Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
.
Mkuu hao waislam wa Urusi wanapatikana Insta!?Kupata kibali cha kueneza dini China hakuna.
Urusi hakuna kuwa na dini nyingine zaidi ya kanisa la othodox, wengine hapana
Huko mbeleni nahisi Jina litabadilishwa, hakutakuwa na nomenclature ya kufata herufi ya mwanzo ya jina la nchi. Wataupa huo Muungano jina la pa1.Hii tutaiita BRICAS[emoji1377][emoji1377]
Bro wataikinga na nini hiyo London? Mmmh! Kule haitakuwa kwenda kuteka bali kuifuta London, UK kwenye uso wa dunia.Hapo GAYTO watakimbilia kuikinga London halafu mrusi anakwenda kulivuruga jiji ambalo GAYTO na US wala hawakutegemea, Urusi raha hahahahaha.
Nalog off Z
MANATO akili zao hazina akili MKUUMalkia amekuwa mtawala tangu 1952 na Sasa ni miaka 70 mbona hawamsemi kuwa ni dikiteta[emoji3480]
Jamaa mikwara mingi sanaHuko mbeleni nahisi Jina litabadilishwa, hakutakuwa na nomenclature ya kufata herufi ya mwanzo ya jina la nchi. Wataupa huo Muungano jina la pa1.
Nasema hivi, kwasababu mfano zikifika nchi 7,8 au 20. Utaitwaje?
Bro wataikinga na nini hiyo London? Mmmh! Kule haitakuwa kwenda kuteka bali kuifuta London, UK kwenye uso wa dunia.
Ikianza vita rasm hakutakuwa na matumizi ya Ak47 kama hapo kwenye Operation ya Ukraine. Zitatumika silaha nzito mno.
Nitataja mbili kama mfano.
1. The Poseidon, Status-6
Hii ina 100Megatons, ina uwezo wa kutengeneza Radio active Sunami yenye wimbi hadi 500m. UK ni kisiwa, its like kitaenda kufunikwa na Sunami kiwe uninhabitable kwa milongo kadhaa huko mbeleni.
Hiyo ni tsunami, Je watailinda kwa kutumia nini?
2. Samart 2...
Ambayo yategemewa kuingia mzigoni kwa matumizi mwishoni mwa mwaka huu. Dude linatembea kwa speed ya zaidi ya mach 20, Speed mara 20 ya sauti. Chini ya dk 7 linaweza kuipiga London.
Hizi dk 7 hata mtu hajamaliza kukata gogo chooni, rudi kwenye raman iangalie London iliko kutoka Moscow kisha jiulize hao waliopo katikati kitawakuta nini.
Hizi nchi ambazo tu kupeleka silaha Ukraine zishaanza kupiga kelele Stocks zao "zinapokoyoka"
Mambo yameanza kua matam kuyaeleza, kuna lingine linaitwa Skyfall missile. Hiyo project bado haijakamilika. Hili litakuwa kombola lenye unlimited range. Yes unlimited range.
Wanadai n Nuclear war head itakayokua na uwezo wa kuizunguka dunia miezi likiwa kwenye Patrol Mode. Sasa fikiria Circumference ya dunia af unaambiwa linaweza kuizunguka dunia for months likiwa kwenye Patrol Mode.
Avangard bado, hujakaa sawa kuna EMP bomb, Electro Magnetic Pulse Bomb. Hili likipigwa linazifanya Electronics zote ziwe taka taka. No modern Vehicle itajongea, Power grid zote zitazima, hakutakuwa na mawasiliano kwasababu EMV inaua all electronics components.
So there you know Russia kutunza Vifaa vya kivita vya WW1 na WW2 ana akili miingi, They knows side effects za ku-modernize kila kifaa. Back up ni lazima.
Madude ya kutisha kama hayo watajilinda nayo kwa kutumia nini? Kama tu ile Hypersonic yao yenye Mach 5 iliyowatia joto kuitest muungano wa nchi kadhaa, wakati Russia yeye anayo Hypersonic yenye Mach 9, yan speed zaidi karib mara 2 ya ile waliyokuwa wanai-test na ipo mzigoni?
