Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

⚡⚡⚡ "Ukraine should give up Donbass in order to get a ceasefire"


Bishop of Leeds Nick Baines wrote an article in which he stated that the goal of Western allies remains unclear.

Negotiations with Russia and a realistic attitude to the situation are vital to achieve peace in Ukraine.

"The long-term goal should be that Ukraine controls all its territory, but it does not necessarily follow that military force should be used to liberate Crimea or even all of the eastern Donbas region.Some of these goals might be better served through diplomacy and the selective easing of sanctions."

@LLSeniors
 
Swali gani umeuliza? Sijaona swali nimeona unalalamika naanzisha ligi za kike, hizo ni jukumu lako siwezi anzisha ligi za jinsia nyingine. Pale nimequote comment iliyopo kwenye uzi huu huu
Nawaomba kwa heshima na taadhima,tuache kushambuliana kwa lugha zenye kuudhi.
Turudi kwenye mada.maoni yenu ni elimu kwa wengi.
 
Ha ha haa...kitu RS-28 Sarmat (Satan II)...

Hilo ndio kombora kubwa zaidi na zito zaidi la balistiki duniani. Uzito wake ni kg 207,745 (zaidi ya tani 200) ambo uzito huo ni sawa na uzito wa ndegevita kumi na moja (11) za Marekani aina ya F-22A ziwekwe pamoja.

Sarmat linakuja na vichwa vya nyuklia 10 hadi 15, kila kichwa kinabeba mlipuko wenye nguvu ya megaton 18 hadi 25.

Kombora hilo halidunguliki na mifumo yoyote ya ulinzi wa anga ya Marekani + NATO
===


Screenshot_20220626-142015_Chrome.jpg
SmartSelect_20220626-141417_Chrome.jpg

Screenshot_20220626-141336_Chrome.jpg


Screenshot_20220626-141841_Chrome.jpg
 
Nawaomba kwa heshima na taadhima,tuache kushambuliana kwa lugha zenye kuudhi.
Turudi kwenye mada.maoni yenu ni elimu kwa wengi.

Usibembeleze mtu mkuu hapa tuko above 18 na below wachache wenye kujielewa.

Yaani mtu akipewa shavu kua unaweza basiii anavimba kama vile ndie mmarekani/ mrusi mwenyewe wakati kiualisia akiambia mzigo huu hapa ufanyie kazi hawezi ni blabla tuu.

Ni ushamba tubadilike mjadala uende.

NB
Likes au reply za kusifu hazilipi bills nyumbani ivyo zisituvimbishe kichwa tukaanza kunyeana hapa ndani.
 
Ha ha haa...kitu RS-28 Sarmat (Satan II)...

Hilo ndio kombora kubwa zaidi na zito zaidi la balistiki duniani. Uzito wake ni kg 207,745 (zaidi ya tani 200) ambo uzito huo ni sawa na uzito wa ndegevita kumi na moja (11) za Marekani aina ya F-22A ziwekwe pamoja.

Sarmat linakuja na vichwa vya nyuklia 10 hadi 15, kila kichwa kinabeba mlipuko wenye nguvu ya megaton 18 hadi 25.

Kombora hilo halidunguliki na mifumo yoyote ya ulinzi wa anga ya Marekani + NATO
===


View attachment 2272887View attachment 2272890
View attachment 2272883

View attachment 2272886
Nimekusoma mwamba, Shukran Mucho! Then tusaidie kipengele kilichobakia cha Dakika 3.
 
[emoji298][emoji298][emoji298] "Ukraine should give up Donbass in order to get a ceasefire"


Bishop of Leeds Nick Baines wrote an article in which he stated that the goal of Western allies remains unclear.

Negotiations with Russia and a realistic attitude to the situation are vital to achieve peace in Ukraine.

"The long-term goal should be that Ukraine controls all its territory, but it does not necessarily follow that military force should be used to liberate Crimea or even all of the eastern Donbas region.Some of these goals might be better served through diplomacy and the selective easing of sanctions."

