Mr Tyang
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 1,727
- 6,807
Well said mwamba, binafsi nikiona swali au mjadala unao toka nje ya mambo ya hii operation, huwa naishia kupita kimya hata kama mtu kanitag. Ila kama mtu akiuliza swali linalohusiana na maudhui ya huu uzi, nitajitahidi tueleweshane vizuri kwa kadili ya uwezo wetu. tena wengine huleta swali, mada au mjadala kwa lengo la kutaka tu kubishana na siyo kueleweshana.Swadakta, nje ya mada uanzishwe uzi tufatane huko huko hadi kieleweke. Mie binafsi nakiri ile day tulikosea sana kuleta ule mjadala hapa. Lakini isiwe kesi muungwana akisahihishwa hutii na mie natii na kuunga mkono hoja kua nje ya mada zitengewe uzi hapa tubaki na Russia/Ukraine.
Wakuu kwajinsi mvua za Iskanders na clusters zinavyozidi kunyesha vile plus vikao vya EU, NATO, G7, BRICS na nk, sidhani kama tumeishiwa ya kujadili kivile hadi tuanze ligi za mada zingine. Jf ina majukwaa mengi sana, weka uzi wako jukwaa husika, tutatoa michango yetu kama Galip Vrl alivyoeleza hapo juu.
Nilifurahi sana juzi kati kuona Mwamba mmoja anasema anahisi kama haiwezekani supersonic na hypersonic missiles kuwa na speed kubwa kuliko mawimbi ya sauti na akaenda mbali zaidi kwa kusema tunajifariji tu[emoji23][emoji23] [emoji23]
Ila naamini alijifunza na kuelewa vizuri kutokana na michango yetu wadau juu ya hisia zake, kwasababu hisia zake zilikuwa ndani ya mada mama.
KWENYE HUU UZI UKIJA VIZURI KUNA WALIMU WAZURI SANA, HONGERENI SANA WAKUU KWA MADINI YENU.