia amejiandaa na space star war ameshajaribu silaha za kudungulia satellite na za kuneutralize nuclear missile . Kwa sasa ameweka askari 100000 mpakani baada ya kubaini NATO anapanga ku invade . Jamaa amajiandaa kila engo ni amazao ama zangu . Musioijua Russia mtabaki na ishu ndogo za fulani kajiunga NATO nk hao wanaojiunga hawana cha maana katika vita isiyofuata sheria yaani vita ya kihuni hiyo ndio vita yenyewe. Russia anawajua Nato hadi utumbo visatelite vyao anavijua.

Vikosi vya star war vipo tayari na mifumo yake . Tunashabikia lakini dunia itaingia engo ngumu ghafla kwa sababu ya taifa linalopenda raha halitaki kufanya kazi ni music ushoga na drama mwishowe kuprint pesa . Halafu Wana watumwa wapo Africa wanawasapoti .
Kuna huyu mwamba alizungumza jambo nikacheka kinoma
Screenshot_20220629-093759-01.jpg
 
Ni baada ya kuona mnaleta ligi maandazi ebu kuwa wazi kabisa tokea mnaambizana hajui kupuuzwa mlitgemea mm nichekelee kama mjinga.

Ulikua ujui supavaisa huwa anatafutiwa boss wake ili anmyee vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

T14 Armata yuko vizuri kwenye silaha hilo halina ubishi kuzinguana na mtu hakuondoi fact kua anaweza.

Natema nyongo
Sawa shangazi we ziteme zote ziishe. Ukimaliza niambie tuendelee na mjadala wetu.
 
Hapana Shangazi kwanza kaandika mashudu tu, hebu achana nae huyo dogo hajielewi sawa eeh?

Samehe 7 mara 70... Mpuuze tu pimbi mmoja huyo. Maria Zakharova wetu hebu tuendelee kubaki kwenye mada. Assume ni upepo tu umepita.

Wala sio suala la ushindi uhalisilia ni upi? Maana kalileta hapa mimi mara zote huwa najibu mapigo rudini nyuma msome chat zenu mm sio mgomvi ila tusichokozane.
mtimawachi

Soma alafu toa itimisho mi ndio nilianza kuchokozwa pitia comment zangu tokea nilipo kukoti ndio utapata picha ili uweze kubalance mzani wako.
 
Back
Top Bottom