Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

1655978478256.png

hizo shingo atazichomoa si kwa mkazo huo
 
👊👊👊

😂😂😂

Eti, Samart 2... Dogo fala sana wewe 😂😂😂
Kingwendu wewe🤣🤣🤣🤣😂😂

Sasa kupitia kejeli yako ndio utaona jinsi tunavyopigwa bao mchana kweupe na hao watakatifu.

Ni kwamba changamoto hazitakaa ziishe kwenye jamii zetu wao sasa wanavitengo vya kufanya tafiti na chanzo ni curiosity zinazotokana na mafumbo ya duniani.

Hivyo kutoka kukesha madhabahuni au masinagogini wanaunda vifaa na kuona ukweli ni upi.

Sisi huku hatuna curiosity yyte tumebaki na ahsante na maombi ubongo haupanuki ili kuona ivi hatuwezi kutumia maarifa yetu tuone inakuaje.

Hivyo inaonekana kuna connection ya binadamu na asili yake (tamaduni)ukipokea kila kitu itabidi usubirie= ziro curiosity.

😃😃😃😃😃
 
Kama mmarekani ana ushawishi hapa ndipo pa kumbana Puttin au safari itakuwa ndefu sana maana wachina watafanya biashara mpaka za uzalishaji magari sababu soko na nishati zipo, wahindi watafungua masupermarket n.k na kutokana na idadi ya watu uchumi taratibu utaanza kuwa affected na new type of demand and supply. Marekani Wakishindwa hizi forces zikafikia equlibrium tutashuhudia mabadiliko makubwa ya uchumi wa dunia.

NAAMINI HAPA ATAKUTANA NA LIMIT MAANA MAREKANI SI MWEPESI. ANA NGUVU NA UWEZO KATIKA UCHUMI WA SASA ESP KATIKA USAMBAZAJI WA TECKNOLOGY.

Screenshot_20220623-130126_Chrome.jpg
 
Nebenzya.... Permanent representative of Russia huko UN

⚡⚡⚡ Nebenzya at UN to West: "You are spending billions on a proxy war with Russia to the last Ukrainian. This is real incitement to violence on your part.

You indulge in frenzied Russophobia in your countries, indulging the Poles, Czechs and Balts who have long been obsessed with it.

In your countries, there are even stickers on shops and bars that they do not serve Russians. How is this different from racism? Change the word "Russian" to "black people" or "Jew".

Why does such associations make you cringe, but you can treat Russians like that. And if you don’t think so, then why do you support “cancel Russia” campaign launched by Ukrainian political strategists?

But no matter how hard you try, you will only be able to drag out the agony of the criminal Russophobic Kyiv regime, but not stop it.

This regime was doomed back in 2014, when it started a war against its own people, millions of Ukrainians are waiting to get rid of it. Our operation will be carried through to the end, its goals will be fully realized."

@LLSeniors
 
Nyingine labda saa ngapi mwana wa Africa atasubutu kutengeneza kifaa cha kwenda mawinguni?

Wakati kule ni nyumbani kwa malaika na Mungu? Unataka kumchunguza Mungu?

Hapo ndio unapoona athari za mapokeo wenyewe ndio wagunduzi na waanzilishi wa izo safari na ni baada ya kuwa na tamaa ya kujua mawinguni kuna nini,nyie endeleeni kukesha na kuomba wenzenu wanachanja mbuga na muda sio mrefu wanawaachia dunia yenu.

Tukiweza kugaini control na asili yetu hatutakua na limit.
Galip Vrl
 
Ujue nimecheka alichozungumza Ask-Q sio kwamba namkejeli, nop. Mie nae letu moja basi tu utani wa apa na kule Shangazi 🤩...

Nawafatilia vyedi japo sijataka kushiriki huko ili kuepusha kuwatoa nje ya mada watu wengine.

