Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Atakwambia huyo mzee ni mwali wa Putin.
For him hakuna lililo kweli basi.Na kama unadhani sio kweli do your own research.Hiyo ndiyo logic and rationality
Russia hawezi ku fight on our behalf my dear,wangekuja kutusaidia huku kongo tuwe na amani kama kweli wanatusqidia
They can't be everywhere.Anyway nadhani akili yako wewe ni ya panzi.If they are fighting the NWO,na NWO ndio walio-recruit M23 ili watengeneze mazingira ya kuwa-ibia resources zenu,huoni kwamba they are fighting on your behalf?Acha uzuzu wewe,this is common sense,huhitaji PhD kuelewa.
 
Kaka vita ina gharama kubwa mno kwa siku, sisi tulipigana vita miaka ya 70 lakini toka hapo uchumi ukayumba hadi leo.
Tena hii vita haiishii kwenye Uchumi, Mrusi aanze kujiandaa kufanya yafuatayo:-
  • Kuanzisha mashindano yake maana FIFA hatutaki kumwona sura yake
  • Kuanzisha UEFA yake maana hatutaki kumwona sura yake
  • Kuanzisha Olympic yake maaha hatutaki kumwona sura yake.
  • Michezo yote inayohusisha Umoja wa Ulaya na NATO hatutaki sura yake.

Yaani ni hivi ndugu zangu Dunia ya leo usijifanye mtemi utaumia - huwezi kujitenga na wenye nguvu wenzako, atapata madhara mengi mno huyu anayejiapiza kwamba ni mtemi wa Dunia subirini anguko lake.
Usifikiri urusi ni fala. Kuondolewa vikwazo na mazuio huko sijui fifa, uefa nk. ni hatua inayofuata baada ya OP.

Muhimu ni operesheni ikamilike ss hv na malengo yatimie alafu hatua za kuhakikisha vikwazo, mzuio makatazo nayo yanaondolewa ndio zitachukuliwa. Kila jambo na wakati wake.

Sasa hivi ameshaanza kutishia ili ahusike kwenye kilimo na chakula (mbolea na grains) ni lazima kwanza wamuondolee vikwazo. Kwa hali ya sasa ya dunia na hatari ya kukumbwa na njaa Urusi ni muhimu sana kuepusha hatari hiyo.
*** Putin said Russia "is ready to make a significant contribution to overcoming the food crisis through the export of grain and fertilizers, provided that politically motivated restrictions from the West are lifted." He didn't say if the exports would be from Russia or Ukraine.
 
For him hakuna lililo kweli basi.Na kama unadhani sio kweli do your own research.Hiyo ndiyo logic and rationality.

Mkuu Logic kwenye vichwa vyetu ina RB, tupo namna walivyotaka tue. Sio bahati mbaya najua walijua hilo jomba.

Kizazi chetu kimeanza kupikwa kitambo hivi sasa kimekwiva tayari kipo mezani. Si wajua jomba 'Ugali' hauwezi kurudi kua 'mahindi' labda kwa miracle.

So wenzetu hayo ni maisha waliyochagua na wanaona yako sawa hayana tatizo. Sie kuwaeleza jambo wanaona kama tunawaonea gere.

Tuleteeni vitu mkuu, atakayeelewa ataelewa na asiye elewa basi.
 
Putin rusha kitu juu ya hii Military base ya US ipo Poland tu.

WASHINGTON —
The first American troops arrived in Poland Saturday to reinforce NATO allies in Eastern Europe, Poland’s Defense Ministry said, amid fears Russia may invade neighboring Ukraine.

View attachment 2276494

View attachment 2276498
Pole sana - hatarusha. Wala hapa poland wala huko Lithuania. Maana jeshi lake tayari linashindwa kumaliza Ukraine yenye silaha za kale kutoka urusi. Anajua vema hana uwezo dhidi ya majeshi ya NATO. Hivyo atapiga kelele hapa na pale, kuonyesha kombora hapa na pale - menginevyo hatafanya kitu.
 
sawa, sasa ya nini yote hayo ujitenge na Dunia ndugu!! hilo kombe nani ataliangalia. Nchi za Africa si za kuamini eti zitajiunga na shirikisho la Urusi.
Kwanza africa nani anaangalia ligi ya URUSI by the way !! South America hawawezi kukubali ujinga wa kujitenga na wanaojua kandanda sahau.

