Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hakuna cha mizimu wala nini ni tamaduni zetu kutegemea ancestors wetu watusaidie pale tunapokwama,neno mizimu limepewa sifa mbaya ili tuone tulikua wapumbavu kuamini katika mababu zetu.

Mababu wa mababu zetu waliomba mvua ikanyesha,waliomba ufumbuzi wa Kila walilohitaji wakafanikiwa kwa kutumia njia zao nazo ni umwagaji wa damu za wanyama.

sasa apa unapata mfano wa rejea kutoka kwa baba wa imani Ibrahim alitaka kumtoa sadaka mwanae wa pekee,yeye nadhani alienda extra mile ili kuonyesha utiifu kwa bwana Mungu wake hivyo ndio akaonyeshwa mwanakondoo si ndio.Hii inadhihirisha kua kwenye jamii yake umwagaji wa damu kwa ajili ya kuomba ni kitu cha kawaida.

Hata wao wanatoa damu kama sadaka kwa ajili ya kufanikisha jambo lao.

Hii ipo mpaka leo hii kwa izi imani zote kuu hapa nyumbani kwamba kuna sikukuu fulani zikifika inapaswa damu imwagike sasa inatofauti ganii na enzi za mababu zetu(mizimu) wenyewe walitimiza bila kuambiwa na hao ivyo tuwape heshima yao bana walikua bora kwa wakati wao.

Tamaduni mbovu zilikuwepo sikatai ila zilikoma na ni jamii zote zilikua nazo hizo tamaduni mbovu.

Mi naona tuwaeshimu waliotutangulia kuishi katika hii ardhi ya Africa,walikua na mema ya kuenziwa,tegemea hata sisi hapa tukifa baada ya miaka 100 tutakua mizimu na wa upande wa pili wao watakua watakatifu tukomeshe huu upuuzi.
Huh you get it wrong Miss Ngaboru.

Until when utakapokuja tambua kila aina ya knowledge iliyopo mbele yako ina some flaws. Utaweza ongeza ability to understand vitu critically.

Kila kitabu kina some flaws, kila history ina some flaws, kila kona kuna some flaws. Kilichopo kunapishana degree ya ukweli, kuna vitu vingine uongo mwingi kuliko ukweli, na kuna sehem kuna ukweli mwingi kuliko uongo.

Understanding ni nini? Understanding inakuja na prior knowledge... Basic knowledge ambayo daima huwa ipo kama reference ya kila jipya unalotaka kujifunza.

Swali, what if prior knowledge ikiwa ni wrong knowledge? Huh Hapo ndipo shida inapoanzia.

Em jiulize kwanza, Culture ni nini? Na kwanini hii Culture ipigiwe promo kwa kiasi kikubwa. Na wengineo... Wanaoipigia promo wananufaika na nini?

Ukisema kuabudu mizimu.. Haya kuabudu hiyo mizimu US na wenzie wanapata hasara gani na hilo?Au je kutokuabudu mizimu wao wananufaika vipi na hilo?

That's why nikasema mis-understanding. Hapa narudia tena kusema kila kilochopo mbele, itikadi flan au habari flan au taarifa flan ina some flaws, kuivaa bila kuichuja bado daima wengi wataendelea ku-miss ile target iliyokusudiwa.

Again what's Culture? Culture are the ideas, customs, and social behaviour of a particular people or society.

Hapo isome hiyo maana vizuri... Toka na hizo Key term 3. Ideas, Customs na Social Behavior... Hapo ndipo utapata majibu ya nini wananufaika nacho through Cultural Assimilation.

Unaowataja kama Ibrahim sijui au maria au sarah hao ni binadam kama mimi na wewe walioishi miaka hiyo na sasa washakufa kama ambavyo mie na wewe kesho tutadanja... Siwezi kuwaomba hao mvua au chakula kamwe.

Na utawaombaje wafu mvua wakati Rain ni natural occuring phenomenal? Hii issue ya wanadam kuwaabudu binadam wenzao ukiichimba psychology inakupa majibu. Binadam tuna tabia ya kushangaa sana.

Mifano hai ni Rais aliyetangulia, kuna watu walifikia hatua ya kumueka kama Mungu, hio ni hulka ya binadam. Hawa wanaoitwa mizimu ni watu mashuhuri waliokuepo wakadanja...

Baada ya mda wakachongewa vijisanam. Zile iman ambazo huwa naziita za kipuuzi wakaanza kuwa wanaziomba hizo sanam walizozichonga wenyewe.

Nimekupa mfano mwepesi, kuna watu hadi leo wanafanya matambiko, wanatembea na mahirizi ya mababu zao... Je kuna lipi wamelifanya la kujivunia?

