Grand Master
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 246
- 1,315
Hamna hoja mmejaa matusi, kwendaawapi nimezungumzia source ? Kabati jingine la meno hili hapa, wenye shida na makabati chukueni hili mtunzie hata vifaranga.
Hamna hoja mmejaa matusi, kwendaawapi nimezungumzia source ? Kabati jingine la meno hili hapa, wenye shida na makabati chukueni hili mtunzie hata vifaranga.
Nimemuona[emoji23][emoji23][emoji23]Pro NATO mwingine kaingia on Duty
hana jioya hadi huruma jamani.Nimemuona[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo kaingia nait shifti[emoji23][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoma ya Gregory Isaacs - Night Nurse ...imkute POPOTE alipo ..Deejaaaaaay Putin waleteeeeee....Nimemuona[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo kaingia nait shifti[emoji23][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Go and try to Stop him.....Wewe unaonekana huna habari,,,, ila mashosti zako wa NATO habari zake wanazo...Putin as sponsor of terrorism must be stopped,
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] RussiaView attachment 2273513View attachment 2273515View attachment 2273516View attachment 2273517View attachment 2273518
Ile Kitu islander achana nayo kabisa[emoji28]Yule dereva anaye endesha iskander inaonekana hata mtoto wa kusingiziwa hana. Jamaa ana roho mbaya kinoma
Hatutaki suluhu diikteta atashindwa tu
[emoji362]Boris Johnson urged Emmanuel Macron not to "settle the conflict" — the British government
Johnson stressed that any attempt to resolve the conflict now would only lead to prolonged instability and give Russian dictator Putin "a license to manipulate both sovereign countries and international markets forever".
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2273594View attachment 2273595View attachment 2273596View attachment 2273597View attachment 2273598
Mzigo Bila shaka umeingia kwenye black market uko Syria, West Africa na kwjngine kwenye machafukoMzigo wa jevelin na mazaga mengineyo ulipelekwa mpaka Ukraine na ukakabidhiwa kwa vijana waliotumwa na mamlaka lkn cha kushangaza Zele anasema mzigo haujafika na Putin hajaulipua[emoji41][emoji41][emoji41]
Imagine hypersonic missiles zenye speed 30 times speed ya sound,....zinaweza fika London in near By 3 minutes.....Mkuu hapo kwenye dakika tatu nimefanya mahesabu yangu yote ya kawaida (kwenye level yangu) nimeshindwa kupata dkk tatu.
Ila nafikiri Urusi iliyotamka kuwa kombora hilo linafika UK ndani ya dakika tatu (na kisha kunukuliwa hivyo na vyombo vya wamagharibi pasi na kukosolewa) watakuwa wao wapo sahihi.
Sisi ktk mahesabu yetu twawezakuwa twatofautiana point ya kuanzia kuhesabia ktk Urusi (Urusi ni kubwa, tunaanzia kuhesabia huo umbali kwenye point gani ya Urusi). Mfano kama tunatafuta umbali kati ya Tanzania na Angola, tunachukulia kuanzia point gani ya Tanzania, je Dodoma city, au Bukoba, Kigoma, Mbeya etc...lakini pia umbali (njia)wa kuruka ndege za kawaida hauwezi kulingana na umbali (njia) wa kurukia kombora (Ndege za kawaida njia yake hujaribu kuepuka maeneo hatarishi kwa ndege)
Mrekebishe nini kwenye systems. Hakuna cha kurekebisha bali mnunue counter drone mechanism, air defence system hazikutengenezwa kuzuia hizo small and cheap drones.Tutairekebisha mitambo yetu
Shida tuliijia juu US kule SAUDIA sababu ile ishu iliku tomuch
Yaani kila leo
Hili la RUSSO sidhanii kama litajirejea
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuokota habari ya mwezi April hiyo hv hauoni aibuMrekebishe nini kwenye systems. Hakuna cha kurekebisha bali mnunue counter drone mechanism, air defence system hazikutengenezwa kuzuia hizo small and cheap drones.
Unasema halijurudii wakati ni mara ya pili Ukraine inashambulia ndani ya Urusi. Mara nyingine ilituma helikopta mbili kabisa zikaingia deep in Russia na kushambulia kituo cha kuhifadhi mafuta. Air defence hapo ndio tuulize zilikuwa wapi.
Meanwhile, kule Sauti Arabia mara nyingi tu inazuia hizo attacks baada ya kuwa na counter drone mechanism View attachment 2273826
Wewe kalia default default....kipigo kinaendelea constantly..naona mnatafuta sehemu za kujifarijiMwaka huu Russia hana chake, taifa masikini linawaza vita vya hovyo
[emoji410] Bloomberg: Russia could go into default today
The fact is that this Sunday evening, June 26, the grace period for missed payments of about $100 million expires.
"There will be no official statement, and Russia is already denying the appointment, but if investors don't get their money by the deadline, there will be a default on Monday morning according to the bond documents," the publication said.