Wachezaji mahili wa Urusi wanaocheza Ulaya watapewa uraia ili kuendelea kucheza soka kwa viwango vya Dunia. Mrusi kayakanyaga sheikh.
Unadhani hivyo!! Sawa...endelea kufikiri hivyo hivyo Ndugu yangu....
Lakini wazungu wana hofu na Mambo mengi mno....uliwahi kufikiri ikiwa Europe inyimwe kahawa, chai, pamba, almasi, dhahabu na madini mengine mengi Hali itakuwaje?! Yaani Europe ibaki na makaa ya mawe tu ....Afrika, South America na Asia ziache kufanya biashara na Europe unafikiri Hali itakuwaje?! And you think that is not possible?!
 
Hivi nyie watu mnashida gani? Mmepewa ngoma hawataki kuwapa dawa waendelee kuwapiga kwenye ARV na mnacheka tu.

Mimi ningekua Rais nitasaidia wale watoto waliopata kwa bahati mbaya either ajali au kuzaliwa nao ila kama unafanya ngono zembe sahau kuhusu ARV utajihudumia. Utaone jinsi watu watakavyo nyooka kama hawatakua makini na ngono kuna vitu Africa tunajiendekeza tu.
Mkuu ukisema ungetoa ARV kwa watoto pekee je ni haki? Kumbuka wakinamama ambao hawakuenda nje ya ndoa hata mara 1 lakini bwana alijipatia HIV kwa siri na kumpa mkewe. Vipi huyu hastahili? Tena ukipenda kuhurumia watoto - je itasaidia nini ukikubali wazazi wafe tu? Nani ataangalia watoto?
Huoni afadhali wimbi la HIV limedhibitiwa kwa madawa hayo ili tupate muda kwa kuelimisha umma na kubadilisha tabia bila familia na uchumi kuporomoka?
 
Mpaka leo bado huelewei kwa nini Wachezaji wa South America, Asia na Africa wanataka kucheza na kuonekana Liverpool, Barcelona, PSG, Madrid, Chelsea, Manchester kwenye UEFA??
Umesema kinyume chake....south America, Africa na Asia wanaweza wakaunda shirika lao la soka na kuiacha Europe na North America...
It is quite possible....na hili limeanza kujadiliwa
 
1.Kwa hiyo Tutegemee Putin akimaliza uvamizi wake Ukraine ataenda kuivamia Finland pia?

2.Kama Tatizo ni kujiunga NATO mbona Estonia na Latvia ziko mpakani mwa Russia na ziko NATO ? Mbona Uturuki inayopakana naye Black Sea iko NATO na hizo nchi zote hazikuvamiwa au fact yako ina apply kwa Ukraine tu?

Ikiwa Russia inamiliki silaha nyingi zaidi za nyuklia na makombora yanayoweza kufika popote duniani Putin anaposema Ukraine ni tishio la usalama kwa Russia anamaanisha nini? Kwamba NATO wangeitumia Ukraine kuteka nuclear sites na jeshi la Russia?

Kwa hiyo unafikiri kwa sababu Putin amesema tu uvamizi wake ni kuwaondoa wanazi pia hiyo inakuwa fact?

3.Majirani wa Urusi kama China, Korea Kaskazini, Belarus, Kazakhstan wangejiunga na Urusi kwa sababu zipi?

4.Baada ya vita kuisha ni sababu gani zitakazoizuia Ukraine kutaka kujiunga NATO tena?
Kuna mawili nayaona kwnye comment zako,kutokujua kunakoletwa na kutosoma ama ubishi unaoletwa na kujua sana.
Nmeshakwambia Finland amejiunga pindi wenzie wanapigwa so vgumu Urusi kuishambulia at the same time yaishambulia Ukraine, si jambo la imani kwamba imevamiwa kwa ajili ya kutaka kujiunga NATO but fact maana mwenywe Putin aliweka hlo wazi (nmekupa link hapo usome why kashambulia hujasoma waja kuhoji hoji kwa uvivu wako wa kusoma).
Whether intelijensia ilisema ama la ila uvamizi wa Ukraine ulikuwa hauepukiki maana asingewafanya alichowafanya wangemdharau majirani wote na wangejiunga eventually maana wangemuona No Action Talking Only.
 
