Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Taratibu tu mku tutafika wala usiwe na haraka... Kwanza tafsiri uliyotoa kuhusu waarabu sio ya kweli.

Umesema kwamba waarab ni watu wa asili ambayo lugha yao ni semetic, mfano amharic language, Jews na arabs language.

Hio tafsiri siyo ya kweli.

Je umekubali kwamba tafsiri unayoijua kuhusu Arab sio sahihi tuendelee kwenye kituo kinachofata?
Umeniuliza waarabu ni watu gani?[emoji38][emoji38][emoji38]

Ni watu ambao lugha yao ya asili ni semetic mfano Amharic language, Jews na Arabs language.
Hao ndio wanatakiwa wawe waarabu.

Sasa nikuulize kwa nini waethiopia hawapo? Na hawahesabiki kuwa ni waarabu.

Inakujae wasudani wenye vina Saba vya karibu na Tuareg pamoja na Fulani wahesabiwe ni Waarabu.

Hakuna muharabu sudani zaidi ya kujinasibisha kutokana na sababu zifuatazo

1) lugha
2) Imani
3) kutawaliwa na hiyo jamii eg ukoloni kipindi Cha kale
4)Utamaduni uliopandikizwa kwa viazi na miongo kadhaa nyuma.
Hapa case study ni Sudan, Mauritania.

Soma hako kaatiko nilikoambatanisha kinacholezea kuwa Wasudani wamekuwa Arabized by their colonial masters na sio they are natural Arabs.

Hapo kinsema wazi wazi kuwa wamekuwa Cultural and Linguistic Arabs

N.B Mnubi sio Muharabu

View attachment 2270045
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Idea ni moja sema jinsi ya kupresent labda ndio maana tunachanganyana.

Kwa kifupi mimi nilimaanisha tusividharau vya kwetu na kutukuza vya kwao kwani sote tu binadamu.

Na nikatoa angalizo kuna bad believes na good ila kwa utashi wetu tuendeleze yaliyo mema kutoka kwa mababu zetu tuache kukopi na kupest.

Naona neno mizimu linakupa ukakasi
Maana ya mizimu ni roho zilizoishi katika mwili kabla ya kuaga dunia na mazehebu mengine huita watakatifu.

Why iwe nongwa kwetu kuwakumbuka watu wetu alafu iwe ok kwa kina augustino, ibrahim, Mariam,abel,Musa etc.

Na kuhusu maasai wana Mungu wanaemuamini before haya mapokeo wao pia wameathiriwa.Ni ENKAI (NKAI) ambae aliwakilishwa kwa rangi nyekundi na nyeusi.

Hivyo ni wazi hauwezi kumtenganisha kiumbe yyte chini ya jua na MIZIMU.

Kuhusu Kuomba mvua kwa kufanya matambiko hazikua makosa kwa kipindi icho na ndio maana ilivyogundulika n system ya anga na ardhi hiyo ikaachwa.

Ukitaka uthibitisho mwingine ni kutoka kwa hao watakatifu waliamini dunia n meza ivyo galilee alivyosema n duara aliuawa so errors zipo mpaka kwao.

Kwa nini tusi wa apriciate wazee wetu kwa error zilizopita kama wao walivyokuja kumfanya mtakatifu mzimu galilee na kumuomba msamaha.

Hii ni nature katika kutafuta kutatua changamoto yyte kwa binadamu kuna mbinu huwa zinatika mpaka pale itakapojulikana chanzo na suluhisho la hilo tatizo.Haipaswi kuona ni ushenzi ila nikatika harakati za kutatua jambo.
Nakuunga mkono.

Issue ni kwamba Imani ni sehemu ya Utamaduni kama ilivyo Lugha.

Tufunzwapo Imani ya kigeni.
Basi ujue pia tunafunzwa kuheshimu na kuvipa thamani vitu vya kigeni, matokeo yake waafrika hudharau vya kwao.

Kifungo tulicho nacho ni Imani maana tunadharau vya kwetu iwe Mashujaa wetu, Watakatifu wetu na Mababu zetu ambavyo ndio msingi wa jamii yoyote duniani.

Pili Lugha, huwezi thamini lugha ya kwenu ikiwa kuanzia shule unaambiwa tunajifunza kwa Ile lugha ya kitaalamu ambayo Haina vinasaba vya waafrika.
Yaani mtoto wa kiafrika inabidi ajifunze kwa lugha yake halafu atafsiri kwenda lugha ya kigeni ili aweze kujibu mtihani.