Kibaya zaidi ana defence mechanism ya kutungua alichokitengeza S-550 kwa hizo Hypersonic Missile.
Weeeee Russia anatisha bro in term of military na hakuna aliye closer kwake. US, Paper Tiger na wajukuu wake wanajua hilo jamba jamba lake.
Show show kama bikra aliyepakiwa mkongo! We Zisikilize tu kauli zao utagundua hawawezi kamwe kumchokoza Russia mazima.
Upande wa NATO... Utasikia "We don't want direct confrontation with Russia"
🔸Hawa wapo zaidi ya mataifa 30 hawa.
Lakini Upande wa Russia... Utasikia "Tutapiga London, tutapiga Washington, tutapiga Satellites zao, tutapiga kile na kule"
🔸Huku ni Nchi moja tu, de Russian Federation.
Hizo kauli mbili tu ushajua nani atachora 7 in case likizuka la kuzuka!
Eeee ase, niishi mingi miaka nishihudie mengi. Awam hii tunaziona Hollywood behind the Scenes za West Wadau.
Kumbe wachumba tu hawa kelele nyingi ila hawana kitu.
Kha!...anataka tukamsaidie kula kipigo huyu anawazimuNchi za Afrika zimemtosa Zelensky hata kumsikiliza tu kwenye 'Zoom meeting'[emoji16][emoji16][emoji56][emoji56][emoji56]
Yaani kwenye jumla ya nchi 55 za Afrika, ni nchi nne tu ndio ziliamua kuhudhuria mkutano wa mtandaoni na Zelensky ambapo Zelensky alikuwa akiomba sapoti ya Umoja wa Afrika dhidi ya Urusi
View attachment 2271421
Si kweli aisee...Urusi dini nyingi tu..majority ndo orthodox christians..but kuna Islam (Dagestan, Chechnya etc.), Wayahudi na dini nyingine....Kupata kibali cha kueneza dini China hakuna.
Urusi hakuna kuwa na dini nyingine zaidi ya kanisa la othodox, wengine hapana
Q... Umeandika kwa mizuka kama yote, Vipi una show usiku eh 😂Huko mbeleni nahisi Jina litabadilishwa, hakutakuwa na nomenclature ya kufata herufi ya mwanzo ya jina la nchi. Wataupa huo Muungano jina la pa1.
Nasema hivi, kwasababu mfano zikifika nchi 7,8 au 20. Utaitwaje?
Bro wataikinga na nini hiyo London? Mmmh! Kule haitakuwa kwenda kuteka bali kuifuta London, UK kwenye uso wa dunia.
Ikianza vita rasm hakutakuwa na matumizi ya Ak47 kama hapo kwenye Operation ya Ukraine. Zitatumika silaha nzito mno.
Nitataja mbili kama mfano.
1. The Poseidon, Status-6
Hii ina 100Megatons, ina uwezo wa kutengeneza Radio active Sunami yenye wimbi hadi 500m. UK ni kisiwa, its like kitaenda kufunikwa na Sunami kiwe uninhabitable kwa milongo kadhaa huko mbeleni.
Hiyo ni tsunami, Je watailinda kwa kutumia nini?
2. Samart 2...
Ambayo yategemewa kuingia mzigoni kwa matumizi mwishoni mwa mwaka huu. Dude linatembea kwa speed ya zaidi ya mach 20, Speed mara 20 ya sauti. Chini ya dk 7 linaweza kuipiga London.
Hizi dk 7 hata mtu hajamaliza kukata gogo chooni, rudi kwenye raman iangalie London iliko kutoka Moscow kisha jiulize hao waliopo katikati kitawakuta nini.
Hizi nchi ambazo tu kupeleka silaha Ukraine zishaanza kupiga kelele Stocks zao "zinapokoyoka"
Mambo yameanza kua matam kuyaeleza, kuna lingine linaitwa Skyfall missile. Hiyo project bado haijakamilika. Hili litakuwa kombola lenye unlimited range. Yes unlimited range.
