Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Inavyosemekana wapiganaji wa kigeni kutoka marekani na nchi nyengine wanauliwa na Nazist sasaivi kisha wanawachoma, mpaka sasa haijulikani sababu gani, huenda wameweka mkakati kuwa yyte anaekataa kupigana na kuonyesha kurudi kwao wanamuuwa


A crematorium was found in Azvostal where Azovites burned bodies of American and foreign mercenaries. Amongst the ashes, American sniper rifles were found. Fragments of American passports and other documents were also found. It is not understood why they burned them.
 
Mzungu kibri kimemwishia mwishowe kakubali kipigo cha Russia ni moto wa kuotea mbali.

‼️HE ADMITTED‼️
👇👇👇
🇺🇸🇷🇺National Security Adviser Jake ''The Snake'' Sullivan said that in connection with the strikes of the Russian Air Force on Western arms supplies, the US is forced to take measures to compensate for losses. It is worth noting that as recently as May, the Pentagon stated that it did not see the effectiveness of strikes by the Russian Armed Forces on Western supplies. Now we've seen it.
 

Attachments

  • Screenshot_2022-06-28-13-21-03-225_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2022-06-28-13-21-03-225_com.android.chrome.jpg
    66.1 KB · Views: 18
Boris wa Uingereza awatamani wanasayansi wa Russia kwa bongo zao zilivyo juu zaidi ktk tafiti mbalimbali za magunduzi ya mambo anua ikiwemo makombora, (hypersonic missiles, Iskandar-M missile, Sarmat missles) na missile defence tech. Awaomba wanasayansi hao wahamie UK wakawapige brush wanasayansi wa UK wenye uwezo mdogo kimagunduzi

=====

View attachment 2275143
Ona uongo wa bbc
Boris wa Uingereza awatamani wanasayansi wa Russia kwa bongo zao zilivyo juu zaidi ktk tafiti mbalimbali za magunduzi ya mambo anua ikiwemo makombora, (hypersonic missiles, Iskandar-M missile, Sarmat missles) na missile defence tech. Awaomba wanasayansi hao wahamie UK wakawapige brush wanasayansi wa UK wenye uwezo mdogo kimagunduzi

=====

View attachment 2275143
 

Attachments

  • IMG_20220628_132824.jpg
    IMG_20220628_132824.jpg
    28.5 KB · Views: 21
Zelensky anasema kuwa Urusi imemimina makombora kwenye shopping centre iliyokuwa na watu zaidi ya 1000 ndani.

Mwambieni Zelensky aache kuficha silaha kwenye maeneo ya shughuli za kijamii.

View attachment 2274594
Hivi Ukraine mitambo ya ulinzi wa anga wanayopewa na magharibi wanaifanyia nini? Mbona kama anga lao wanategemea lilindwe na nguvu za giza! Kuna Iris-T walipewa na Germany, haijaanza operation?
 
Mateka wa vita wa ukrein wafika 15,000

15 000 Ukrop prisoners and growing

Zely desperate to get some of them back (Azov nazis foremost )

Last info i had was 8-9k 😁

Doubt many want to go back to UA to get killed (sent to the donbass grinder asap) ,my guess is 1-5 % likely joined DNR LNR and even more got Russian passport but dont want to fight and do civil job

Rest wait till shit is over
 
Sasa kina nani wamekataa kulipwa? Creditors na walioweka vikwazo ni makundi mawili tofauti. Kwenye kununua bonds ilikuwa specific zitalipwa kwa USD na ndio mara zote hulipiwa uko sasa unasemaje "wakubali kulipwa kwa Ruble". Kama ni hivyo hakuna maana ya makubaliano yale
Wewe jamaa mbona ghafla hivi umekuwa empty minded?

Kitaalam, Kitendo walichofanya Western kwenye SWIFT payment mechanism na freezing of Russians financial assets from the Fed Reserve and other international banks, kinapelekea kutokea kitu kinachoitwa "Force Majeure" na sio technical default on payment.

Tambua kwamba every country inakuwa na foreign reserve kwenye other countries like US or ECB. Kwa hiyo ukishafanya payment through SWIFT then Fed au ECB Wana allocate hiyo pesa kwenye respect account.

Sasa hao Fed au ECB Wana financial assets za Russia na hapo hapo hawataki kupoke SWIFT. Sasa unaitaje hiyo Kama default?

Embu uwage unajielimisha na usiwe na akili Kama za hao kina #Fuso.
 
Kabisa yaani inashangaza jamaa kutoka kua nyutro mpaka kua upande ule wamagharibi
Na sawa hatumpangii mana hatutaweza sababu kashaamua ila awe basi anaongea ukweli sio kuleta mambo kwakishabiki hapa hatutamuacha tutampa ukweli wamambo ulivyo
Kabisa Grand alikua analeta mapinduzi ila jamaa wakamla kichwa kwakuropokwa kwake akirejelea hope akili itamkaa sawa
Ila hata Proved huyu nae kaamua kuwa bendera nae ila wakitudanganya hatutawaacha
Walau kwasasa kabakia Tsh huyu kwambaali anakua anaelewa ingawaje nae kunamuda anazirusha kidogo
Yote kwayote acha tuendelee kuwatwanga msasa pengine wanaelewa ama wataelewa huko mbeleni

Sent using Jamii Forums mobile app
Usipate tabu na kutumia nguvu sana kuelewesha. Nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi hata ikikataliwa kuwa si nyeupe au nyeusi. Uhalisia utakubalika tu wakati utakapofika.
 
Boris wa Uingereza awatamani wanasayansi wa Russia kwa bongo zao zilivyo juu zaidi ktk tafiti mbalimbali za magunduzi ya mambo anua ikiwemo makombora, (hypersonic missiles, Iskandar-M missile, Sarmat missles) na missile defence tech. Awaomba wanasayansi hao wahamie UK wakawapige brush wanasayansi wa UK wenye uwezo mdogo kimagunduzi

=====

View attachment 2275143

RUSSIA kawaacha mbali sana hao jamaa kwenye technology. Naona wameanza kukiri Russia sio Zimbabwe
 
Any attempt to encroach on Crimea will lead to a declaration of war on Russia, if a NATO country does it, World War III will begin - Dmitry Medvedev

Hawa jamaa wako siriaz asee kila siku unaona utofauti zile nchi zenye kiherehere now zimeufyata tukianza na Poland, Estonia, UK walikua wanapima kina cha bahari kwa kidole naona wamejua hawa jamaa wako siriaz hawatanii na bad news wamejipanga.
 
Back
Top Bottom