Donetsk na Luhansik zisitambulike kama sehemu ya NATO kwani Ukraine ni sehemu ya NATO?

Hadi majeshi ya Putin yanaivamia Ukraine majeshi ya manazi wa Ukraine yalikuwa yameua raia wangapi?

Biolabs ngapi zimepatikana Ukraine tangu uvamizi uanze?
☆ Donetsik na luhansik yatambulike kama majimbo huru na siyo kama sehemu ya NATO na jeshi la manazi ya Ukraine kutest dhana zao za kijeshi na kuua wakazi hovyo

☆Ukraine isitishe mara moja ushirika wake wa kijeshi na NATO (mazoezi, Mafunzo na silaha za kijeshi za NATO) kwa usalama wa mipaka ya russia na watu wake.

☆Ukraine isijiunge NATO.

☆No USA biolabs in Ukraine.

☆Ukraine iache mara moja kuwatumia manazi na mabandera kuwatesa na kuwaua waukraine wenye asili ya Urusi.

Mwisho kilichoiponza zaidi Ukraine nikujifanya kama anaiweza Russia hadi akaona njia rahis ya kumaliza mgogoro wao ni Vita, kwa kutangaza Rasmi Vita dhidi ya Urusi, ndo hapo Russia akatumia msemo wa wahenga wa "MTOTO AKILILIA WEMBE MPE UKIMKATA SHAURI YAKE"

Sema kwa vile Putin nikama mzazi kwa Ukraine akaamru Vikosi vyake visiende kupigana Vita kama Zelensky alivo amru bali vikaendeshe special millitary operation tu. Maana siyo vizuri mtoto kumuadhibu kama adui.
 
Unateseka ukiwa wapi??
Hahahahaha anapata tabu sana
Unajua mkuu,wewe kama binadamu kama unajitambua,hupaswi kushangilia jambo kama hili,kwa kuwa huu ni ushindi for humanitys' adversary-Satan.Western governments are representatives of Satan or the NWO, while Russia is fighting on our behalf.Acha Uzuzu mkuu,wake up.Watch this👇,labda akili itazibuka.



Ahsante sana kwa video
Nalog off Z
 
Miaka 355 iliyopita ni 1667, Russia walikuwa wanatengeneza meli zao. Hii ni karne 1 zaidi kabla taifa lenye jina la "United Shit State of America" a.k.a big Gay oh sorry big Boy halijapata uhuru wake mnamo 1776, Hear these out from Medvedev the bear 🐻.

Medvedev ⚡Today, the Russian branch of state shipbuilding is 355 years old. Largely thanks to the work and achievements of shipbuilders, our country has become a strong and independent power, which occupies a leading position in the world.

Despite any difficulties and unprecedented external pressure.
The successes of domestic shipbuilding prove that we cannot be blocked or stopped. There are many strategically important orders and projects ahead.

New platforms and icebreakers, ships and installations will appear. Our shipbuilders will continue to make a major contribution to strengthening the security of the state, its socio-economic development."

  
So In term of ship building, Russia ni 1 Century ahead of US au nimezungumza kishabiki wadau 😂🥱.
 
.
Screenshot_20220629-184701.jpg
 
Now when I posted about Russian military Success and Crushed Azov Battalion, The Facebook said my post Goes against Community standards. Now any Facebook Controller Read this very Slowly and Understand. I AS WALTER SHALL SUPPORT RUSSIA TILL DEATH DO PART ME. And that I WON'T fear to be banned. I am HAPPIER without FACEBOOK. I have said it. You can do what you want !
@Yericko Nyerere inakuhusu hii MKUU maana muda sio mwingi kupitia zile apdet zako unazotupatia unaenda kula BAN
hao wapuuzi wa fb wanajifanya wanaheshimu maoni ya watu ila wamekua wahovyo sanaaa
Kuna page kama tatu huko nlikua nazifuatilia moja walikua wanairipot kama wanavyomripot ndugu Yericko Nyerere mwisho wakampiga ban wakampoteza
Kuna mmoja yule wamempoteza kabisa simuoni hata
Na kuna mwengne kuna post wanazileta wanavyojisikia wao
Ila yote kwayote inaonesha OP yetu inaenda vyema zaidi ya inavyotangazwa ndio maana upande ule wanatunyima habari
Ila TAIFA TEULE LA RUSSIA LINATUHESHIMISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom