Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sijui ni nani huwa ananunua mafuta ya Waajemi pale EU. Iran ijiunge ili angalau mkutano wa St. Petersburg Economic Forum uwe na watu kadhaa sio kama wa mwezi huu ambapo wenye vyeo pale walikuwa ni mwakilishi wa Taliban na wageni wa Belarus. Compared na mkutano wa Davos unavyokuwa
Mkuu Davos ni World Economic Forum, Urusi nae yumo, SPIEF ni Local forum, Unapofanya ulinganisha unatukosea. SPIEF imepata delegations kutoka nchi 69 duniani. Hayo madai ya wawakilishi wa Talebani umeleta ushabiki.
 
Tatizo lako unaweka mapenzi mbele bila fact Rusia hajashindwa kulipa madeni yake Ila vikwazo vya kutumia amana zake zilizopo nje ambapo ana around 600bilion dollar zimefungiwa akataka kulipa Kwa dolla zilizop nchini kwake wamezuia mfumo kupokea malipo saivi kasema atalipa Kwa rouble Napo pia wamezuia sasa utasemaje kashindwa kulipa nchi kushindwa kulipa madeni inamaanisha imefilisika Ila Rusia hajafilisika
Unachokisema mbona ndicho nimesema. Nimesema ameshindwa kulipa bonds na ndio maana ya default. Default haina maelezo ya sijui nimezuiliwa wala nini, point ni umelipa au hujalipa.

Hizo $600 billion watu waliwahi kujadili kwamba ndio zitumike kuijenga Ukraine. Hiyo foreign reserve aliyonayo kwake kazuiliwa kulipa kwa mifumo ya Western. Ndio pale SWIFT ilipotumika kama sanctions wadau wa Urusi humu wakasema kuna mfumo mbadala utafanya kazi sawa na SWIFT. I hope watautumia
 
Mkuu Davos ni World Economic Forum, Urusi nae yumo, SPIEF ni Local forum, Unapofanya ulinganisha unatukosea. SPIEF imepata delegations kutoka nchi 69 duniani. Hayo madai ya wawakilishi wa Talebani umeleta ushabiki.
Delegation kutoka nchi 69 ila Heads of States walikuwa wangapi. Si ni majirani hasa na washirika wa Urusi tu. Ndio maana aliyeshika attention ni Mtaliban, wakati Davos wanakuwepo Heads wa mataifa makubwa kiuchumi
 

A dangerous ESCALATION:NATO Announces increase in number of troops on "High Readiness" from 40,000 to 300,000.​

The North Atlantic Treaty Organization (NATO) has announced that they are increasing the number of troops on "High Readiness" from 40,000 to 300,000 given the situation in Ukraine.
NATO General Secretary Jens Stoltenberg made the announcement Monday morning in Brussels, adding "Extensive dialogue between NATO and Russia is no longer possible."
Units deployed across eight eastern and southeastern NATO countries to deter Russia hostilities will rise in size from 1,000-strong battlegroups to brigades, which comprise around 3,000-5,000 troops with more war-fighting equipment in Latvia, Lithuania and Estonia.
"We will transform the NATO Response Force and increase the number of our high readiness forces to well over 300,000," the NATO chief said.
The NATO Response Force - which are kept at varying degrees of readiness to mobilize, from two days' notice to six months - is currently around 40,000 soldiers, sailors and air personnel.
In addition to the increase in High-Readiness troops, the U.S. Air Force has deployed F-35 Stealth Fighter jets to the region, with the flight path of at least one such jet allowed to be visible on FlightRadar24:
FWQWd3wWIAEJrx8

Day by day the situation between NATO and Russia grows worse, almost as though NATO is TRYING to find a reason to get into direct war with Russia, over the Russian Special Military Operation in Ukraine.
Trouble is, there is no NATO or U.S. national security interest in Ukraine. So it seems to many observers that NATO is sticking its nose where it doesn't belong, and literally TRYING to start World War III.
 
Delegation kutoka nchi 69 ila Heads of States walikuwa wangapi. Si ni majirani hasa na washirika wa Urusi tu. Ndio maana aliyeshika attention ni Mtaliban, wakati Davos wanakuwepo Heads wa mataifa makubwa kiuchumi
Mkuu siko upande wa Urusi ila siwachukii kushindwa kuona wanayoyafanya. Mkuu Davos ni level ya World, ndani ya WEF, Urusi yumo sisi tumo, Mataifa yote yapo WEF sio matajiri tu. Ukisema mataifa matajiri je Makamo wa Raisi wetu Philip alienda kufanya nini mkutano wa mwaka huu? Ulivyolinganisha ni kama unalinganisha wizara ya Afya ya Tanzania with WHO. Its WRONG. Ngazi ya Taifa na Ngazi ya Dunia. Majina tu huoni mkuu? World EF vs St Petersburg IEF?
 
Hivi vidubwana hapo mach na Feb vilifanyiwa promo ya kutosha!
View attachment 2274427
Huwa sisomi taarifa za EurAsia Times hasa ziwe dhidi ya China au ziwe kuhusu India. Hao jamaa wanatia chumvi sana na kuikuza India huku China wanaiponda. Baadae nikajua ni Wahindi na hawajawahi kuwa waandishi wazuri wa habari.

