Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Biden anajitutumua akiwa kwenye handaki kwa uwoga
Screenshot_20220629-192359.jpg
 
Putin rusha kitu juu ya hii Military base ya US ipo Poland tu.

WASHINGTON —
The first American troops arrived in Poland Saturday to reinforce NATO allies in Eastern Europe, Poland’s Defense Ministry said, amid fears Russia may invade neighboring Ukraine.

View attachment 2276494

View attachment 2276498
Mbona wao hawaingii kuisadia Ukraine waone
 
Pamoja na mbwembwe zote za kutumia Cruise missiles kwa raia,Kichapo kwa Warusi toka kwa Ukraine pia kinaendelea🤔
Recent updates as of 29.06 👇
1656519898822.jpg
 
Unajua,unaposambaza taarifa iulize maswali!Do not just do it.
1.Una hakika gani kwamba ile iliyo kuwa hit by a missile ilikuwa Shopping Mall? Inawezekana iliyokuwa hit ni ammunition Depot kweli,ila Shopping Mall kwa kuwa ilikuwa karibu ika shika moto,hiyo ni bahati mbaya.Kwenye vita that happens,infact the Americans should not complain,they are even worse.
2.Utasema sijui wameonyesha racks na machupa.How do you know that photo is authentic,je kama ni picha ya some other place?
3.The Ukraine Army sasa wanaficha silaha everywhere,so the shopping mall could have hidden weapons,and the Russians knew it.So in that case they are justified to hit the shopping mall.

Mkuu hivi mpaka leo hujawaelewa the western,they are outright liers,and their journalists are trained to cheat!
Nilikuwa naangalia live footage kupitia Russia today documentary tv ni kama 100m hivi kutoka walipotarget na hiyo mall kubalance story lazima uwe na vyanzo vyote viwili uzuri channels za Russia huku zinafika na wamagharibi pia na ni bure kama hiyo Russia documentary ipo nss12 57° free wanaweka mpaka live footage
Frequency 11105h 45010
 
Dah ila shangazi me sio mvumilivu ujue?

Em msemo wake ukisitiriwa sitirika. Unataka uambiwe uhalisia nikae upande wa Q useme unachangiwa au? Kwanza umechokozwa na nani? Na ili iweje? Au huyo Armata uliyemkimbilia kumleta hapa unikomeshe, then what?

Halafu ajabu hata aibu huna unajisema wazi eti oooh nikamuita T14 Armata nimkomeshe Galip Vrl, He he he yani mie nikomeshwe na wewe hapo??? Duh

Una try hard kuniingiza kwenye hiyo issue ila tambua mie sio Q mwenye brake ya maneno. Kwanza alifanya hekima sana kutumia tafsida ya "Pro-NATO" kukuficha ukayapuyanga mwenyewe ikabidi aliweke wazi.

Heshima ni kitu cha bure. Ukiheshimiwa basi heshimika. Niliwahi kusema nyuma huko kua sitokaa nimu-attack pro Russia yoyote hapa no matter what ila unani-force.

We kadada em sikia, ukikereka sana tutie kwenye Ignore list. Na najizuia kwasababu ya jinsia yako. Otherwise ungekuwa ushafika kwenye uongozi wa JF kitaambo.

Tutie kwenye ignore list alafu unasema unachanganywa ivii unajisikiliza kabla ya kuandika.

Hayo mashudu aliemleta machuma machumaa ni nani ?katika huu mvurugano mimi na ugomvi nae kivyangu ila Patna wako kamchanganya kutafuta huruma niache kumuongelea ntalisemea wap wakati partner wako kalianzisha.

Msivyojitambua mipaka yenu mnakusanya kila kitu.

😂😂😂😂😂😂 Mambo ya chumbani mmeleta sebleni na kuhusu T14Armata nilizungumzia hapahapa nani wa kupimwa IQ.

Ndio Maana nawaita mashudu sio bahati mbaya.

Sheria za JF haziruhusu kutoa mambo binafsi kuyaleta kwenye uwazi ndio Maana ya Private massage (PM)

Sasa kama mmejulia social network uzeeni sio kosa langu am sorry mjombaaaa.
 