Dini, hapa Malaika tu ni mweupe halafu shetani ni mweusi, unatarajia Mwafrika atajithamini.

Tujitafakari
 
Ukitaka kujua wa Russia Vita wanaijua na wanaimudu angalia mbinu za kuwakamata hawa wanajesh wa ukraine wanaojificha kwenye viwanda Kama nyumbu haya sasa wanajeshi 2000 mnazungukwa mnapigwa pini alaf Russia wanakupa machaguo mawili jisalimishe au ufe mtu anaekupiga mapigo hayo ujue anakumudu vizuri sana maana Kama hakumudu ni lazima akuuwe kwakua wewe ni tishio kwake, ila kwakua ni nyumbu anajua hata akikuacha hai anakubana wapi na unatulia kama mwanakondoo

Russia level zake za kijesh ni kama Ukrain
 
Wakamsome HANNIBAL AFRICAN GENERAL..... KUTOKA LIBYA HAPO...ALICHAKAZA ROME KATIKA ROMA ILE ... MBINU ZAKE ZIPO VITABUNI ....Sun Tzu akaja kuziboresha miaka 400 mbele... Na PUTIN anabadili mbinu ...someni kenge nyie PRONATOAMERICA.... Mnakaririshwa "mojaa mara mbili mbili, mbiliii mara tatu sitaaaa, sitaaaa mara 3 ...aseeeee elimu yetu ya kiboya sana.... Nashukuru Mungu nimesoma West n nimekaaa na kusoma East ...Damage ni kubwa sana .... Elimu yetu haifundishi Kuelewa inafundisha kukariri.... Sishangai wengi ni "close -ended"
 
Taratibu tu mku tutafika wala usiwe na haraka... Kwanza tafsiri uliyotoa kuhusu waarabu sio ya kweli.

Umesema kwamba waarab ni watu wa asili ambayo lugha yao ni semetic, mfano amharic language, Jews na arabs language.

Hio tafsiri siyo ya kweli.

Je umekubali kwamba tafsiri unayoijua kuhusu Arab sio sahihi tuendelee kwenye kituo kinachofata?
Ni najua mwarabu wa kwanza na Ishmael. Ambaye ni mchanganyiko wa mnubi na mpersia
 
Lete ushahidi wa kupinga na sio kuuliza kama nimekubali au la???!!!!!!!

Umeniuliza nimekujibu, Sasa bisha kwa hoja.

Au ulitarajia nitakwambia ni wazulu wale [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Eeeeh maana jamaa walipoona hawamuwezi mwamba Putin wakaanza kumuombea kifo.
Yaaani pro USA na NATO wanatamani Putin afe .
Wanaamini Urusi hawezi kwenda bila Putin.
Lkn ukweli Moscow Kuna wangama wakali Putin Mtakatifu.
Hata akifa Leo Urusi bado haitaweza kuyumbishwa.
Daaah .... Nibaki ....kusema Nimeishi Marekani, Uingereza na Urusi ..ila ni Urusi tu ndio walinipa kashkash ..... Wale jamaaaa ....
 
Lete ushahidi wa kupinga na sio kuuliza kama nimekubali au la???!!!!!!!

Umeniuliza nimekujibu, Sasa bisha kwa hoja.

Au ulitarajia nitakwambia ni wazulu wale [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hapana nilitegemea utanimbia ni shangazi zako, mwamba jifunze kwanza ujue unachokizungumza kabla ya kubishana.

Screenshot_20220623-230853-01.jpeg

Umenijibu kwa kejeli acha nikujibu kwa kejeli, sehem unayohisi umeishia wengine ndipo walipoanzia.

Unazungumzia jamii usiyoijua af unaelekezwa unashupaza shingo... Em kasome tena na tena jomba.

Arab sio race, arab ni cultural and Linguistic term. Sio kabila lile mwamba.
 
Umeniuliza waarabu ni watu gani?[emoji38][emoji38][emoji38]

Ni watu ambao lugha yao ya asili ni semetic mfano Amharic language, Jews na Arabs language.
Hao ndio wanatakiwa wawe waarabu.

Sasa nikuulize kwa nini waethiopia hawapo? Na hawahesabiki kuwa ni waarabu.

Inakujae wasudani wenye vina Saba vya karibu na Tuareg pamoja na Fulani wahesabiwe ni Waarabu.