BTW mbona ndege kibao za Urusi na helikopta kama Ka-52 zinadondoshwa uko Ukraine? Unadharau drone zinazowachakaza pale Snake Island. Na hizo air defence system bado zinapigwa vilevile na hizo Bayraktars
20220307_163648.jpg
20220320_084108.jpg
 
Tatizo lako unaweka mapenzi mbele bila fact Rusia hajashindwa kulipa madeni yake Ila vikwazo vya kutumia amana zake zilizopo nje ambapo ana around 600bilion dollar zimefungiwa akataka kulipa Kwa dolla zilizop nchini kwake wamezuia mfumo kupokea malipo saivi kasema atalipa Kwa rouble Napo pia wamezuia sasa utasemaje kashindwa kulipa nchi kushindwa kulipa madeni inamaanisha imefilisika Ila Rusia hajafilisika
Waambie Russia sio Sri Lanka iliyofilisika Wala sio Laos.
 
Sikiliza Russia na China walivyo mwacha kilanja wa dunia kweye hypersonic tech... Na amefail Mara ngapi...........

Siku chache zijazo nitaleta hapa deep sea tech, ambayo kwa Sasa ni Russia pekee mwenye uwezo huo.
View attachment 2274588
We mrusi mweusi hayo yote nayajua, utaonekana una busara ukijua unazungumza na mtu wa aina gani. Ukishindwa kujua utakuwa unajichoresha. Nilikuuliza Mach 30 unaijua? Ukaleta uwongo, Ok swali langu and failures of US linahusiana vipi? Kueni wastaarabu hakuna kombe hapa mlete ushindani wa kipumbafu, ukiulizwa swali jibu ulichoulizwa muache kudandia yasiyohusika. Nawakumbusha, mkija kistaarabu mimi mstaarabu sana lakini mkiniparamia nitawapa yanayowastahili.
 
Mara ya mwisho Russia kushindwa kulipa bonds holders ni mwaka 1918 baada ya Bolshevik Revolution. Russia inakataa kwamba imeshindwa kulipa, bali vikwazo vinauzia kufanya transactions. Hela zipo ila njia ya kulipa ndio imefungwa, mpaka mwezi jana US Treasury ilikuwa inaruhusu Russia itumie USD kulipia bonds ila kuna muda niliwaona kina Yellen pale Treasury wanasema watazuia.

Bado mapema sana ingawa hii hutumika kama alama ya uchumi kuzidiwa. Russia ina foreign reserve nyingi na inatumia kwa kasi kipindi hiki. Hakuna anayependa kulipwa bond kwa Ruble. Hili suala wataalamu wa uchumi humu ndani wangeeleza vizuri zaidi
Hili wala halihitajii wataalam saana MKUU kama ukienda kwenye page ya hovyo ya biibiiisii wameieka wazi mbona
Pia hata wewe nahisi unaelewa maana ya KUSHINDWA
au nnavyoelewa mie kushindwa nikutokua nauwezo juu ya jambo fulani kama hapo RUSSIA kushindwa ingekua hawana hizo pesa tungesema jamaa kashindwa
Ila hapo ndio tunapopingana nahizo PROPAGANDA media zahao WAJINGA badala waandike uhalisia wamambo wanaleta janja janja
Wangesema kama RUSSIA hajalipa BOND kwasababu a to z ila kusema RUSSIA kashindwa wakat wao wanajua kwanini jamaa hawataki kulipa nikutupiga PROPAGANDA
Kama hawataki kulipwa kwa RUBLE wawe wapole
Mwisho:-sijajua khatma ama athari za jambo hilo kwa RUSSIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mrusi mweusi hayo yote nayajua, utaonekana una busara ukijua unazungumza na mtu wa aina gani. Ukishindwa kujua utakuwa unajichoresha. Nilikuuliza Mach 30 unaijua? Ukaleta uwongo, Ok swali langu and failures of US linahusiana vipi? Kueni wastaarabu hakuna kombe hapa mlete ushindani wa kipumbafu, ukiulizwa swali jibu ulichoulizwa muache kudandia yasiyohusika. Nawakumbusha, mkija kistaarabu mimi mstaarabu sana lakini mkiniparamia nitawapa yanayowastahili.
Kumbe unajua 😅
 
Tukikataa kulipwa hatuna uhalali wa kusema kashindwa kulipa deni, So wakienda default it will be an artificial default which doesn't reflect anything from their economy.
Wewe jamaa ukiacha mahabba kidogo unaongea ukweli unastahili kujibiwa MKUU unahoja nasio vihoja
Nahuo ndio ukweli wenyewe hawawez muita kashindwa wakat wamekataa wenyewe kulipwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui ni nani huwa ananunua mafuta ya Waajemi pale EU. Iran ijiunge ili angalau mkutano wa St. Petersburg Economic Forum uwe na watu kadhaa sio kama wa mwezi huu ambapo wenye vyeo pale walikuwa ni mwakilishi wa Taliban na wageni wa Belarus. Compared na mkutano wa Davos unavyokuwa
Kwasasa hakuna ila leo huko GERMAN rais wa france EMANUEL kaomba mafuta ya IRAN na VENEZUELA yakubaliwe kuingia kwenye soko la DUNIA ili iwe nafuu kwao
EU wanataka kutudhihirishia UPUMBAVU wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani wamekataa kulipwa? Russia inabidi ilipe kwa USD sio kwa hela zake na mara zote huwa inalipa kwa USD. Sasa nani kakataa kulipwa
Sehem kama hizi ndio hua nakushangaa kwamba kwakutokujua ama makusudi tuuu
Kwamba hujui kinachoendelea kuhusiana na RUSSIA na hizo DOLA YURO PAUND nk au!!!??
Eti !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom