Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Eeeeh maana jamaa walipoona hawamuwezi mwamba Putin wakaanza kumuombea kifo.
Yaaani pro USA na NATO wanatamani Putin afe .
Wanaamini Urusi hawezi kwenda bila Putin.
Lkn ukweli Moscow Kuna wangama wakali Putin Mtakatifu.
Hata akifa Leo Urusi bado haitaweza kuyumbishwa.
Dua zao za kuku
Hakuna "WACHAKATA TAAARIFA ZA KIJASUSI KAMA URUSI"... Kwanza kabla ya kujua "Intelligence" ..wanatakiwa kujua "ESPIONAGE".... MI NAWAPA TU TERMINOLOGIES... WAKATAFUTE WAO WARUDI..... Maana wengi akili zao ni za ULEZI ..KICHWA BOGA.... NGUMU SANA KUNG'AMUA VILIVYOMO KATIKA UJASUSI WA KIUCHUMI NA KIDOLA ...TUWAONEEE HURUMA....
Ahsante sana kwa somo
Hivi yule mkulima wa trekta kuvuta vifaru mbona kimya siku hizi?
Itakuwa kakimbilia Poland
Mimi kwenye suala la dini Mimi naamini kabisa kuwa hizi dini zote zilizoletwa na ngozi nyeupe hazikuletwa Kwa lengo tunalohubiriwa Ila zilikuwa mahususi kumfanya mtu mweusi asiwe mbunifu na aachane na utamaduni wake na kumfanya aamini bila rangi nyeupe yeye Siyo kitu kabisa
Tumepotezwa mazima na hawa majamaa na midini yao
Nalog off Z
 
Unajua siielewi kabisa Marekani. Nikikumbuka miaka ile waliomba idhini katika Bunge lao kuishambulia Iraq, Libya na Afghanistan na wakapewa Idhini faster tu, tena hawakusubiri idhini ya UN. Pia nakumbuka ikitokea Askari au Raia wa USA awe anashikiliwa ama kuzuiliwa na nchi au kikundi chochote MKWALA UTAKAOPIGWA hadi walimshikilia wanamuachia na kuomba msamaha.

Kimewakumba nini safari hii !!! Inamaana Congress/Senate inasubiri nini kukaa na kutoa go ahead.

Kimetokea nini USA kweli anakaa kimya wakati anajua kabisa kuna raia wake wamekamatwa wakipigania Ukraine.

Lakini ngoja niwe na subira.
 
Nyani halioni kundule...

images-18.jpeg

Medvedev ⚡⚡⚡ German Foreign Minister Annalena Burbock said that Russia "is using hunger as a weapon."

It is surprising, of course, to hear this from officials whose country kept Leningrad in blockade for 900 days, where almost 700 thousand people died of starvation.

@LLSeniors
 
Nyani halioni kundule...

View attachment 2270679

Medvedev ⚡⚡⚡ German Foreign Minister Annalena Burbock said that Russia "is using hunger as a weapon."

It is surprising, of course, to hear this from officials whose country kept Leningrad in blockade for 900 days, where almost 700 thousand people died of starvation.

@LLSeniors
Leningrad ama Saint Petersburg ya leo hii
 
Unajua siielewi kabisa Marekani. Nikikumbuka miaka ile waliomba idhini katika Bunge lao kuishambulia Iraq, Libya na Afghanistan na wakapewa Idhini faster tu, tena hawakusubiri idhini ya UN. Pia nakumbuka ikitokea Askari au Raia wa USA awe anashikiliwa ama kuzuiliwa na nchi au kikundi chochote MKWALA UTAKAOPIGWA hadi walimshikilia wanamuachia na kuomba msamaha.

Kimewakumba nini safari hii !!! Inamaana Congress/Senate inasubiri nini kukaa na kutoa go ahead.

Kimetokea nini USA kweli anakaa kimya wakati anajua kabisa kuna raia wake wamekamatwa wakipigania Ukraine.

Lakini ngoja niwe na subira.

Mikwara wanawapiga wanyonge tu. Wanajua jeuri ya Putin na hawawezi kumzingua hivyo ndo maana wanaishia kuongelea vikwazo.
 
Unajua siielewi kabisa Marekani. Nikikumbuka miaka ile waliomba idhini katika Bunge lao kuishambulia Iraq, Libya na Afghanistan na wakapewa Idhini faster tu, tena hawakusubiri idhini ya UN. Pia nakumbuka ikitokea Askari au Raia wa USA awe anashikiliwa ama kuzuiliwa na nchi au kikundi chochote MKWALA UTAKAOPIGWA hadi walimshikilia wanamuachia na kuomba msamaha.

Kimewakumba nini safari hii !!! Inamaana Congress/Senate inasubiri nini kukaa na kutoa go ahead.

Kimetokea nini USA kweli anakaa kimya wakati anajua kabisa kuna raia wake wamekamatwa wakipigania Ukraine.

Lakini ngoja niwe na subira.
There is New Sheriff in town.
 
Sasa hivi yawezekana wanaweza kuwakana wale mateka kuwa si raia wa US, kuna namna nyingi ya kuchutama tailo likivuka. H a aaa ah ha haaa!
 
Back
Top Bottom