Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wafuasi wa NATO kwa sasa tuna aibu kubwa sana. Au nasema uongo ndugu yangu figganigga ? Kitendo cha kufuatilia BBC,The sun sijui sky ni kupoteza muda,uhalisia ni tofauti na habari zao.
Nimestuka sana jana kusikia wanajeshi wa Ukraine wameambiwa waondoke tu kwenye mji wa severdonetsk kwa sababu hawana wanacholinda.
Ukienda vyombo vya magharibi unaona vifaru vya Urusi vikipigwa tu. Nimesikitishwa sana,sa ni chombo gani cha habari hakiegemei upande wowote nikifiate?
WION
 
Moja ya Pumba iliowahi kuandikwa hapo kabla.

Huyu jamaa sijui hali iliyopo leo kama anaweza kupata nguvu za kuandika ufonongo kama huu.

Kukimbia Uzi ni lazima... Huwa nikiwakumbuka nacheka mno.. MNOO
Mwenzake Yoda naona nae kakimbia uzi,

Unajua hawa Pro-NATO siyo kwamba hawana akili za kujadili mada kwa uzito, shida ni moja upande waliopo upo hoi bin tabani, kiasi kwamba wakijaribu tu kubishana kwa hoja, ukweli na uhalisia unawapiga za uso hadi hoja zao zinaonekana vituko.

Yani nisawa iwe inacheza timu ya taifa ya Senegal Vs Tanzania, halafu uingie battle ya hoja kuwalinganisha kina Kibwana shomari, Gorge mpole, Mzamiru yasini na n.k dhidi ya kina Sadio Manè, Idris gana gueye, Mendy na n.k.
Automatically tu ukweli na uhalisia utakufanya uonekane kama kiakili na kihoja haupo sawa na ndo kinacho watokea pro-NATO.

The strong and brave mind always choose the right side, Congz to you all Pro-Russians for best choosing [emoji635] [emoji635] Thus, you able to argue logically.
 
Mkuu hapa umechanganya elimu na Imani, niambie Kwa dini hizi zilizoletwa na watu weupe kuna kipi cha maana wamefanya?

Hiyo Imani ya weupe kama ukikesha unaabudu inaweza kutupatia satellite au atomic bom????
Wajanja wajanja tu hawa washikaji wanatuzuia kuiomba mizimu yetu ila ya kwao wanayaita watakatifu,manabii na mitume hahahahaha . Halafu serikali zao zinaingia pesa za utalii kwa kuwaambia waumini wao wakatembelee huko
Nalog off  Z
 
Tatizo la nchi za kikomunisti haki za binadamu hawataki? Hakuna uhuru wa kuabudu
Pole mwamba, Shida na hizo taarifa umezitoa kwa hao hao wanaowaza sauti ya Ushuzi wa sokwe.

Mjomba katika sehem kulipo na uhuru wa kuabudu ni East, East hakuna kulazimishana. Uwe buza au hindu, muislam au mkiristo.

Ulishawahi kusikia China au Russia kuna vurugu za Kiimani? Unajua kua Russia ni Taifa lenye mkusanyiko wa dini nyingi kuliko Taifa lolote duniani?

Wale Chechen si ni Waislam, Umeziona Attitude zao kwa wale ambao sio waislam? Far better kuliko waarab wa Middle East!

The best place to live kama unawaza uhuru wa kuabudu ni East, sio West walioshupaza mafuvu kuchafua dini za watu kwa visingizio vya Ugaidi.

Budha au Hindu anapewa heshima yake, Mpagani anapewa heshima yake. Kwa kifupi kelele za kuabudu East hazipo. Watu wako bize kutafuta Chapaa we ukiamua hata kuabudu mti. Ni juu yako! Hakuna atakayekusumbua!
 
Tatizo la nchi za kikomunisti haki za binadamu hawataki? Hakuna uhuru wa kuabudu
Kasema nani
Ila kheri tuzuiliwe kufanya ibada ikiwa haki za binadamu nipamoja nakuoaba sisi kwasisi
Yaani unaambiwa utoaji mimba haki ya kibinaadam
Tunaambiwa GADAFI ASAD alikua DIKTETA ila unashangaa MBS na wengineo pale mashariki yakati nimadikteta ila ndio maswahiba WAKUU wa WEST
Kiufupi nimekua mvivu kuandika ila WAMAGHARIBI wanatudanganya sana kwamaslahi yao hawa UMBWA
RUSSIA AGAINST EVIL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji95] Updates!!!

A Russian air strike destroyed up to 80 Polish mercenaries in Ukraine.

The Russian aerospace forces attacked the buildings of the Megatex plant in Konstantinovka, the Russian Defense Ministry reports.
 