Ila katika yoooote aliyoyasema, kama ni Curiosity basi iweke kwenye hizi paragraph 2. Why, why kisha how, how!
Until when utakapokuja tambua kila aina ya knowledge iliyopo mbele yako ina some flaws. Utaweza ongeza ability to understand vitu critically.

Kila kitabu kina some flaws, kila history ina some flaws, kila kona kuna some flaws. Kilichopo kunapishana degree ya ukweli, kuna vitu vingine uongo mwingi kuliko ukweli, na kuna sehem kuna ukweli mwingi kuliko uongo.
 
Kwa hiyo Bulgaria wamemwaga mboga, hawataki kuwasha mkaa na kuni kipindi cha joto, here comes Italy, waitaliano waliumizwa na covid 19 kuliko nchi yoyote duniani, leo myopic leaders wanataka ugomvi nyumba ya kumi huko uwaathiri.

What I need, UK I crash kabisa, huyu ndio kiherehere namba moja wa [emoji631].
 
Hivi ww Una akili kweli? Russia hakatai Ukraine kuingia EU, Russia anakataa Ukraine kuingia NATO,EU ni economic body.
SIRI IMEFICHUKA.

Ukrainian Ambassador to Australia Vasyl Myroshnychenko says Russia believes it needs to “revive” the Soviet Union and the Russian empire.​

Russia believes it needs to 'revive' the Soviet Union and the Russian Empire​

Russians invaded us because they want us to be kept out of the EU,” he told Sky News Australia.
“They just believe they need to revive the Soviet Union, revive the Russian empire, and that was the main reason why Russians were so objecting to Ukraine’s entry – protentional entry into the NATO.

“Because if we become part of NATO, Russians can never invade us, and they always wanted to invade, and now they’ve done it.”
 
Hivi ww Una akili kweli? Russia hakatai Ukraine kuingia EU, Russia anakataa Ukraine kuingia NATO,EU ni economic body.
huwezi kutenganisha NATO na EU, wote wana common interest. The EU is a unique and essential partner for NATO. The EU is a unique and essential partner for NATO. The two organisations share a majority of members, have common values and face similar threats and challenges.
 
KIMENUKA....PIGO JINGINE KWA URUSI.

1655983581689.png

Kyiv to receive EU candidacy status​

European Union leaders in Brussels are expected to greenlight Ukraine’s first step towards joining the bloc.
 
Kama mmarekani ana ushawishi hapa ndipo pa kumbana Puttin au safari itakuwa ndefu sana maana wachina watafanya biashara mpaka za uzalishaji magari sababu soko na nishati zipo, wahindi watafungua masupermarket n.k na kutokana na idadi ya watu uchumi taratibu utaanza kuwa affected na new type of demand and supply. Marekani Wakishindwa hizi forces zikafikia equlibrium tutashuhudia mabadiliko makubwa ya uchumi wa dunia.

NAAMINI HAPA ATAKUTANA NA LIMIT MAANA MAREKANI SI MWEPESI. ANA NGUVU NA UWEZO KATIKA UCHUMI WA SASA ESP KATIKA USAMBAZAJI WA TECKNOLOGY.

View attachment 2269642
US kashafail tayar kwa hilo
Hujui kama RUSSO anauza mafuta na GAS kwawingi huko INDIA na UCHINA katika kipindi hiki
Nabado atafanya nao biashara mingi sana ikumbukwe UCHINA na INDIA kwajumla yao wanatakriban ya watu 3.sB yaani mtaji mzuri sana wa biashara kwa RUSSO maana hayo mataifa mawili tu ya BRICS yanarasilimali watu yakutosha
Hatujaenda bado kule kwa BRASIL na South Africa
Wakat tunasema vikwazo havitaiathiri RUSSO kama walivyotarajia watu tuliona mbali MKUU mkawa mnalalama lalama nakubeza
Atakacho ama anachofanya RUSSO ni simple tu anahamisha biashara kutokea West to East
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom