Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni suala la kukubali uhalisia hata nisioupenda. Facing my nightmares katika uhalisia wake. namuombea Puttin afeli ila so far amekuwa smart inabidi kukubali uhalisia, niuone mwisho wake. Ikitokea Akawa defeted nitafurahia sana tu.

BY THE WAY WE ARE ALL MASHABIKI, SIPOTEZI KITU KWA KUUKUBALI UKWELI KAMA NILIVYOKUBALI MSIMU HUU SIMBA TUMEFELI.
we tunakujengea sanamu huku urusi umesema ukweli. Ila hao wengine wanakaza fuvu tu lilijaa akili za ubwabwa na chips yai.
 
😃😃😃😃 Idea ni moja sema jinsi ya kupresent labda ndio maana tunachanganyana.

Kwa kifupi mimi nilimaanisha tusividharau vya kwetu na kutukuza vya kwao kwani sote tu binadamu.

Na nikatoa angalizo kuna bad believes na good ila kwa utashi wetu tuendeleze yaliyo mema kutoka kwa mababu zetu tuache kukopi na kupest.

Naona neno mizimu linakupa ukakasi
Maana ya mizimu ni roho zilizoishi katika mwili kabla ya kuaga dunia na mazehebu mengine huita watakatifu.

Why iwe nongwa kwetu kuwakumbuka watu wetu alafu iwe ok kwa kina augustino, ibrahim, Mariam,abel,Musa etc.

Na kuhusu maasai wana Mungu wanaemuamini before haya mapokeo wao pia wameathiriwa.Ni ENKAI (NKAI) ambae aliwakilishwa kwa rangi nyekundi na nyeusi.

Hivyo ni wazi hauwezi kumtenganisha kiumbe yyte chini ya jua na MIZIMU.

Kuhusu Kuomba mvua kwa kufanya matambiko hazikua makosa kwa kipindi icho na ndio maana ilivyogundulika n system ya anga na ardhi hiyo ikaachwa.

Ukitaka uthibitisho mwingine ni kutoka kwa hao watakatifu waliamini dunia n meza ivyo galilee alivyosema n duara aliuawa so errors zipo mpaka kwao.

Kwa nini tusi wa apriciate wazee wetu kwa error zilizopita kama wao walivyokuja kumfanya mtakatifu mzimu galilee na kumuomba msamaha.

Hii ni nature katika kutafuta kutatua changamoto yyte kwa binadamu kuna mbinu huwa zinatika mpaka pale itakapojulikana chanzo na suluhisho la hilo tatizo.Haipaswi kuona ni ushenzi ila nikatika harakati za kutatua jambo.
Tuvienzi kwa nguvu zote vilivyo vyetu kabla ya kuviona bora vya kwao. Inasikitisha sana kuwaona wanajiita wasomi/watoto wa mjini kutokujua kuimba nyimbo na kucheza ngoma zao za asili ila anajua kuimba nyimbo nyingi za kwaya/kaswida na nyimbo kibao za Celine Dion !
Nalog off Z
 
Kama mmarekani ana ushawishi hapa ndipo pa kumbana Puttin au safari itakuwa ndefu sana maana wachina watafanya biashara mpaka za uzalishaji magari sababu soko na nishati zipo, wahindi watafungua masupermarket n.k na kutokana na idadi ya watu uchumi taratibu utaanza kuwa affected na new type of demand and supply. Marekani Wakishindwa hizi forces zikafikia equlibrium tutashuhudia mabadiliko makubwa ya uchumi wa dunia.

NAAMINI HAPA ATAKUTANA NA LIMIT MAANA MAREKANI SI MWEPESI. ANA NGUVU NA UWEZO KATIKA UCHUMI WA SASA ESP KATIKA USAMBAZAJI WA TECKNOLOGY.

View attachment 2269642
Technology yoyote atakayoianzisha sisi BRICS tutaokopy na kuipaste tu
Nalog off Z
 
Nyingine labda saa ngapi mwana wa Africa atasubutu kutengeneza kifaa cha kwenda mawinguni?

Wakati kule ni nyumbani kwa malaika na Mungu? Unataka kumchunguza Mungu?