Wafuasi wa NATO kwa sasa tuna aibu kubwa sana. Au nasema uongo ndugu yangu figganigga ? Kitendo cha kufuatilia BBC,The sun sijui sky ni kupoteza muda,uhalisia ni tofauti na habari zao.
Nimestuka sana jana kusikia wanajeshi wa Ukraine wameambiwa waondoke tu kwenye mji wa severdonetsk kwa sababu hawana wanacholinda.
Ukienda vyombo vya magharibi unaona vifaru vya Urusi vikipigwa tu. Nimesikitishwa sana,sa ni chombo gani cha habari hakiegemei upande wowote nikifiate?
Ukitembelea official page za serikali ya United States utakuta comments za posts zaidi ya 70% ni bendera za Urusi tu ([emoji635][emoji635]) nadhan hiki kitu ndo kinamvuruga sana babu biden hadi anaanguka hovyo kwenye baiskel.

Inakera sana kumutengenezea zengwe jirani yako apatwe na matatizo ili wanafamilia wake wamchukie badala yake unaona ndo upendo juu ya baba yao unazidi kuongezeka halafu wewe ndo wanao wanazidi kukuchukia.

URUSI NI KAMA MAJI UKIKIMBIA KUYAOGA, UTAYANYWA.

"Thousands have lived without love(USA&EU), not one without water (Russia[emoji635])" W.H Auden.
 
[emoji95] Updates!!!

Moldova "ran ahead of the locomotive", trying to please its new owners, Dmitry Medvedev said.

Even without being in the EU, Moldova is ready to join the European sanctions against Russia.

"Well, let them try. Then they can be 100% sure that they will not receive from us not only "expensive" energy and other resources, but none at all. Let them enjoy the sanctions before they get into the EU." He said.
 
Dah
Ila Putin mjivuni sana ,safari hii kawadhalilisha Sana Viongozi wengi wa ulaya Magharibi.
Kila akitaka kuongea nao anawaweka kwenye meza ndefu.
Akiongea na wengine anawaweka karibu. Aisee.
Ingawa Sergei Lavrov humuweka mbali pia,sijui labda kwa kuogopa corona,maana Lavlov anasafiri sana.
Sijui lakini.
Wengine kama hawa mkuu👇👇

Putin and sall


IMG_20220605_182521_507 (1).jpg
 
Najua wanaipenda wanaitaka pia, na kila ikipita hawachoki kuiangalia.... Salam ziende Washington!

View attachment 2271461

⚡⚡⚡The President of Argentina announced the country's intention to join the BRICS.

"We strive to be full members of this group of nations, which already represents 42% of the world's population and 24% of the world's gross product," said Alberto Fernandez.

He recalled that Argentina is a responsible supplier of food and a recognized global player in the field of biotechnology and logistics.

Today, the BRICS includes Brazil, Russia, India, China and South Africa.
Amkeni kumekuchs!!
 
[emoji95] Updates!!!

Moldova "ran ahead of the locomotive", trying to please its new owners, Dmitry Medvedev said.

Even without being in the EU, Moldova is ready to join the European sanctions against Russia.

"Well, let them try. Then they can be 100% sure that they will not receive from us not only "expensive" energy and other resources, but none at all. Let them enjoy the sanctions before they get into the EU." He said.
Medvedev 😆😆😆
 
Nchi za Afrika zimemtosa Zelensky hata kumsikiliza tu kwenye 'Zoom meeting'[emoji16][emoji16][emoji56][emoji56][emoji56]

Yaani kwenye jumla ya nchi 55 za Afrika, ni nchi nne tu ndio ziliamua kuhudhuria mkutano wa mtandaoni na Zelensky ambapo Zelensky alikuwa akiomba sapoti ya Umoja wa Afrika dhidi ya Urusi

View attachment 2271421
Waafrica walinyanyaswa sana bora wasusie kumsikiliza
20220625_093113.jpg
 
Mwenzake Yoda naona nae kakimbia uzi,

Unajua hawa Pro-NATO siyo kwamba hawana akili za kujadili mada kwa uzito, shida ni moja upande waliopo upo hoi bin tabani, kiasi kwamba wakijaribu tu kubishana kwa hoja, ukweli na uhalisia unawapiga za uso hadi hoja zao zinaonekana vituko.

Yani nisawa iwe inacheza timu ya taifa ya Senegal Vs Tanzania, halafu uingie battle ya hoja kuwalinganisha kina Kibwana shomari, Gorge mpole, Mzamiru yasini na n.k dhidi ya kina Sadio Manè, Idris gana gueye, Mendy na n.k.
Automatically tu ukweli na uhalisia utakufanya uonekane kama kiakili na kihoja haupo sawa na ndo kinacho watokea pro-NATO.

The strong and brave mind always choose the right side, Congz to you all Pro-Russians for best choosing [emoji635] [emoji635] Thus, you able to argue logically.
Upo sawa mkuu. Hii ni sawa na Man City vs Namungo, hapo utachambua sana wewe wa Namungo ila hata bila kipa Man City atashinda 10+.

Ndo sawa na Russia VS [Ukraine+NATO+Propaganda].

NATO washasalimu amri ni suala la mda tu
 
Back
Top Bottom