Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyuu jamaa ni takataka! Hana analojua ubongo wako uko na funza kibao..africa kwel wajinga ni wengi sana.
Mpingane kwa hoja si kwa matusi na dharau. Huyu unayemtukana akishindwa kuchangia utapingana na nani kwa hoja. Kumbuka tupo kwa sababu tunapenda kutoa hoja pingani. Leo humu wakibaki wa upande mmoja kutaboa.

Tufanye mjadala kwa staha. Ukiudhika jilinde, onya, shitaki, karipia na mlinde na mwenzako pia. Wote ni waafrika na tuko hapa kujadili, kuelimishana, kufurahi, kupoteza muda na kujumuika kwa njia nyinginezo.

Barikiwa.
 
Umenena vyema sana Mjomba!
 
Putin 🌀 "Therefore. It is well known that international security comprises much more than issues relating to military and political stability.

It involves the stability of the global economy, overcoming poverty, economic security and developing a dialogue between civilisations.

This universal, indivisible character of security is expressed as the basic principle that “security for one is security for all”.

As Franklin D. Roosevelt said during the first few days that the Second World War was breaking out: “When peace has been broken anywhere, the peace of all countries everywhere is in danger.”
Putin 🌀 These words remain topical today. Incidentally, the theme of our conference – global crises, global responsibility – exemplifies this.

Only two decades ago the world was ideologically and economically divided and it was the huge strategic potential of two superpowers that ensured global security.

This global stand-off pushed the sharpest economic and social problems to the margins of the international community’s and the world’s agenda.

And, just like any war, the Cold War left us with live ammunition, figuratively speaking. I am referring to ideological stereotypes, double standards and other typical aspects of Cold War bloc thinking."
 
Putin 🌀 "The unipolar world that had been proposed after the Cold War did not take place either.

The history of humanity certainly has gone through unipolar periods and seen aspirations to world supremacy. And what hasn’t happened in world history?

However, what is a unipolar world? However one might embellish this term, at the end of the day it refers to one type of situation, namely one centre of authority, one centre of force, one centre of decision-making.
 
Ni wazee sema njaa zimeathiri namna ya ufikiri wao no excuse.

Niliangaliaga clip flan youtube vijana wakiafrica waliitwa kufanya mjadala wa ubaguzi wa rangi america.

Ivyo walikusanywa vijana kadhaa kutoka Africa nchi tofauti tofauti kutoka kujadili apo USA 1917 na walikua wana umri Kati ya 14-17 aiseee Africa waliishi watu ni point juu ya points imagine huo umri.

Sasa jiulize hapa kuna watu wa umri gani na wanatoa mashudu ganii?

Ndio ujue kua utashi hauna mahusiano yoyote na umri wa mtu.
Ndugu kizazi cha saa hizi wanakua tu nywele akili zimedumaaa

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Putin [emoji302] "The unipolar world that had been proposed after the Cold War did not take place either.

The history of humanity certainly has gone through unipolar periods and seen aspirations to world supremacy. And what hasn’t happened in world history?

However, what is a unipolar world? However one might embellish this term, at the end of the day it refers to one type of situation, namely one centre of authority, one centre of force, one centre of decision-making.
Q hiyo speech ndefu mno mdogo wangu, labda ungeiwekea uzi pembeni. Hapa muingiliano wa text zingine ngumu kuing'amua vyedi kila nukta unless uikusanye yote uipost mfululizo....

Ila hapa unasoma moko, zinaingia text zingine... Ndio uikute mbele mtu unakuwa ushapoteana uliishia wapi.
 
Putin 🌀 "The unipolar world that had been proposed after the Cold War did not take place either.

The history of humanity certainly has gone through unipolar periods and seen aspirations to world supremacy. And what hasn’t happened in world history?

However, what is a unipolar world? However one might embellish this term, at the end of the day it refers to one type of situation, namely one centre of authority, one centre of force, one centre of decision-making.
Putin 🌀 It is world in which there is one master, one sovereign. And at the end of the day this is pernicious not only for all those within this system, but also for the sovereign itself because it destroys itself from within.

And this certainly has nothing in common with democracy. Because, as you know, democracy is the power of the majority in light of the interests and opinions of the minority.

Incidentally, Russia – we – are constantly being taught about democracy. But for some reason those who teach us do not want to learn themselves.
 
Pamoja na kwamba nimekuziba macho. Umeona au hujaona. Kama hujaona unataka tuseme nini? Kwamba umeona?

