Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yeah,ni bad news,lakini ni news,huhitaji good news tu.Hii sio case ya mpira kati Yanga na Simba.Unahitaji kujua kila kitu.You see Russia is fighting on behalf of all of humanity except the NWO psycopaths,who are the enemy of the rest of humany. Sikiliza clip hii ya huyu Clergy,labda utapata picha ya ninacho ongelea.


Ahsante sana
Kwani kuna tatizo??, Kuna ushahidi usio na Shaka WA kusema dini zilizoletwa na watu weupe ni dini sahihi?
Watakupa ushahidi wa kujitetea kutoka kwenye vitabu vyao hahahahaha
Ni kweli kabisa kilichotakiwa ni kurekebisha ili ziwe za manufaa zaidi Kwa kizazi chetu na Siyo kama tulivyofanya Sisi timeziacha kabisa
Tunafanya makosa makubwa sana,kwa kuziacha za kwetu na kuchukua za kwao
Nalog off Z
 
Wewe ni pimbi jike ambaye hukuyaona mauaji ya serbia, yugoslavia, iraq, afghanstan,syria, libya nknk. Hivi nyie pro NATO akili zenu zilitoka na marinda??

Mngekua mlipiga kelele kipindi shoga wenu US anavamia hzo nchi na kuua maelfu ya innocents ningekuona wa muhimu.
I don't argue with fool
 
FV_wbx0XkAEs5qO.jpeg

Babu maelekezo katuachia sisi tusome,yeye kahifadhi kitambo hahahahaha
Nalog off  Z
 
Akili zetu waswahili zinajiweza wenyewe ndugu. Huyo bila shaka ulivyojaribu kumueleza chochote huenda alikupa maneno ya kashifa...

Kwanza hio taarifa imechakachuliwa, aliye pata dharula sio huyu aliyepo. Ni ex Colonel/former Colonel.

View attachment 2270919

Pili, Hiyo brief case anayeweza kuitumia kutoa Command ni President tu, ambaye ni Chief in Command ie CiC.

View attachment 2270922

Tatu, kuhusu anayebeba hiyo Briefcase, Yoyote anayekua assigned hiyo kazi hukibeba hicho kibegi na yuko popote pale anapokuwa rais, iwe safari ya nje au ndani. Kama umuanavyo yule mpambe wa Mama Samia.

View attachment 2270924

Napenda kutoa mifano, niruhusu nitoe mfano wa mwisho, pale bungeni kuna ile fimbo maarufu kama SIWA. Ile fimbo huwa kuna anayeingia kaibeba Spika akiwa nyuma. Na kutoka hivyo hivyo.

Mbebaji wa ile fimbo hana mamlaka yoyote juu ya ile fimbo, na anaweza kuondolewa akawekwa mwingine.

Mwenye mamlaka ni yule anayetenbea kuongozana na huyo aliyebeba fimbo. Mind you pia kuhusu Cheget, sio kwa Russia tu. Kule US kila Prezda anayeingia madarakani hukabidhiwa. Na Rais aliye madarakani hutembea na hiyo Briefcase popote pale atakapoenda.

Na anayemiliki hizo code kwa ajili ya kutoa Command ni mkuu wa nchi sio mbebaji.

View attachment 2270927

Yote kwa yote mbeba Cheget, hatoki nje ya upeo wa Raisi, huezi kumkuta kwake kanyoosha kwato... ikitokea Emergency itakuaje?

Hadi apigiwe sim, hakuna ushamba wa namna hiyo kwenye issue nyeti kama usalama wa taifa...

Achana na hizo tope, zishapagawa hawajui hata wanazungumzia nini.

Tukutane kesho panapo Majaaliwa. Mwanga unaniumiza sana macho!
👏👏👏👏👏👏👏👏
Nilikua nafahamu kitu kama hicho ulichoelezea ila sema kukanusha kila propaganda inachosha kwa kweli.
Inabidi tuwaache tu wajifariji.
Wenzetu pro USA NATO wako na Hali mbaya sana ,Kila kihabari hasi Cha Urusi kwao ni lulu.
Mengine tunasoma TU nakukaa kimya.
 
Nimekupa mfano mwepesi, kuna watu hadi leo wanafanya matambiko, wanatembea na mahirizi ya mababu zao... Je kuna lipi wamelifanya la kujivunia?

Hiyo mizimu au hao wakina sara ambao umewatolea mfano, tukichinja ng'ombe 20 kafara tutapata Satellite huko angani? Tutapata Samart 2? 😂
Mkuu hapa umechanganya elimu na Imani, niambie Kwa dini hizi zilizoletwa na watu weupe kuna kipi cha maana wamefanya?

Hiyo Imani ya weupe kama ukikesha unaabudu inaweza kutupatia satellite au atomic bom????
 
Nyingine labda saa ngapi mwana wa Africa atasubutu kutengeneza kifaa cha kwenda mawinguni?

Wakati kule ni nyumbani kwa malaika na Mungu? Unataka kumchunguza Mungu?

Hapo ndio unapoona athari za mapokeo wenyewe ndio wagunduzi na waanzilishi wa izo safari na ni baada ya kuwa na tamaa ya kujua mawinguni kuna nini,nyie endeleeni kukesha na kuomba wenzenu wanachanja mbuga na muda sio mrefu wanawaachia dunia yenu.