Wanadai n Nuclear war head itakayokua na uwezo wa kuizunguka dunia miezi likiwa kwenye Patrol Mode. Sasa fikiria Circumference ya dunia af unaambiwa linaweza kuizunguka dunia for months likiwa kwenye Patrol Mode.
Avangard bado, hujakaa sawa kuna EMP bomb, Electro Magnetic Pulse Bomb. Hili likipigwa linazifanya Electronics zote ziwe taka taka. No modern Vehicle itajongea, Power grid zote zitazima, hakutakuwa na mawasiliano kwasababu EMV inaua all electronics components.
So there you know Russia kutunza Vifaa vya kivita vya WW1 na WW2 ana akili miingi, They knows side effects za ku-modernize kila kifaa. Back up ni lazima.
Madude ya kutisha kama hayo watajilinda nayo kwa kutumia nini? Kama tu ile Hypersonic yao yenye Mach 5 iliyowatia joto kuitest muungano wa nchi kadhaa, wakati Russia yeye anayo Hypersonic yenye Mach 9, yan speed zaidi karib mara 2 ya ile waliyokuwa wanai-test na ipo mzigoni?
Kibaya zaidi ana defence mechanism ya kutungua alichokitengeza S-550 kwa hizo Hypersonic Missile.
Weeeee Russia anatisha bro in term of military na hakuna aliye closer kwake. US, Paper Tiger na wajukuu wake wanajua hilo jamba jamba lake.
Show show kama bikra aliyepakiwa mkongo! We Zisikilize tu kauli zao utagundua hawawezi kamwe kumchokoza Russia mazima.
Upande wa NATO... Utasikia "We don't want direct confrontation with Russia"
🔸Hawa wapo zaidi ya mataifa 30 hawa.
Lakini Upande wa Russia... Utasikia "Tutapiga London, tutapiga Washington, tutapiga Satellites zao, tutapiga kile na kule"
🔸Huku ni Nchi moja tu, de Russian Federation.
Hizo kauli mbili tu ushajua nani atachora 7 in case likizuka la kuzuka!
Eeee ase, niishi mingi miaka nishihudie mengi. Awam hii tunaziona Hollywood behind the Scenes za West Wadau.
Kumbe wachumba tu hawa kelele nyingi ila hawana kitu.
Ilinichukua miaka kuelewa uovu wa hawa jamaa wa west...sio kwa mahaba niliyokuwa nayo ila kwa sasa kila pro west naona kama kichwa chake housing ya meno tu kuanzia masikio macho na ubongo vyote havipoKiukweli mimi nilikua mjinga sana nilikuwa naamini kweli gadaffi na saddam walikua magaidi kumbe sio kweli na uhalisia Mungu anisamehe kwakweli toka nijue propaganda na fitina na west niliamua kuwachukia mpaka kufa kwangu hawa sio watu wanajikuta wao ndo walioumba dunia. Wanajikuta wao ndo kila kitu.
Kutoka huo upande ni ngumu sana hao jamaa sijui wanadawa wakiweza kukalia ubongo wako kila wanachosema unaamini.
Tuisupport sana Russia yupo kwenye vita kali sana nyie mnaweza ona anavita na ukraine tu ila kuna mambo mengi yamejificha na hatari. Russia taifa teule [emoji1377][emoji635][emoji635]
Ila west mtu kudandia mwanaume mwenzie mgongoni ni sawa tuTatizo la nchi za kikomunisti haki za binadamu hawataki? Hakuna uhuru wa kuabudu
Katika viongozi walioacha Alama hapa duniani naamini Vladimir Putin na yeye jina lake litakuwepo,
Kulikuwa na mipango pamoja mikakati wa nchi za NATO pamoja na USA kuzidhibiti au kuiangamiza Russia moja Kwa moja isinyanyuke tena, Ila sijajua Vita ya Ukraine Nani aliitaka ni Russia au NATO??