Venezuela ndio wataamua wauze mafuta au wasiuze wabaki nayo. Unashupaza shingo hapa na utashangaa wanakugeuka wanayauza. Russia huyu huyu aliiuzia Marekani eneo la Alaska, leo mbona wanatishana
Umeniziba macho ntaonaje!!?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau kama kusoma subtitle itawapa tabu, nitaawaandikia kidogo kidogo. Speech nzima!

Hii speech ina vitu vingi vya muhimu, itawapa taswira mpya ya yanayoendelea leo. Itawapa fikra za ziada za kuwaelezea kwanini Putin ni adui wa West Elites.

Jipeni mda wa kuitazama video au kusoma kila sentence nitakayoileta.

Karibuni.
Usisahau kunitag MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka 50 mbele inakuaje si watavunwa (utumwa)kama mababu zao.
Nafuu babu zao walipigana dhidi ya utumwa hadi wengime kujitosa baharini shida kizazi cha sasa wanajipeleka wenyewe utumwani yaan wapo radhi hata kumuua mtu anayewasaidia wasiende utumwani...mkuu ogopa sana kitu inaitwa institutional slavery maana kwa sasa watu ni watumwa ila hawajui kuwa ni watumwa

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Kuhusu USD mjomba mimi naona inatakiwa ikufe tu, kuendelea kua in high demand ndiko kunakompa mwanya US aendelee na karakasha lake la ku-print kila mwaka.

Ona mjomba, sidhani kama nchi zingine zitaangamia. Ni kweli nchi nyingi zimehifadhi reserve zao katika dollar, Euro, Sterling Pound n.k, Pia zipo nchi ambazo wame-peg fedha zao kwa hizo stable currecy kama Euro na Dollar.

Huu ni uhuni waliofanya wenzetu, kutushikiza vijibom ili in case vikilipuka basi tulipuke wote, so inapelekea USD ni currency ya Taifa lingine ila na sisi huku uchochoroni kutoka taifa lingine tunakomaa kuitetea na kuilinda kuliko fedha zetu wenyewe.

As far as I know, Central Banks hutunza au kuweka akiba zao kwenye "Values", wakiona zinashuka thamani wataz-dump chap tu kwa exchange ya vingine vinavyoweza kutunza thamani.

US dollar zile karatasi tu mjomba, na wao wanajua. Ila ndio washageuza mataifa mengine majalala. Mjomba US anaprint dollars ila hakai nazo kihiiivo. Katika nchi zinazoongoza kwa kua na Largest Gold Reserves ni yeye.

1. US tani 8.1k
2. Germany tani 3.3k
3. France tani 2.5k
4. Italy tani 2.4k
5. Russia tani 2.3k
6. China tank 1.9k
7. Switzerland tani 1.1k
8. Japan tani 846
9. India tani 754
10. Netherlands tani 612.

Hii list ya Top tena utaona US kachimbia kibindoni dhahab nyingi kuliko wa pili, wa tatu na wa4 kwenye list Combined.

Kwenye hio list nchi ya10, Netherlands. US kaweka kibindoni dhahabu karibu mara 12 ya Netherlands. Kuna nchi zaidi ya 200. So you get a point wamehifadhi nini kwenye central bank zao. Ni karatasi za hawa mabeberu, huku wao wamezitunza hizo mali.

Na Gold kua scarce or limited in Quantity ndicho kinachoipa thamani. Gold ingekuwa inapatikana kama Mawe au kokoto mtaani isingekua na thamani hiyo iliyonao leo.

Kitendo cha gold kupatikana in a limited quantity ndio kunaihakikishia ukuaji wa thamani yake miaka nenda rudi. Na iko stable haiathiriki kwa inflation kama hizi Fiat curencies tunazotumia.

Forex huikuiti dhahab ikizungumzwa kiivo kwasababu kule kuna Ma-Trader kibao sio Investors wengi. Mfanya biashara hutaka faida papo kwa papo so ile buy and sell zimewatawala. Na hii buy and Sell kwenye Gold haina faida. Kwasababu Gold Iko very stable, zile shake za apa na pale ili ununue au kuuza chap chap ni za nadra.

Case ambayo iko tofauti kwa Investors, wanaofanya Buy and Hold kwa mda mrefu, unanunua unatunza. Hapa Gold ndio huwa taam. Kwenye long run inagain Value, tumeanza mwaka 2012 1,oz ya dhahabu ikiwa dola 1,600, miaka ya kati ilishuka mfano kama 2016 ilifikia dola 1100 lakini sasa 2022 1,oz ya dhahabu ipo kwenye 1,826.

