Naona haujapinga andiko langu Bali umeliongezea nyama tu.
Hivyo Sudan sio waarabu Bali ni Arabized au they identify them as such.
Nimekuqoute
. Self Concept, kwamba naamua kujivalisha au kujinasibisha na Uarab.
Lakini umeondoa culture aspects katika hili.
Nchi kama Mauritania ambayo utumwa mpaka Leo hupo sio tu Wanaongea kiarabu lakini pia Utamaduni wao ni kiarabu.
Comoro lugha yao wameichanganya kati ya kiswahili, kiarabu na kifaransa zama hizi ila zamani kiarabu na kiswahili kilitamalaki kwa kutumia maandishi ya kiarabu.
N.B kujinasibisha na jamii Fulani hakukufanyi kuwa miongoni mwao
Bado uko nje ya Script Kisiju, ingia ndani, Case ya Sudani sio ya kujinasbisha. Hii mipaka ya nchi iliyopo leo mwanzoni mwa miaka 1900 haikuepo.
1900 hatukuwa na Jamii inaitwa wa-Tanzania.
By the way who is Arab? Unamjuaje huyu ni mwarab? Rangi yake? Ndevu zake? Dini yake? Mavazi yake?
Kama wenyewe hawana definition moja ya kum-classify mwarab, wewe unatoa wapi hizo nukta za kusema huyu mwarab huyu sio mwarab?
Haya umeninukuu kitu kingine kuhusu arabized arab. Umeinukuu kwa tafsiri yako nje ya kile kabisa nilichokisema.
Nimesema hivi Genealogy ina wa classify arab katika makundi matatu.
1. Ancient Arab
2. Pure Arab
3. Arabized Arab.
Waliopo hivi leo wote ni Arabized Arab, Saudia, Morocco kooote uko wote hao wapo kwenye hiyo Category ya 3.
Category ya pili ya Pure Arab walikuepo kabla ya Abraham na mwanae Eshmael.
Case ya Comoro!
Its like Baba Mwarab, Mama mhehe... Wale ni Afro Arab, na sio wote ila majority ni hao. Katika maelezo juu kuna sehem nimekwambia kua waarab hawatambuliki kama "distinctive race" kwamba kuna kitu specific unachoweza tumia kuwa-classify either kwamba ni weupe au wako hivi ama vile.
Kuna waarab wenye macho ya Blue, dark skinned, kuna wenye nywele nyeusi na nyekundu n.k
Nikarejea tena nyuma, neno Arab ilivyo in Contrast na Ajam.
We ni rafiki yangu, ndugu yangu... Nikuombe kitu kiduchu. Wachimbue uwafaham kwanza waarab ni wakina nani. There after naamin tutaongea lugha moja!
Hizo sehem hazifanan. Huko mauritania kuna kundi sio kubwa ila wanafahamika kama Arab-berber. Mauritania wapo Arab League as arab speaking Countries ila sio kwamba majority ni waarabu.
Again Issue ya Sudan kaskazini sio ya kujinasbisha, wapo kwenye category ya pili na nne katika zile nilizozisema kule nyuma. Ni waarab kwa koo ambazo zilikuepo enzi za Prophets, sio kwamba wamekaa wakajiamulia kua waarab.
Hii issue ila hapa sio mahala pake, tuweke kituo turudi kwenye mada ya Ukrain vs Russia.