Kabisa MKUU pengne wanamtu wao ambae hata hatujawahi kumgusia
Ila natamani nipewe umri zaidi nije kushudia KIDUME chengine kitakachokujá kurithi mikoba baada ya PUT IN
Ila kama hatakua Medvedev mwenginewe natamani nimjue nione atakavyowapelekesha hawa UKRO NATO maana wanajikutia akili kuubwa
Kumbe wakikutana na watu smart na wazalendo kama akina PUT IN wanakua VILAZA tuuu
Sent using
Jamii Forums mobile app
Saaana, ile Move ya Medvedev kujiuzuru uwaziri mkuu kisha kuteuliwa as Deputy Chairman huwa naamini siyo ya Bure.
Huko nyuma hii position haikuepo, imekuwa established na akawekwa Medvedev, hii position ikamueka kua wa pili, second most powerful man in Russia baada ya Putin.
Ambapo mwanzo Patrushev ndio alikuwa second to Putin, kingine ukiangalia ni kama hizi position wanakuwa wanapishana. Vyeo alivyohodhi Patrushev ni vile alivyokuwa Putin kabla.
Cheo alichonacho Patrushev, aliwekwa na Medvedev alipoingia madarakani 2008 na Putin alivyorejea akaendelea nae. Kwenye position hiyo hiyo hadi leo.
Kinachofurahisha ni kwamba Patrushev kwenye utawala wa Putin wa awali alikuwa Director of Federal security service. So miaka 22 hii toka 1999, jamaa kakamata Position mbili tu.
Kingine ukiangalia mawaziri nyeti kama Foreign Minister Lavrov na Defense Minister Shoigu,
Lavrov toka 1994 hadi 2004, ambassador wa Russia huko UN, 2004 hadi leo hii... Ni Foreign Minister wa Russia.
Shoigu, 1991 hadi 2012, Minister of Emergency Situation, na kutoka 2012 hadi leo ni Minister of Defense. Aliwah pia kua deputy Prime Minister mwaka mmoja... 2000 hiyo.
Hii ni mifano michache, sasa ukiangalia kisha ukaaaaaaangalia unaweza zuka na udadisi flan. Haya nitakayoyasema naomba yachukuliwe kama mawazo yangu, sio kwa mujibu wa Kremlin.
🔸Nahisi hiki ni kikosi chenye kazi maalum, walikuwa na kazi maalum ya kuhakikisha wanarejesha kile walichokipoteza 1991.
🔸Ukaaji wa Mtu mmoja kwenye position moja. Ikasaidia leakage za Confidential Information kua rare hapo Russia.
🔸Kingine kinachonisukuma kusema kwamba hiki ni kikosi kilichokua na kazi maalum. Angalia wanavyopishana kwenye uongozi bila kelele.
Putin kawa President toka 2000 hadi 2008, kashuka kawa Waziri Mkuu toka 2008 hadi 2012, karudi tena yupo hadi sasa.
Medvedev katoka kwenye Urais 2012, karudi kua waziri mkuu hadi 2020. Alipopewa cheo kipya hiki alicho nacho leo Deputy Chair.
Putin 69/70yrs old, Patrushev 71/72yrs, Lavrov 73yrs, Shoigu 67yrs... Kinda ni Medvedev mwenye 56yrs. Hiki pia kinanisukuma kuhisi Medvedev kama Favourite "Mrithi" wa Putin
🔸Kingine zaidi ambacho huwa kinanifurahisha, Nikiitizama miaka ya hao wazee ukaangalia na hiki kinachoendelea Russia ni as if Team ambayo inahitimisha kazi yao mahsus na kuwaachia legacy wanaokuja.
Hii kambi ikiondoka, mwenyeji wa kusimamia wajao ni kinda mkali a.k.a Ask-Q, naaam Medvedev de bear!
Dah Natype sioni vizuri mwanga unanizingua, kama kuna sehem nimechapia maandishi nitarekebisha kesho.