Ngoja tufanye kama Muhtasari,
kisiju pwani kwanza inaonesha wafikiri mwarab ni ngozi nyeupe tu.
According to study, kwanza Arab haielezewi kama ni Race, Wanadai Arab sio race, Arabs are not a distinct ethnic group, since there are both white Arabs na black arabs. Wanadai kua
Some have blue eyes na wengine wana red hair; wengine are dark skinned; na walio wengi zaidi wapo somewhere in between.
Baadhi kama hao the black Sudanese Arabs ambao wana-claim descent ln the male line from Arabs of Mohammed's time, na yasemekana wanaweza kua correct in their claim.
Wala huezi tumia language as a sufficient criterion of Arabness since kuna wengi katika wayahudi wanaozungumza kiarabu lakini are not normally called Arabs.
Leo hii nyanyua mguu either mtandaoni au kwa watu kaulize Arab ni nini hakuna atakayekupa majibu yaliyonyooka, hata wao wenyewe wanajua ilivyo ngumu kutafsiri Arab n nini.
Neno Arab ina connotation of "people who speak clearly." hii ipo contrasted with ajam, or "people who speak indistinctly." Ingawa ajam (Kiajemi) came to be used specially of Persians, Na mfano wa hii contrast inafanana to that between Greeks and "barbarians."
Umeizungumzia Arab league, Yes arab league imeanza 1945, ilikuja kwa lengo la kuunganisha mataifa ya kiarabu ambayo nyuma hayana historia ya kua pa1 sababu kubwa ikiwa kwenye mvutano wa utawala na ukabila.
Kwa membership ln the Arab League the primary criterion ni language, Arab league ni muungano wa Arabic-speaking countries. Hapa utakuwa umepata majibu kwanini Djbout, Mauritania na Comoros wapo ndani ya Arab league.
Djibouti yupo ndani ya Arab league kwasababu ni Arab Speaking Country sio kwamba kwasababu ni Weupe kama waarab wale kwa mujibu unaowawaza kwamba kama ni weupe.
Afghanistan na Iran ni Muslim countries with over 97% percent lakini hawapo Arab league kwasababu sio Arab speaking Countries na vile vile sio waarab, Lakini wapo eneo moja. Iran wanazungumza kiajemi, Persian Language, Afghanistan wana-zungumza Pashto sio arabic.
Mtu anvyoitamka Arab, ni kama anavyoitamka Asia, anavyoitamka Europe n.k Ndani ya Asia kuna Chinese, Japanese, Korean, Mongolian n.k ndani ya Europe kuna Dutch, Polish, Irish, British, Welsh, Scottish, Portuguese n.k
Upande wa Arab nako kupo vile vile, in term of geneology, waarab wana-wagawa katika mafungu matatu, Ancient Arabs, Pure Arab (Walio kuepo kabla ya Abraham na Ishmael) na Arabized Arabs (Waarab waliofatia baada kwenye uzao wa Ishmael).
Ukija kwenye ethnic, Being Arab inabase kwenye criteria nyingi tu mfano
1. Genealogy kama waliopo Saudia,
2. Ancestry kama wale Afro Arab waliopo Comoro
3. Self Concept, kwamba naamua kujivalisha au kujinasibisha na Uarab.
4. Attribution of Identity, hii category wapo hao Sudan Kaskazini, ambao pia huwa wana claim hiyo ya pili kua chimbuko lao nyuma kabisa linatoka uko.
Nyinginezo ni kama Cultural, Language, Political (Hapa ndipo kuna Djibouti na Somalis), Society na Nationality.