Tukiweza kugaini control na asili yetu hatutakua na limit.
Galip Vrl
Yaani unayoongea kama umeazima kichwa changu mrembo 😃😃😃😃😃😃
 
US makes confession about skyrocketing food and energy prices The Federal Reserve has no tools to deal with the problem, Jerome Powell says
Nalog off Z
So itakuaje 🤔😆

Wenzetu pro USA NATO wako na Hali mbaya sana ,Kila kihabari hasi Cha Urusi kwao ni lulu.
Chochote kinachowapa furaha wanakitetea,
 
H
Naomba nichangie kwa mara ya mwisho na kama Kuna mtu hajaridhika basi anaweza kufungua Uzi na Mizimu ya mababu ikipenda tutakutana huko.

Pia niombe radhi kwa Wana jf kwa kuwatoa nje ya mada yetu pendwa ila Sina budi Kurekebisha upotoshaji.

Wasudani hawana Uarabu wowote ule hapa Afrika na jamii za kale zilizokuwepo Misri zilikimbia kutokana na vita ya wavamizi kutoka Asia.

Mpaka Leo kusini mwa Misri kumejaa wanubi na jamii nyingine za kiafrika ila hazipewi support ya kutosha na waarabu wa misri.

Na Kuna ushahidi wa kutosha hata farao wa mwanzo hawakuwa waarabu.

Waarabu aliwatawala watu mpaka eneo la Sudan ya leo na kuimpose lugha yake, Utamaduni wake na Imani yake kutokea Misri, wengine wakaenda wa waberber na kuwasilimisha na wenyewe kulowea huko na mpaka Leo North Africa ni waarabu na jamii zinazojinasibisha na uarabu.

Turudi kwa Sudan

Watu wa Sudan, Chad, Tuareg, Fulani katika nchi za Mali, Burkifaso, Mauritania,Niger na Nigeria Wanaongea western sudanic group of language.
Sasa iweje watu wa Sudan ambao ni wanubi wawe waarabu na Fulani wa Nigeria wasiwe waarabu?
Kumbuka hawa wote Wana Utamaduni na Imani ya Muarabu?

Halafu Kuna eastern sudanic language zinazoanzia kusini mwa Misri mpaka Tanzania ila wanaopatikana sio waarabu?

Halafu Waarabu ni Semetic sawasawa na Wayaudi na waethiopia.
Kwa nini waethiopia sio waarabu Ili wapo kwenye kundi Moja?
kumbuka Arabic language imekopa maneno mengi kutoka Amharic language ambayo ni Moja ya lugha inayotumiwa na Waethiopia.

Hivyo utagundua watu wa Sudan sio waarabu haijalishi wanavyojinasibu na uwarabu.

Kumbuka watu wa Djibout asili yao na vinasaba vyao ni Wasomali na lugha ya Somali ndio huzungumzwa, ikawaje wawe waarabu?

Utagundua ni Imani, Utamaduni ndio wakaingizwa kwenye Arabu league na kutambulika kama Taifa la kiarabu.

Muharabu sio mweupe kwanza, wale watu ni brown hivi na msudani so kati Yao.

Unafikiri kwa nini Mzanzibari anajiona muharabu zaidi?

Kwa nini wanahisi Watu wa Oman ni ndugu zao zaidi?

Kwa nini watu wa mikindani, kilwa zote, Lindi, Kisiju, Mafia, koma, kwale, Bagamoyo, Sadani, Pangani na Mkinga huwa tunawaona waarabu sio wakoloni?

Na wapo wanaojiona waarabu zaidi kuliko waafrika?





View attachment 2270013View attachment 2270014View attachment 2270015View attachment 2270016
Hizi comment kama hiinz iwaendee wanafunz wa historia kwenye group la Elimu. It's very inappropriate here
 
-5886587017058433935_121.jpg

⚡⚡⚡The West fails to isolate Russia, writes a Financial Times columnist.

The author cites the following theses in his article:

🔸 Most of the other countries have not joined the West
Not every summit is a festival of Western cinema, where Zelensky became the main character.

🔸 Not everyone shares the opinion of the American establishment that Putin is waging a "war on democracy."

🔸 The West is not the world, and the world is not the West. It is surprising that we have to emphasize such a truism.

🔸 Most of the non-West craves strategic autonomy. Africans, Arabs and Latin Americans know that when there is a clash between the ideals and interests of the United States, interests usually win.

@LLSeniors
 
Kumbe wanajua Putin anapendwa eeh ila wanajichonoa kumuita Dictator na Katili ha ha ha, Pro-west mko wapi njooni mumskilize bibi yenu😆

⚡⚡⚡ The Estonian Prime Minister said that the residents of Russia should suffer from Western sanctions.

Kaya Kallas, in an interview with the Associated Press, rejected criticism that sanctions seem to harm ordinary Russians, but cannot "restrain Putin."

"I still think that the consequences of sanctions should be felt by the Russian population, because if you look at it, Putin's support is very high," she said.
 
-5886587017058433936_121.jpg

⚡⚡⚡Imports of Russian oil to India jumped 50 (!) times, writes The Economic Times.

Before the start of the Russian special operation in Ukraine, Russian oil accounted for only 0.2% of the oil imported by India, the newspaper writes.

Now the share of Russian oil in India is 10%. Russia has overtaken Saudi Arabia in terms of supplies to India and has become the second largest supplier, second only to Iraq so far, the newspaper notes.

@LLSeniors
 
Tangu lini USA akawa analingishia silaha...yeye hababaishi akiamua kukupiga anakutandika kama katoto.....silaha zake ni siri.....baki na mmeo putin anayewalingishia USA nuclear ya mwaka 1977 wakati hadi south Africa wanayo

Nabishana na mtu ambaye haijui USA. Acha waendelee kukushika MATACORE hayo. Marekani ana silaha za Siri[emoji23][emoji23][emoji1787]?. Dogo mpaka leo hujajua US ni taifa gani??
 
Back
Top Bottom