Maana kipindi Vita inaanza Putin alitumia nguvu kubwa Sana na kuonyesha lengo la kutaka kuiteka Kyiv, majeshi ya Ukraine yalijizatiti kweli kweli kuyakabili na kuyazuia majeshi ya urusi, baada ya hatua ya Kwanza kuwaingiza kingi NATO na USA kuwa anaitaka Kyiv akaja na hatua ya pili akaweka msafara wa magari 64km baada ya pale zikaonekana picha chache kuwa Yale magari yameangamizwa na hivyo kuwaaminisha kuwa urusi kapata kichapo kikali na amepata hasara kubwa, katika kuliongezea chumvi hili ambalo watu wa NATO na USA waliloliamini kuwa urusi imepokea kichapo akaanza kusambaza taarifa kuwa wanajeshi wa Russia wameishia silaha na chakula, wale pro nato wakatuambia kuwa hakuna nchi yenye logistics mbaya kwenye uwanja wa Vita kama super power wa mchongo wakimaanisha urusi,
Katika kukoleza mambo Putin akaenda China kuonana na Rais wa China na wakati anaenda FSB walihakikisha wanavujisha taarifa kuwa Russia imeishiwa silaha Putin kaenda kuiomba uchina msaada WA silaha,
Katika kipindi hiki ndicho ambacho nchi za NATO na USA waliamini wakiongeza nguvu kubwa basi Wana uhakika ushindi utakuwa upande wao
Uncle Joe na mashosti zake wakaingia kwenye bank zao kuichangia pesa Ukraine Biden akaingia stationary kuchapisha Dola 40B, Poland Kwa kuonyesha kuwa ni mkereketwa akaenda kufagia ghala lake silaha zote akapeleka Ukraine yeye mwenyewe akabaki mweupe kiasi kwamba hata wakiingia panya road Wanachukua nchi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Katika kipindi hiki vitu kama kila Aina ya silaha Kali zilipelekwa Ukraine ili ashinde Vita, pro NATO wakitamba mrusi safari hii anachapika, ili waingie vizuri na wajikute west wamevuka hadi mstari wa point of no return, urusi ikatoa sababu moja nyepesi kuwa wanarudi nyuma ili kuonyesha kuaminiana ili kupisha mazungumzo ya Amani ila ukweli NATO walijua mrusi karudi nyuma kutokana na kuzidiwa,kuishiwa silaha na chakula Kwa hiyo kipindi mazungumzo yanaendelea walikuwa busy kupeleka silaha sehemu husika ili waje wampe pigo moja takatifu urusi,
Mrusi baada ya kuona samaki kasha NASA kwenye chambo akaanza kupiga na kuchukua maeneo muhimu yote kiuchumi, NATO na USA wanakuja kutahamaki wanakuta bandari imekwenda, chakula kimechukuliwa kinu cha umeme kimechukuliwa na kujikuta kuwa maeneo muhimu yote yapo Kwa Russia, ndipo nchi kama ujerumani ilihisi tatizo na kuanza kupunguza ukimbelembele ikimuacha nchi kama Poland isiamini inachokiona maana silaha zote zilizoingia Ukraine zilifikia Kwa urusi, kuangamizwa na hata chache zilikuwepo zilikuwa alhazifanyi kazi ipasavyo,
Katika kipindi hiki sasa ndiyo NATO na USA wanakuja kujua Russia aliwalisha matango pori, katika kipindi hiki asilimia kubwa ya jeshi la Ukraine wameuawa, majeruhi, wametekwa au wamejisalimisha na kuomba uraia wa Russia, mpaka sasa kuna uwezekano mkubwa 40% ya wapiganaji Wote wa ndiyo waukraine lakini waliobaki ni marcenary kutoka mataifa mbalimbali ya ulaya, America na middle East,