[emoji779]️18+ Большое количество украинских «захистников» в лесопосадке вокруг котла Горское-Золотое не пережило встречу с российскими десантниками. Шевроны дивизии СС «Галичина» в наличии.

Воин ВСУ, у тебя есть альтернатива. Надо просто сложить оружие и прекратить бессмысленное сопротивление.
Sahih[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Waanze kwanza Pro Russia waliojazana balozi za US na EU wakisubiria maombi yao ya Visa.
Waukrein waubungo katoni msaada mstari wa mbele acjheni kelele wenzenu wanakwisha huku
 
Nilikuwa naangalia live footage kupitia Russia today documentary tv ni kama 100m hivi kutoka walipotarget na hiyo mall kubalance story lazima uwe na vyanzo vyote viwili uzuri channels za Russia huku zinafika na wamagharibi pia na ni bure kama hiyo Russia documentary ipo nss12 57° free wanaweka mpaka live footage
Frequency 11105h 45010
Watu wengi ufahamu wao ni mdogo sana mkuu,they believe everything they here from the Mainstream Media,which is fake news.Mimi taarifa zangu zote napata mostly from the Independent Media.Mara chache sana naangalia Mainstream Media, taarifa zao nazichukulia kama fake news.RT mimi siipata on normal TV channels,for obvious reasons:Cable TV in Tanzania is owned by NWO morons and stooges.Naingaliaga kwenye smart phone yangu.It's a little bit balanced.
 
Dah ila shangazi me sio mvumilivu ujue?

Em msemo wake ukisitiriwa sitirika. Unataka uambiwe uhalisia nikae upande wa Q useme unachangiwa au? Kwanza umechokozwa na nani? Na ili iweje? Au huyo Armata uliyemkimbilia kumleta hapa unikomeshe, then what?

Halafu ajabu hata aibu huna unajisema wazi eti oooh nikamuita T14 Armata nimkomeshe Galip Vrl, He he he yani mie nikomeshwe na wewe hapo??? Duh

Una try hard kuniingiza kwenye hiyo issue ila tambua mie sio Q mwenye brake ya maneno. Kwanza alifanya hekima sana kutumia tafsida ya "Pro-NATO" kukuficha ukayapuyanga mwenyewe ikabidi aliweke wazi.

Heshima ni kitu cha bure. Ukiheshimiwa basi heshimika. Niliwahi kusema nyuma huko kua sitokaa nimu-attack pro Russia yoyote hapa no matter what ila unani-force.

We kadada em sikia, ukikereka sana tutie kwenye Ignore list. Na najizuia kwasababu ya jinsia yako. Otherwise ungekuwa ushafika kwenye uongozi wa JF kitaambo.
Kaficha nini na nyie mligunduaje kua nawaita mashudu na ulijibu nini na Wewe unamuambia haijaisha tuu kama sio misuguano inaendelea kimyakya and hakuna alinotes ni sisi watatu tuu.

Au ndio kujificha kwenye shamba la karanga.

Huna cha kushtaki sanasana ni mimi nishtaki kwa kuanika privacy yangu.

Sema huo muda sina na kuhusu kuignore huna haja ya kuniambia just bonyeza button imeisha.
 
Utakuwa umeshindwa kuelewa tu US ya mwaka 1667 ilikuwa sehemu ya UK ambayo ilikuwa na jeshi lenye nguvu zaidi la maji kipindi hicho

Pia utakuwa umewaacha kwa makusudi au uwafahamu Wareno na Historia ya mtu kama Ferdinand Magellan aliyezunguka dunia kwa meli miaka ya 1500, Vasco Da Gama,
Waingereza kama Francis Drake.

