ngaboru
JF-Expert Member
- Mar 3, 2016
- 2,117
- 5,537
Sorry nafikiri mimi ndio wa kwanza kukutag utoe sintofahamu fulani ya hayo masilaa uyo niliemkoti pia hajui alikuita uje usawazishe mambo.Hilo kombora alilosema silijui. Mimi sio msemaji wa jeshi la Urusi mpaka nisipojua silaha yao mnishambulie. Yeye anajua, si aeleze hapa? Kwahiyo nawe uko umesubiri niseme kitu ambacho sijui, na anayejua uko naye mnatuniana emoji za kucheka
Nazani ulipojipa maujiko ndio kilichofanya kikatokea kilichotokea you have my respect kwa unayoyajua kuhusiasa na silaha.