Hiyo mizimu au hao wakina sara ambao umewatolea mfano, tukichinja ng'ombe 20 kafara tutapata Satellite huko angani? Tutapata Samart 2? 😂

Sasa pale inaposemwa turudi kwenye tamaduni zetu sio kurudi kwenye miti kuomba mizimu. Hiki ndicho kinachowagharim wengi. "Understanding"

Understanding inaanza kwa kudefine key term kwa kile kilichosemwa, nimeambiwa nirejee kwenye tamaduni zetu. Kwani tamaduni ni nini? Na how zinahusiana na maendeleo. Hapo ndipo tutaenda na lengo lililokusudiwa.

Kama tamaduni ni mizimu, em nenda Congo, kuna Bantu Mythology, Chad na Gabon kuna Hausa Animism, Hapo Sudan kusini kuna Lotuko mythology. Ukirejea hapa Tz haraka haraka kuna Kalenjin na Maasai Mythology.

Hawana beliefs za kiiman kutoka kwa wageni eti Uislam au Ukristo incase labda unafikiri kwamba hatu-practice hizo beliefs za mababu.

Sasa yaangalie makundi hayo kama mifano iliyo hai, Jiulize tena kwa maana ya Culture unayoifikiria tukirudi huko ndio tutafika mwezini?

Of course hapana, culture is all about IDEAS, CUSTOMS and SOCIAL BEHAVIOR ambavyo kwa pa1 ndivyo vinahusika katika chachu y uchumi wa watu husika.

Haya yote sio mahala pake kwenye huu uzi. Ila tuzidisheni kupanua wigo wa uelewa katika mitizamo tofauti.

Moja wapo ya Customs ni kama Lugha, Lugha ndio msingi wa maendeleo, lugha ndio mzizi wa mawasliano. Bila lugha hakuna maendeleo. Sasa leo tunaacha lugha zetu tunajifunza za watu. Tena tumezifanya official!

That's means tume-create madaraja ya uelewa. Ili kuelewa kitu kinapita kwenye lugha zaidi ya moja ambayo inaweza fika kwenye lugha mama ukiwa umeisha ibadili maana ya awali.

Mtoto leo anazaliwa usukuman, anajua kisukuma, aanze kujifunza kiswahili, amalize ajifunze lugha ya kigeni.

Ukitamka neno la kingereza, anaanza kulitafsiri kiswahili, kisha alilete kwenye lugha mama yake ya kisukuma. Kujibu hivo hivo... Alitoe kisukuma alililete kiswahili kisha alilete kwenye lugha kusudiwa... Huuu ni MZIGO.

That way wanatoboa wachache, in turn tunawajaza wasiojifunza wengi mtaani kwa kushindwa mzigo huo ila haina maana kwamba hawana akili.

So inapotamkwa kurejea kwenye tamaduni zetu sio kuabudu masanam kama mabudha au mizim sijui ya kalikwenda au kalirudi.

After all hii maana hailazimishwi kua ndio pekee iwe, anyone anaeza tafsiri kwa uelewa wake as long as ina fit image anayoitaka.
 
Nikielewa swali lako, sawa Bado sijaelewa unalenga nini? Warusi walifanya vita Afghanistan, walijaribu kucha serikali yao, walipaswa kukimbia baada ya miaka, waliacha serikali iliyokaa miaka 2 au 3 hadi kufyekwa.
Wamarekani walipiga vita Afghanistan miaka 20, hatimaye walichoka walipaswa kukimbia, waliacha serikali yao iliyodumu siku chache.
Kwa jumla huko Afghanistan si mahali pazuri kwa Wazungu wanaojaribu kujiingiza huko (karne ya 19 Waingereza walipigwa vibaya Afghanistan).
Halafu? Unaona ni mafanikio kama serikali ya Warusi ilidumu kidogo kaba ya kufyekwa? Sawa, ni uhuru wako.
"The graveyard of empires" ni jina lingine inalojulikana Afghanistan..dola nyingi zilizovamia huko hazijawahi kushinda wala kuwa na mwisho mzuri
Mongol empire ulianza kuangukia huko
Mughal empire
British empire
Soviet union
Sasa ni usa

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa usa lazma aende namaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wewe uliyesema Haujui kuhusu Maidan Revolution!!?? Sio wewe uliyesema hajui kuhusu Donbass!!?? Sio wewe .... Aseeee kamalizie vidonge vyako aseee .... Huyu ni nani ....malizia vidonge wewe uchizi hauponi unapungua nguvu tu.View attachment 2269540
Huyu Kipala ni mwanamkiwi ndani ya ID tofauti