Hapo ndio unapoona athari za mapokeo wenyewe ndio wagunduzi na waanzilishi wa izo safari na ni baada ya kuwa na tamaa ya kujua mawinguni kuna nini,nyie endeleeni kukesha na kuomba wenzenu wanachanja mbuga na muda sio mrefu wanawaachia dunia yenu.

Tukiweza kugaini control na asili yetu hatutakua na limit.
Galip Vrl
Nguvu nyingi itumike ili kuwapa somo waafrika wenzetu wabadilike
Nalog off Z
 
Vita ya Urusi na Ukraine ni sawa na kusema mfano Tanganyika inapigana na Zanzibar nchi ambao mfumo wote wa jeshi umesimamiwa n bara.
Hapa mrusi asipewe credit kwa kupima cha vita hii.
Wanachofanya NATO ni kumjengea Mrusi awe na vita ili uxhumi wake uje.
Mrusi amekuwa ukitoka miji ya Ukraine iliyokuwa na waasi tangia kabla ya vita hii.
Kumbukeni mfumo wa vifaru vya mrusi tumeshindwa, Meli umeshindwa

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Mfano wako uliotolea haundani kabisa na hii operation, tangu lini Urusi na Ukraine ikawa kama Tanzania bara na Zanzibar? Ungetolea mfano huo kwa Urusi na republic of chechinya people angalau ungeonekana una akili kidogo.

Kuhusu kutaka Russia tusiipe credit, huo ni wivu wa kike kabisa angali wewe ni mwanaume,

Je unataka tuipatie Credit USA iliyopigana na wataliban miaka 20 ikaishia kukimbia?

Je unataka tuipe credit USA na NATO iliyo kimbizwa na Urusi syria na Venezuela.

Je unataka tuipatie Credit USA iliyo wakimbia wana mgambo wavuta bangi wa somalia?

Mkuu Ngoke Acha wivu na Nongwa, Russia ni dubwasha ambalo hata USA na washirika wake 30+ wanaogopa kukutana nalo ana kwa ana.
 
Russia-Ukraine war: June 24 updates [emoji3593]

A Washington-based think-tank believes Ukraine is preparing for the ultimate loss of Severodonetsk and Lysychansk, but says this would not be a decisive victory for Russia.

[emoji837] Follow our LIVE coverage: Ukraine troops to retreat from Severodonetsk, governor says https://t.co/BxiOuGqtNC

Vyombo vya wa-NATO vinapata tabu Sana. Hivi bado Pro-NATO wapo?
 
Israel inaripoti kuwa Gavana wa Ukraine amesema majeshi ya Ukraine yanalikimbia jiji la Sievierodonetsk linalomilikiwa kwa zaidi ya 90% na majeshi ya Russia. Majeshi hayo yameamua kuumwaya kutokana na mashambulizi makali yanayofanywa na vikosi vya majeshi ya Urusi

View attachment 2270447View attachment 2270448
Kuna bondia mmoja wa Tanzania alienda kupigana Urusi alivyorudi wakati anahojiwa na wandishi wa habari akasema "Nawashauri watanzania wasiende kupigana na mabondia wa Urusi ngumi zao ni nzito kama umepigwa na jiwe"

Nasema hivi hapo bado Urusi hajaonesha hata nusu ya uwezo wake kijeshi, ila siku mkimvuruga akaamua kuibadilisha hii operation kuwa Vita mpaka shetani ataihurumia Ukraine.
 
Vita ya Urusi na Ukraine ni sawa na kusema mfano Tanganyika inapigana na Zanzibar nchi ambao mfumo wote wa jeshi umesimamiwa n bara.
Hapa mrusi asipewe credit kwa kupima cha vita hii.
Wanachofanya NATO ni kumjengea Mrusi awe na vita ili uxhumi wake uje.
Mrusi amekuwa ukitoka miji ya Ukraine iliyokuwa na waasi tangia kabla ya vita hii.
Kumbukeni mfumo wa vifaru vya mrusi tumeshindwa, Meli umeshindwa

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Ndo umeongea utumbo gani embu rudi ukamalize usingizi vizuri.
 
Natamani sana Ukraine ichakazwe kwenye hii vita vibaya mnooo mpaka watafutane!

Wazungu waache kujiona wao ni 'more humans' kuliko binadamu wengine.

Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
Naunga mkono HOJA yako MKUU yaani wapigwe haswaaaa!!!!!
JamiiForums235736117.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom