Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji95] Updates!!!

Lukashenko asked Putin to help with a mirror response to the flights of NATO aircraft with nuclear weapons near the borders of Belarus.

In the coming months, Russia will hand over Iskander-M complexes to Minsk, Putin said at a meeting with Lukashenko.
 
[emoji95] Updates!!!

[emoji845][emoji1151][emoji1099][emoji635]The EU Commission has prepared a draft document allowing Russia to transport goods to the Kaliningrad region through the territory of the European Union

This was stated by the member of the EU Parliament from Lithuania Pyatras Aust'evicius[emoji845]
 
Wana tapa tapa

[emoji95] Updates!!!

[emoji845][emoji290][emoji636][emoji1037][emoji1181][emoji631][emoji627]THE NEW PACIFIC ALLIANCE[emoji845]

The UK,Australia, New Zealand, the US and Japan have announced the creation of The Partners in the Blue Pacific (PBP) is an inclusive and informal mechanism for more effective and efficient support of the tasks of the Pacific region. Goals associations:

1. Achieve results for the Pacific region more effectively and efficiently

2. Support Pacific regionalism

3. To expand opportunities for cooperation between the Pacific region and the world The Partnership in the Pacific Region is another association aimed at coordinating actions in the fight against China and seizing leadership from it.

The object is small island Pacific states that are under the economic and political influence of Beijing. In May, the conclusion of a security pact made a lot of noise in the West between China and the Solomon Islands, which theoretically makes it possible to deploy Chinese troops off the coast of Australia.
 
DENAZIFICATION aliyoitangaza dikiteta Putin imegeuka na kuwa MULTNAZIFICATION..,hii ikiwa na maana kwamba Ukraine Sasa Ina wanazi wengi wanoapigana dhidi ya dikteta Putin kuliko wakati wowote ule! Hapa ndipo tunaona tofauti kubwa sana kati ya mabavu dhidi ya matumizi ya akili
Mfano wewe hapo hujatumia akili bali mabavu [emoji16][emoji16]
 
[emoji95] Updates!!!

[emoji845][emoji1151][emoji1099][emoji635]The EU Commission has prepared a draft document allowing Russia to transport goods to the Kaliningrad region through the territory of the European Union

This was stated by the member of the EU Parliament from Lithuania Pyatras Aust'evicius[emoji845]
Namtafuta yule aliyesema dunia ni ya mungu ila vitu ni vya mzungu. Kwa maana hiyo hawa jamaa bado walikuwa wanapima kina cha maji cha Russia kwa kumtumia lithuania. Empty set
 
DENAZIFICATION aliyoitangaza dikiteta Putin imegeuka na kuwa MULTNAZIFICATION..,hii ikiwa na maana kwamba Ukraine Sasa Ina wanazi wengi wanoapigana dhidi ya dikteta Putin kuliko wakati wowote ule! Hapa ndipo tunaona tofauti kubwa sana kati ya mabavu dhidi ya matumizi ya akili
Unaandika haya ukiwa wapi Ndugu....hii lugha ya 'dikteta' inaonesha ni mtu wa kiwango gani kiuelewa...ni uelewa wa chini kabisa...hata nchi za magharibi husita kutumia 'dikteta' kwa Putin...
 
Vip, dikiteta Putin hajatangaza kuanza mazoezi ya siraha za nyukria? Maana ilkuwa haipiti siku tatu yanatangazwa mazoezi ya siraha za nyukria baada ya kuona mambo yanakwenda ndivyo sivyo huko Ukraine [emoji12][emoji12]
 
Unaandika haya ukiwa wapi Ndugu....hii lugha ya 'dikteta' inaonesha ni mtu wa kiwango gani kiuelewa...ni uelewa wa chini kabisa...hata nchi za magharibi husita kutumia 'dikteta' kwa Putin...
Kiongozi yeyote anayebadili katiba na kujipa mamlaka ya kutawala milele kama tunavyoona huko Uganda, Rwanda na kwingineko anastahili kuitwa dikteta tu, Putin alibadili katiba na kujipa utawala wa milele,ukiachana na Hilo, maamuzi yenye maslahi kwa umma uko Russia yanafanywa na mtu mmoja tu
 
Duh.....aisee.....anyway...JF Ina watu wa Aina nyingi...
 
Wengine kama hawa mkuu👇👇

Putin and sall

View attachment 2271472
Ila tukiacha hayo mambo tunayoyawaza kuwa ama anajihami na kuwekewa sumu,ama kuambukizwa korona ama vinginevyo,lakini ukweli hiki anachokifanya Putin ni bonge la propaganda.
Propaganda hii inawavutia sana wanyonge na watu masikini kama hizi nchi za Afrika ,Asia na Latino kuwa Putin ana Imani na watu kutoka maeneo hayo.
Watu wengi wa nchi za kusini watazidi kumpenda na kumuona kama mtetezi wao.
Watamuana anajali sana watu wa kawaida kuliko mabeberu na matajiri.watamuona kama Yuko karibu sana na watu blacks,Asians na Latinos.
Kwa kifupi huyu jamaa anajua sana kutumia ujanja wa Ujasusi kuwavutia watu.
Picha hizi zimemuongwzea sana umaarufu.
Kiwazingua mabeberu na kuwakarimu wa kusini.
 
Back
Top Bottom