Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Historia ya State Department inaanza mwaka 1775 The Committee of Secret Correspondence, iliitwa rasmi State department mwaka 1789 ni miaka 247 au 233 ukiamua kuchagua kati ya hiyo miaka miwli. Kusingewezekana kuwa na State department katika miaka ya 1666 ambayo ni karibia miaka 100 kabla harakati za uhuru hazijaanza.
Labda ni kweli sijaelewa but nina hakika na wewe hujaelewa. Uliyoyasema kuhusu Medvedev hajazungumza hata kimoja. Maelezo ya Medvedev yako bolded, hakuna mahala alipojisifia wao kutengeneza meli miaka ya 1667 wala hakuna sehemu aliyojilinganisha na taifa lolote. Hilo Mosi,
Pili, Maneno ambayo hayapo bolded ni ya kwangu mwenyewe, hakuna sehem niliyoitaja UK, wala Ureno wala nini.
Tatu, Kama kauli ya kukurupuka ni mbaya kukupea basi nisamehe, kilichopo ni kama umekurupuka. Kwanini? Ni kwamba leo kampuni X ya serikali ikianza kutengeneza vitenge. Miaka 55 baadae wakiazimisha hilo haina maana kua itakuwa ni miaka 55 tangu waanze kutengeneza vitenge.
Nne, Hiyo state department inatimiza miaka 355 sasa, Ukirudi nyuma unakuta ilianzishwa 1667. Umekiri wakati huo hakukua na taifa linaitwa US bali koloni la UK ambalo lilikuwa na jina tofauti kabisa na hili la leo. Of course its just like hapa Tanzania, 1961 hakukuwa na Taifa linaitwa Tanzania bali Tanganyika.
So you can't deny the fact that hiyo state ship building ipo in existence century ahead kabla ya taifa linaloitwa United State of LGBTQA+ kujulikana kwenye raman za dunia.
So ushabiki uendelee mdau [emoji23]