Akili ni nywele kila mtu ana zake, but huyu ni kipala hana 😂😂😂😂
 
Kila kitabu kina some flaws, kila history ina some flaws, kila kona kuna some flaws. Kilichopo kunapishana degree ya ukweli, kuna vitu vingine uongo mwingi kuliko ukweli, na kuna sehem kuna ukweli mwingi kuliko uongo.
👊👊👊

Mifano hai ni Rais aliyetangulia, kuna watu walifikia hatua ya kumueka kama Mungu, hio ni hulka ya binadam. Hawa wanaoitwa mizimu ni watu mashuhuri waliokuepo wakadanja...
😂😂😂

Hiyo mizimu au hao wakina sara ambao umewatolea mfano, tukichinja ng'ombe 20 kafara tutapata Satellite huko angani? Tutapata Samart 2? 😂
Eti, Samart 2... Dogo fala sana wewe 😂😂😂
 
"The graveyard of empires" ni jina lingine inalojulikana Afghanistan..dola nyingi zilizovamia huko hazijawahi kushinda wala kuwa na mwisho mzuri
Mongol empire ulianza kuangukia huko
Mughal empire
British empire
Soviet union
Sasa ni usa

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Afghanistan pale sijui kuna nini 😂

Pia ni miongoni mwa nchi ambazo hazijawai kutawaliwa kamwe toka enzi!
 
UKRAINE HAOOOO NATOOO !!!

Ukraine huenda leo ikapata tiketi ya kuwa kwenye mstari wa kunyemelea uanachama wa umoja wa ulaya huku Urusi nayo ikiendelea kukandamiza ili jambo hili lisiwezekane maana itakuwa ni pigo kubwa la karne.

Hii si habari nzuri kwa Urusi ambao washajiapiza kuhakikisha Ukraine haitii mguu umoja wa ulaya.

Ukraine looks to EU as Russia drives on​

Ukraine’s President Volodymyr Zelenskiy has hailed the European Union’s expected offer of candidate status for his battle-weary nation, as Russian forces continue to pound Ukraine’s second-biggest city Kharkiv and the eastern Donbas region.

​

​

Hivi ww Una akili kweli? Russia hakatai Ukraine kuingia EU, Russia anakataa Ukraine kuingia NATO,EU ni economic body.
 
Huh you get it wrong Miss Ngaboru.

Until when utakapokuja tambua kila aina ya knowledge iliyopo mbele yako ina some flaws. Utaweza ongeza ability to understand vitu critically.

Kila kitabu kina some flaws, kila history ina some flaws, kila kona kuna some flaws. Kilichopo kunapishana degree ya ukweli, kuna vitu vingine uongo mwingi kuliko ukweli, na kuna sehem kuna ukweli mwingi kuliko uongo.

Understanding ni nini? Understanding inakuja na prior knowledge... Basic knowledge ambayo daima huwa ipo kama reference ya kila jipya unalotaka kujifunza.

Swali, what if prior knowledge ikiwa ni wrong knowledge? Hapo ndipo shida inapoanzia.

Em jiulize kwanza, Culture ni nini? Na kwanini hii Culture ipigiwe promo kwa kiasi kikubwa. Wanaoipigia promo wananufaika na nini? Ukisema kuabudu mizimu.. Haya kuabudu hiyi mizimu US na wenzie wanapata hasara gani na hilo?

Au je kutokuabudu mizimu wao wananufaika vipi na hilo?

That's why nikasema misconception, narudia tena kila kilochopo mbele, itikadi flan au habari flan au taarifa flan ina some flaws, kuivaa bila kuichuja bado daima wengi wataendelea ku-miss target iliyokusudiwa.

Again what's Culture? Culture are the ideas, customs, and social behaviour of a particular people or society.

Isome hiyo maana vizuri... Toka na hizo Key term 3. Ideas, Customs na Social Behavior... Hapo ndipo utapata majibu ya nini wananufaika nacho through Cultural Assimilation.

Unaowataja kama Ibrahim sijui au maria au sarah hao ni binadam kama mimi na wewe walioishi miaka hiyo na sasa washakufa kama ambavyo mie na wewe kesho tutadanja... Siwezi kuwaomba hao mvua au chakula kamwe.

Na utaombaje wafu mvua wakati Rain ni natural occuring phenomenal? Nimekupa mfano mwepesi, kuna watu hadi leo wanafanya matambiko, wanatembea na mahirizi ya mababu zao... Je kuna lipi wamelifanya la kujivunia?

Hiyo mizimu au hao wakina sara ambao umewatolea mfano, tukichinja ng'ombe 20 kafara tutapata satellite huko angani?