Kitu kingine kinachowaumiza kichwa ni baada ya urusi kuchukua miji yote ya kiuchumi, na Ukraine kutokana iko vitani haizalishi tena na kazi hazifanyiki inabidi west waingie mifukoni kuendesha Vita na pia kuhudumia mahitaji muhimu hapa ndipo wanapoumia zaidi na ukichukulia uchumi unaharibika kila Leo kutokana na vikwazo walivyoweka na kibaya zaidi Russia anaonekana anataka hii Vita iendelee Kwa muda mrefu ili west na marekani waumie zaidi kipindi hicho nchi Kama uchina, India na Irani wanapiga gap kubwa kiuchumi
Kitu ambacho EU na USA hawataki kutoka Ukraine ni aibu ya kushindwa ambapo kutasababisha kuanguka Kwa nchi za ulaya na marekani, maana kumbuka nchi hizo zote za ulaya wanategemea resources za urusi ili uchumi wao na viwanda vikue, sasa jiulize kama walisema basi halafu urusi ikasema hatuwauzii west resources zetu, kutatokea nini???, Si ndiyo mwanzo wa machafuko maana pesa zao zitapoteza thamani, Ajira zitakuwa hakuna umasikini utawanyemelea ndiyo mwanzo wa mzungu kuwa mzamiaji afrika 🤣🤣🤣🤣, sasa ili kuepuka aibu hii ndipo inakuja Ile kauli " tutapigana Vita na urusi mpaka mtu wa mwisho wa Ukraine"
Hapa sasa nchi za NATO na USA itabidi hii Vita waigharamie wao na wapeleke Askari wao kupigana baada ya asilimia kubwa ya jeshi la Ukraine limeangamizwa au wapo majeruhi, Kwa hiyo itabidi waombe bajeti kwenye mabunge Yao ili waendeshe Vita,
Unafikiri Ile kauli ya Russia kusema baada ya miaka miwili Ukraine haitakuwepo kwenye uso wa dunia ilitoka Kwa bahati mbaya?????
Hapana ilitoka Kwa makusudi ili kuwatia hasira west waendelee na Vita au wakubali hasara Kwa misaada yote walioipa Ukraine na ukumbuke hii ni biashara za watu hizi Kwa hiyo walikuwa wanajua Ukraine alishinda watalipwa sasa kama Ukraine itafutwa kwenye uso wa dunia maana yake na madeni yote waliyomkopesha Ukraine yatakuwa yamepotea, hapa ndipo lile kundi la wahuni linaloongoza marekani in shadow ndipo linapochanganyikiwa, pesa ndefu imepotea kisa Putin kazingua Kwa hiyo Kwa mtazamo wangu kuna kila dalili NATO watakuja kuingia Ukraine au wakubali kuanguka kwao
Kitu ambacho marekani na NATO hawataki kukubali ni kuwa zile zama zao zimefikia tamati sasa ni Zama za Asia kuongoza dunia
Naona kuna kila dalili afrika kupokea wakimbizi kutoka ulaya 🤣🤣🤣🤣 na hivi silaha walizopeleka Ukraine zipo black market ni swala la muda tu patachimbika hapo ulaya
Naomba samahani Kwa kuandika gazeti lakini Kama kuna pa kujazia nawakaribisha Sana watu pro - Russia 🙏🙏🙏🙏

Hivi kwa nini hawa jamaa wa ukraine na nato yake wanapenda sana kukimbilia kujificha kwenyewe viwanda....maana hii sijui ni mara ya tatu utasikia majanga yamewakuta kwenye plants flani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji95] Updates!!!
A Russian air strike destroyed up to 80 Polish mercenaries in Ukraine.
The Russian aerospace forces attacked the buildings of the Megatex plant in Konstantinovka, the Russian Defense Ministry reports.
Ndio tatizo la kufatilia habari za TBC peke akeWafuasi wa NATO kwa sasa tuna aibu kubwa sana. Au nasema uongo ndugu yangu figganigga ? Kitendo cha kufuatilia BBC,The sun sijui sky ni kupoteza muda,uhalisia ni tofauti na habari zao.
Nimestuka sana jana kusikia wanajeshi wa Ukraine wameambiwa waondoke tu kwenye mji wa severdonetsk kwa sababu hawana wanacholinda.
Ukienda vyombo vya magharibi unaona vifaru vya Urusi vikipigwa tu. Nimesikitishwa sana,sa ni chombo gani cha habari hakiegemei upande wowote nikifiate?