Maana yake nini, ni kwamba kama mtu angekua anamiliki dhahabu ujazo wa 3,527oz ambazo ni Kilo 100 za dhahabu. 2012 kipindi cha ounce 1 kwa 1,600 dolla alikuwa na asset ya dolla 5.6Mil, kwa kuitunza tu hivi sasa angekuwa na asset ya dola 6.45Mil. Hilo ongezeko sasa litafakari kwa Nchi ambapo wanaweza kununua nyingi zaidi.

Hapo usisahau kujiuliza vipi kwa wale waliozipata miaka ya 2016 ilipokuwa around 1,100 hivi dola. Ni kwamba waliwekeza 3.8Million dola sasa wana 6.45Mil dola. Of course hizo ndizo real assets ambazo Russia kayafungua macho mataifa mengine wajifikirie.

Tarehe kama ya leo mwaka jana Euro 1 ilikuwa na thamani ya 2,770. Kama ningeweka akiba ya Euro 50k bank, ambazo ningeweka bank Million 138.5 za kibongo ili account iwe updated with Euro 50k. Sasa endapo ningeitaka hivi sasa nitapata Euro zangu 50k kwa rate ya 2,467. Yani nitapewa Mil 123.5 za kwetu.

Hio ni Loss ya mwaka mmoja tu kwa kuhifadhi pesa hizo. Kutoka 138 up to 123, drop ya kama Mil 15 hivi. Je umewaza kwa mataifa yaliyo hifadhi Euro nyiiiiiiiingi zaidi hali ikoje? Ni mbaya na hizo hasara wanazipata kwasababu ya maamuzi ya kijinga ya hao Morons wa hapo EU.

Tukisema zibaki nje ya mipaka yao tutaendelea kua WATUMWA wao siku zote. Tutakuwa tunaathirika kwa kila ujinga unaofanywa na Viongozi wa mataifa hayo.

Binafsi naweza sema Hatuitaki dola wala Euro, zikufe tu [emoji23] au ziendeleee kua local huko huko kwao. Wakiyavuruga athari ziishie huko huko kama ambavyo hapa nchini tukizingua tunajiumiza wenyewe na Tanzania Shilling yetu... Inabidi itafutwe ama Tutafute another means of exchange kwenye International Trade. Sio hayo makaratasi yao. Hatukuumbwa nayo tuseme bila hizo hakuna kinachowezekana.
Mkuu Galip vrl,shukrani sana kwa kunitoa tongotongo kupitia hili bandiko lako, niseme tu umeniongezea elimu kubwa sana hapa. Wew mkuu na kaka angu Qibsyl ni kati ya watu ambao nikisoma nondo zenu huwa napata maarifa makubwa yenye uhalisia wa kweli ndani yake kulingana na mambo yanavyokwenda duniani, nipende tu kukuomba uzidi kushusha mambo kama aya mkuu.
 
Umeongea in detail sana, nikupongeze kwa hilo, sidhan kama kuna sehemu ya kujaza nyama wala kupunguza mnofu kwa kile ulichokiandika ila naweza ongeza viungo tu kunogesha mchuzi.

Natamani sana kila taifa au jumuiya za kimataifa zingekuwa na sarafu yake inayotumika kama foreign exchange currency, mfano AU tuwe na sarafu yetu, Ulaya wanakuwa na sarafu yao, Southern America wanakuwa na sarafu yao, North America wanakuwa na sarafu yao, Asia, Australia nao kila bara linakuwa na sarafu yake. Hiyo itasaidia kuondoa ufalme wa sarafu moja na kuondoa upuuzi wa kutumia pesa kama silaha ya uchumi.

Au kama nchi nyingi duniani zikiamuka kutoka kwenye ukoloni mamboleo na kuamua kujitegemea, yani kila nchi itumie pesa yake inapofanya exportation, mfano Tanzania tuanze kuuza tanzanite yetu kwa Tsh, kenya nao wanavyo export waviuze kwa Ksh. Inshort kila unapofanya importation ya bidhaa kutoka nchi flani basi uwe tayari kutumia sarafu ya hiyo nchi inayokuuzia kama Russia anavyo wafanyia EU. Hiyo itasaidia sana most of currencies kuwa katika high demand, stable and value.

Sema hilo linawezekana endapo tu nchi ikiwa na maamuzi magumu na viongozi wenye akili kama putin, maana nchi nyingi zimeshageuzwa watumwa na USA kwa kuweka reserves zake in USD. Binafsi natamani sana ukija kununua dhahabu ya Geita-Tanzania au Almasi ya Mwadui-Shinyanga basi uje na mzigo wa Tsh na siyo USD, pengine USD1 itakuwa sawa Tsh200.
Mkuu galip vrl kaongea point kubwa,pia wew mkuu tyang vizury kwa kujazia nyama zenye ujumbe wa maana ndani yake.
 
Back
Top Bottom