@LLSeniors
Huyo Bishop atuache
Malengo yetu sio DON BASS angojee malengo yakitimia atajua tuu
Kwanza hata TAIFA TEULE LA RUSSIA lenyewe halijui linataka nini In proo Nato voisii
Bishop atuache kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekusoma mwamba, tusaidie kipengele kilichobakia cha Dakika 3
Mkuu hapo kwenye dakika tatu nimefanya mahesabu yangu yote ya kawaida (kwenye level yangu) nimeshindwa kupata dkk tatu.

Ila nafikiri Urusi iliyotamka kuwa kombora hilo linafika UK ndani ya dakika tatu (na kisha kunukuliwa hivyo na vyombo vya wamagharibi pasi na kukosolewa) watakuwa wao wapo sahihi.

Sisi ktk mahesabu yetu twawezakuwa twatofautiana point ya kuanzia kuhesabia ktk Urusi (Urusi ni kubwa, tunaanzia kuhesabia huo umbali kwenye point gani ya Urusi). Mfano kama tunatafuta umbali kati ya Tanzania na Angola, tunachukulia kuanzia point gani ya Tanzania, je Dodoma city, au Bukoba, Kigoma, Mbeya etc...lakini pia umbali (njia)wa kuruka ndege za kawaida hauwezi kulingana na umbali (njia) wa kurukia kombora (Ndege za kawaida njia yake hujaribu kuepuka maeneo hatarishi kwa ndege)
 
Mkuu hapo kwenye dakika tatu nimefanya mahesabu yangu yote ya kawaida (kwenye level yangu) nimeshindwa kupata dkk tatu.

Ila nafikiri Urusi iliyotamka kuwa kombora hilo linafika UK ndani ya dakika tatu (na kisha kunukuliwa hivyo na vyombo vya wanagharibi pasi na kukosolewa) watakuwa wao wapo sahihi.

Sisi ktk mahesabu yetu twawezakuwa twatofautiana point ya kuanzia kuhesabia ktk Urusi (Urusi ni kubwa, tunaanzia kuhesabia huo umbali kwenye point gani ya Urusi). Mfano kama tunatafuta umbali kati ya Tanzania na Angola, tunachukulia kuanzia point gani ya Tanzania, je Dodoma city, au Bukoba, Kigoma, Mbaya etc...lakini pia umbali wa kuruka ndege za kawaida hauwezi kulingana na umbali wa kurukia kombora (Ndege za kawaida njia yake hujaribu kuepuka maeneo hatarishi kwa ndege)
Ouk sawa shukran kwa maelezo ya ziada Mjomba.
 
Kyiv kunawaka moto, polisi wa dunia (Marekani/Biden) aishia kulialia tu hana cha kufanya!

Russia leo imetumia ile midege yake ya kunya mabomu (strategic bombers) iitwayo Tu-95 na Tu-160 kuinyeshelezea makombora Kyiv kutokea baharini (Caspian sea). Biden amelalamika kuwa Urusi inafanya uonevu tu na ubabe/ushenzi kuishambulia Kyiv.

Mwambieni Biden aache kulialia. Apeleke zile B-52 bombers zake Ukraine zikamsaidie Zelensky, mbona alizipeleka mbiombio kwenye vita vya Afghanistan na Iraq kuchukulia ujiko ktk kupigana na watu madhaifu wasiokuwa na silaha za kisasa?! Apeleke mzigo huo Ukraine tuthibitishe ubora wa hizo B-52 bombers za US.

=====
SmartSelect_20220626-153848_Chrome.jpg

SmartSelect_20220626-154022_Chrome.jpg

SmartSelect_20220626-145719_Chrome.jpg

SmartSelect_20220626-145601_Chrome.jpg
 
Wanapigwa na nchi nyingine wao wanaisingizia urusi..maana urusi alishaishiwa makombora na chakula muda mrefu, si nasikia hata supermark zipo empty kabisa huko urusi

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
😂😂😂 Ukraine inapigwa na NATO sasa 🤣🤣🤣
Maana Urusi alisha ishiwa muda sasa 😂😂🤣
 
Back
Top Bottom