Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
Wanajeshi wa Ukraine takribani 2000 wameshaingizwa kwenye kokoro (mtego) la majeshi ya Urusi. Hawachomoki...Wamezingirwa, wamewekwa mtu kati, hawana pa kutokea.
Kudadadeki Urusi...inaenda kuwavuna tena wanajeshi hao 2000 wa Ukraine kama kumbikumbi...Aisee ukiwa upande wa ushindi ni zaidi ya raha yaani.
View attachment 2270749View attachment 2270750
Hivi Medved alipita jeshini?Nyani halioni kundule...
View attachment 2270679
Medvedev [emoji298][emoji298][emoji298] German Foreign Minister Annalena Burbock said that Russia "is using hunger as a weapon."
It is surprising, of course, to hear this from officials whose country kept Leningrad in blockade for 900 days, where almost 700 thousand people died of starvation.
@LLSeniors
Nijue stock yake ya kijeshi imefikia ukubwa kiasi gani, ajabu nadhani ndo anaelalamika kuwa Urusi anaiba nafaka anasahau yeye kunufaika vifaru ya Urusi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu unataka taarifa gani toka kwake?
Labda sina hakika, ila katika historia yake inaonesha hajawa jeshini. Wala hakuwah kua KGB Officer kama ilivyo kwa PutinHivi Medved alipita jeshini?
Mbona naona kila kitu anakirifaa kijeshi.
Nahisi he might be another tougher than Putin
Kuna bondia mmoja wa Tanzania alienda kupigana Urusi alivyorudi wakati anahojiwa na wandishi wa habari akasema "Nawashauri watanzania wasiende kupigana na mabondia wa Urusi ngumi zao ni nzito kama umepigwa na jiwe"
Nasema hivi hapo bado Urusi hajaonesha hata nusu ya uwezo wake kijeshi, ila siku mkimvuruga akaamua kuibadilisha hii operation kuwa Vita mpaka shetani ataihurumia Ukraine.
www.rferl.org
Unajua siielewi kabisa Marekani. Nikikumbuka miaka ile waliomba idhini katika Bunge lao kuishambulia Iraq, Libya na Afghanistan na wakapewa Idhini faster tu, tena hawakusubiri idhini ya UN. Pia nakumbuka ikitokea Askari au Raia wa USA awe anashikiliwa ama kuzuiliwa na nchi au kikundi chochote MKWALA UTAKAOPIGWA hadi walimshikilia wanamuachia na kuomba msamaha.
Kimewakumba nini safari hii !!! Inamaana Congress/Senate inasubiri nini kukaa na kutoa go ahead.
Kimetokea nini USA kweli anakaa kimya wakati anajua kabisa kuna raia wake wamekamatwa wakipigania Ukraine.
Lakini ngoja niwe na subira.
Hii taarifa Pro-west waliichakachua hapa kwa kuondoa neno "Ex/Former"... Ili ionekane ni huyu aliyopo hivi sasa. Wameruka nayo weee sijui wameishia wapi
View attachment 2270752
Kwa kweli Nato is not for small countries, Nato iko kwa ajili ya Britain US France Germany and Italy, vi nchi vidogo hufanya na Nato kama puching bag au training ground, ya kufanya maandalizi ya kujilindaHiki kijibibi cha Estonia mnakikumbuka?
View attachment 2270761
[emoji298][emoji298][emoji298]Estonia’s PM says country would be ‘wiped from map’ under existing Nato plans
[emoji404] Estonia would be wiped off the map and the historic centre of its capital city razed to the ground under current Nato plans to defend the country from any Russian attack, according to its prime minister.
Kaja Kallas told reporters on Wednesday that the alliance’s existing defence plans for the three Baltic states was to allow them to be overrun before liberating them after 180 days.
@LLSeniors
Wanajeshi wa Ukraine takribani 2000 wameshaingizwa kwenye kokoro (mtego) la majeshi ya Urusi. Hawachomoki...Wamezingirwa, wamewekwa mtu kati, hawana pa kutokea.
Kudadadeki Urusi...inaenda kuwavuna tena wanajeshi hao 2000 wa Ukraine kama kumbikumbi...Aisee ukiwa upande wa ushindi ni zaidi ya raha yaani.
View attachment 2270749View attachment 2270750
Mwarabu ni mweupe hawa wengine ni waswahili tu hivi mnajua mwarabu original hata mwarabu chotara hawezi kumuoaHuyu anapua kama za kwetu kabsaa
Hiyo sasa haifai ile nchi ni yetu hatutaki kuiharibu sanaHa ha ha mie ni (Medvedev) times Infinity in term of Ugumu, Nilivyo na roho ngumu naweza Kuua Mende kwa Samart 2.... Yan nA hasira hadi nadiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23] kama Insha, Ngojera na Misemo ya kiswahili.