Mr Tyang
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 1,727
- 6,807
Ukiona mtu ana under rate jeshi lenye uwezo wa kufanya makamanda zaidi ya 2000 kujisalimisha kwa nguvu ya special operation pekee, basi jua huyo mtu either hayupo sawa kiakili au hajui hesabu ya namba.Ukitaka kujua wa Russia Vita wanaijua na wanaimudu angalia mbinu za kuwakamata hawa wanajesh wa ukraine wanaojificha kwenye viwanda Kama nyumbu haya sasa wanajeshi 2000 mnazungukwa mnapigwa pini alaf Russia wanakupa machaguo mawili jisalimishe au ufe mtu anaekupiga mapigo hayo ujue anakumudu vizuri sana maana Kama hakumudu ni lazima akuuwe kwakua wewe ni tishio kwake, ila kwakua ni nyumbu anajua hata akikuacha hai anakubana wapi na unatulia kama mwanakondoo
USA kapigana na wataliban miaka 20 lakini hakufanikiwa kuwazunguka na kuwateka walau hata watalibani 100/mpigo, leo hii mla viazi mmoja anakuja hapa kuinainanga Urusi iliyo wazunguka na kuwateka wapiganaji wa jeshi la nchi ya ulaya(ukraine) zaidi 2000/mpigo tena waliofundishwa na NATO.
Kama tu askari wetu, Hamza mmoja aliwatoa jasho hadi wakamuletea gari la mabomu ya machozi, je mziki wa askari jeshi 2000 wa ulaya utakuwaje?
UKIONA RUSSIA KIJESHI NIYAKAWAIDA PELEKA JESHI LA NCHI YAKO LIKAINGILIE OPERATION YA UKRAINE NDO UTAJUA KWANINI PUTIN HACHEKAGI ZAIDI YA KUTABASAMU TU.