Mara ya mwisho Russia kushindwa kulipa bonds holders ni mwaka 1918 baada ya Bolshevik Revolution. Russia inakataa kwamba imeshindwa kulipa, bali vikwazo vinauzia kufanya transactions. Hela zipo ila njia ya kulipa ndio imefungwa, mpaka mwezi jana US Treasury ilikuwa inaruhusu Russia itumie USD kulipia bonds ila kuna muda niliwaona kina Yellen pale Treasury wanasema watazuia.
Bado mapema sana ingawa hii hutumika kama alama ya uchumi kuzidiwa. Russia ina foreign reserve nyingi na inatumia kwa kasi kipindi hiki. Hakuna anayependa kulipwa bond kwa Ruble. Hili suala wataalamu wa uchumi humu ndani wangeeleza vizuri zaidi