Sasa pale inaposemwa turudi kwenye tamaduni zetu sio kurudi kwenye miti kuomba mizimu. Hiki ndicho kinachowagharim wengi. "Understanding"

Understanding inaanza kwa kudefine key term kwa kile kilichosemwa, nimeambiwa nirejee kwenye tamaduni zetu. Kwai tamaduni ni nini? Na how zinahusiana na maendeleo. Hapo ndipo utaenda na lengo lililokusudiwa.

Kama tamaduni ni mizimu, em nenda Congo, kuna Bantu Mythology, Chad na Gabon kuna Hausa Animism, Hapo Sudan kusini kuna Lotuko mythology. Ukirejea hapa Tz haraka haraka kuna Kalenjin na Maasai Mythology. Hawana beliefs za kiiman kutoka kwa wageni incase labda unafikiri kwamba hatu-practice hizo beliefs za mababu.

Sasa yaangalie makundi kama mifani iliyo hai, Jiulize tena kwa maana ya Culture unayoifikiria tukirudi huko ndio tutafika mwezini?

Of course hapana, culture is all about IDEAS, CUSTOMS and SOCIAL BEHAVIOR ambavyo kwa pa1 ndivyo vinahusika katika chachu y uchumi wa watu husika.

Haya yote sio mahala pake kwenye huu uzi. Ila tuzidisheni kupanua uelewa katika mitizamo tofauti.

Baadhi ya Customs ni kama Lugha, Lugha ndio msingi wa maendeleo, lugha ndio mzizi wa mawasliano. Bila lugha hakuna maendeleo. Sasa leo tunaacha lugha zetu tunajifunza za watu.

That's means tume-create madaraja ya uelewa. Ili kuelewa kitu kinapita kwenye lugha zaidi ya moja ambayo inaweza fika kwenye lugha mama ukiwa umeisha badili maana ya awali.

Mtoto leo anazaliwa usukuman, anajua kisukuma, aanze kujifunza kiswahili, amalize ajifunze lugha ya kigeni.

Ukitamka neno la kingereza, anaanza kulitafsiri kiswahili, kisha alilete kwenye lugha mama yake ya kisukuma. Kujibu hivo hivo... Alitoe kisukuma alililete kiswahili kisha alilete kwenye lugha kusudiwa... Huuu ni MZIGO.

That way wanatoboa wachache, in turn tunawajazs wasiojifunza wengi mtaani kwa kushindwa mzigo huo ila haina maana kwamba hawana akili.

So inapotamkwa kurejea kwenye tamaduni zetu sio kuabudu masanam kama mabudha au mizim sijui ya kalikwenda au kalirudi.

After all hii maana hailazimishwi kua ndio, anyone anaeza tafsiri kwa uelewa wake as long as ina fit image anayoitaka.
😃😃😃😃 Idea ni moja sema jinsi ya kupresent labda ndio maana tunachanganyana.

Kwa kifupi mimi nilimaanisha tusividharau vya kwetu na kutukuza vya kwao kwani sote tu binadamu.

Na nikatoa angalizo kuna bad believes na good ila kwa utashi wetu tuendeleze yaliyo mema kutoka kwa mababu zetu tuache kukopi na kupest.

Naona neno mizimu linakupa ukakasi
Maana ya mizimu ni roho zilizoishi katika mwili kabla ya kuaga dunia na mazehebu mengine huita watakatifu.

Why iwe nongwa kwetu kuwakumbuka watu wetu alafu iwe ok kwa kina augustino, ibrahim, Mariam,abel,Musa etc.

Na kuhusu maasai wana Mungu wanaemuamini before haya mapokeo wao pia wameathiriwa.Ni ENKAI (NKAI) ambae aliwakilishwa kwa rangi nyekundi na nyeusi.

Hivyo ni wazi hauwezi kumtenganisha kiumbe yyte chini ya jua na MIZIMU.

Kuhusu Kuomba mvua kwa kufanya matambiko hazikua makosa kwa kipindi icho na ndio maana ilivyogundulika n system ya anga na ardhi hiyo ikaachwa.

Ukitaka uthibitisho mwingine ni kutoka kwa hao watakatifu waliamini dunia n meza ivyo galilee alivyosema n duara aliuawa so errors zipo mpaka kwao.

Kwa nini tusi wa apriciate wazee wetu kwa error zilizopita kama wao walivyokuja kumfanya mtakatifu mzimu galilee na kumuomba msamaha.

Hii ni nature katika kutafuta kutatua changamoto yyte kwa binadamu kuna mbinu huwa zinatika mpaka pale itakapojulikana chanzo na suluhisho la hilo tatizo.Haipaswi kuona ni ushenzi ila nikatika harakati za kutatua jambo.
 
1655978251228.png
 
Back
Top Bottom