Wakati Medvedev anajisifia Urusi kutengeneza Meli karne ya 17 wenzake Wareno, Waingereza na Wahispania walikuwa wanaizunguka dunia kwa bahari tangu karne ya 15.
Labda ni kweli sijaelewa but nina hakika na wewe hujaelewa. Uliyoyasema kuhusu Medvedev hajazungumza hata kimoja. Maelezo ya Medvedev yako bolded, hakuna mahala alipojisifia wao kutengeneza meli miaka ya 1667 wala hakuna sehemu aliyojilinganisha na taifa lolote. Hilo Mosi,

Pili, Maneno ambayo hayapo bolded ni ya kwangu mwenyewe, hakuna sehem niliyoitaja UK, wala Ureno wala nini.

Tatu, Kama kauli ya kukurupuka ni mbaya kukupea basi nisamehe, kilichopo ni kama umekurupuka. Kwanini? Ni kwamba leo kampuni X ya serikali ikianza kutengeneza vitenge. Miaka 55 baadae wakiazimisha hilo haina maana kua itakuwa ni miaka 55 tangu waanze kutengeneza vitenge.

Nne, Hiyo state department inatimiza miaka 355 sasa, Ukirudi nyuma unakuta ilianzishwa 1667. Umekiri wakati huo hakukua na taifa linaitwa US bali koloni la UK ambalo lilikuwa na jina tofauti kabisa na hili la leo. Of course its just like hapa Tanzania, 1961 hakukuwa na Taifa linaitwa Tanzania bali Tanganyika.

So you can't deny the fact that hiyo state ship building ipo in existence century ahead kabla ya taifa linaloitwa United State of LGBTQA+ kujulikana kwenye raman za dunia.

So ushabiki uendelee mdau 😂
 
Watu wengi ufahamu wao ni mdogo sana mkuu,they believe everything they here from the Mainstream Media,which is fake news.Mimi taarifa zangu zote napata mostly from the Independent Media.Mara chache sana naangalia Mainstream Media, taarifa zao nazichukulia kama fake news.RT mimi siipata on normal TV channels,for obvious reasons:Cable TV in Tanzania is owned by NWO morons and stooges.Naingaliaga kwenye smart phone yangu.It's a little bit balanced.
Lakini Mkuu, kuzitizama hizo media si vibaya, nahisi kibaya ni kuamini kila kinachozungumzwa kwenye hizo media, Kuwe na chujio za hizo taarifa. Sio kuzibeba bila kuzitafakari uhakika wake.
 
Independent media zako ni zipi?

Halafu RT ina tofauti gani na TBC?

Watu wengi ufahamu wao ni mdogo sana mkuu,they believe everything they here from the Mainstream Media,which is fake news.Mimi taarifa zangu zote napata mostly from the Independent Media.Mara chache sana naangalia Mainstream Media, taarifa zao nazichukulia kama fake news.RT mimi siipata on normal TV channels,for obvious reasons:Cable TV in Tanzania is owned by NWO morons and stooges.Naingaliaga kwenye smart phone yangu.It's a little bit balanced.
 
Putin 🌀 It is world in which there is one master, one sovereign. And at the end of the day this is pernicious not only for all those within this system, but also for the sovereign itself because it destroys itself from within.

And this certainly has nothing in common with democracy. Because, as you know, democracy is the power of the majority in light of the interests and opinions of the minority.

Incidentally, Russia – we – are constantly being taught about democracy. But for some reason those who teach us do not want to learn themselves.
Ilipoishia jana kwenye speech ya 2007 ya Mzee Putin.

Putin 🌀 I consider that the unipolar model is not only unacceptable but also impossible in today’s world. And this is not only because if there was individual leadership in today’s – and precisely in today’s – world, then the military, political and economic resources would not suffice.

What is even more important is that the model itself is flawed because at its basis there is and can be no moral foundations for modern civilisation.

Along with this, what is happening in today’s world – and we just started to discuss this – is a tentative to introduce precisely this concept into international affairs, the concept of a unipolar world.
 
Putin 🌀 And with which results?

Unilateral and frequently illegitimate actions have not resolved any problems. Moreover, they have caused new human tragedies and created new centres of tension.

Judge for yourselves: wars as well as local and regional conflicts have not diminished. Mr Teltschik mentioned this very gently. And no less people perish in these conflicts – even more are dying than before. Significantly more, significantly more!
 
Back
Top Bottom