Hakuna muharabu sudani zaidi ya kujinasibisha kutokana na sababu zifuatazo

1) lugha
2) Imani
3) kutawaliwa na hiyo jamii eg ukoloni kipindi Cha kale
4)Utamaduni uliopandikizwa kwa viazi na miongo kadhaa nyuma.
Hapa case study ni Sudan, Mauritania.

Soma hako kaatiko nilikoambatanisha kinacholezea kuwa Wasudani wamekuwa Arabized by their colonial masters na sio they are natural Arabs.

Hapo kinsema wazi wazi kuwa wamekuwa Cultural and Linguistic Arabs

N.B Mnubi sio Muharabu

View attachment 2270045
Hiiii screen shot yako inakufunga mwenyewe, I bet tatizo hapa ni taarifa moja kila mtu anaitafsiri kivingine.

Hiyo maana uliyoitoa pia sio sahihi. That means waarab huwajui, ja kama huwajui ni halali yako kukataa au kukubali kua wakina flani ndio au sio.

Kazana hapo hapo wajue wa-arab ni wakina nani.

Kuna sehem nimeyasema huko nyuma ila unaonekana ulikuwa husomi bali waangalia cha kubishania.

Arab ni one whose native language yake ni Arabic. Nimekujuza kwenye post nyingi nyuma kua Arab sio race ya kuwatafuta kwa distinctive feature, kwamba ni weupe, warefu au wafupi.

Arab kabla Uislam walikuwa wako referred to any of the largely nomadic Semitic inhabitants kule Arabian Peninsula.

Na kwa sasa, Neno Arab inatumika to embraces any of the Arabic-speaking peoples living in the vast region from Mauritania, sogea Atlantic coast of Africa, njoo southwestern Iran, jumuisha eneo lote la Maghrib of North Africa, Egypt na Sudan, kule Arabian Peninsula, Syria na Iraq.

Yote haya nimekujuza awali, kua arab sio race.... Hii sentence em ikariri tena na tena. Arab sio RACE, kusema kwamba ni watu aina flan. Kam unavyowatizama wasomali, au watusi au wamburu. Kuna waarab weupe weusi wenye macho ya blue wenye macho ya kawaida wenye nywele nyeusi wenye nywele nyekundu n.k

Ukiwajua ama kujua Arab ni nini huezi kuandika hayo yote uliyoyashusha hapo.
 
Ni najua mwarabu wa kwanza na Ishmael. Ambaye ni mchanganyiko wa mnubi na mpersia
Sio mbaya mkuu elim haina mwisho... Kama upo tiari kuongeza nitakwambia.

Arab ni term inayotumika cultural na linguistically, hakuna Race ya Waarab.

Na Arab wa ukiwachimba kihistoria kaa hivyo utatumia Genealogy, kuna sehem dogo kalisema huko nyuma. Wapo hao Ancient Arab hii jamii ilikuwa destroyed miaka kibao, kuna Pure Arab hawa walikuwepo kabla ya Ismail na baba yake Ibrahim. Kisha kuna Arabized Arab. Hawa ambao wametoka kwa Ismail.

Elim ziko wazi fatilia utajua zaidi Mjomba.
 
Hiiii screen shot yako inakufunga mwenyewe, I bet tatizo hapa ni taarifa moja kila mtu anaitafsiri kivingine.
😂😂😂

Ofcourse he get it wrong, sawa na leo hii Mie ni Mtanzania. Lakini hakuna race inaitwa Tanzanian. Ndani ya watanzania utawapata wasukuma, wazinza, wajita, wahehe, wachaga wapare n.k ambao wooote kwa pa1 tunajiita Watanzania.

Katika sie wapo warefu, wafupi weusi na weupe... Hatuna distinctive feature ya kutu-classify sie wa-Tanzania.

Sasa leo uanze kumtafuta msukuma, uitafute asili ya msukuma sijui ndo Bantu huko... Uanze kutafuta asili ya Bantu... Uipate uitafute asili ya hiyo jamii iliyozaa wabantu dah 😂😂😂
 
Uliza kwa lugha ya heshima kwanza.
Pili siandiki bila kuweka ushahidi wa hicho ninacho andika
Jiheshimu uheshimiwe...ukileta shombo ..mi nanukia zaidi ya nguru aliyetiwa chumvi.... Akili zako za mnuko wa ngo'nda mbichi.... Utamu wa kuungua kama sukari guru.... Ukija Kwangu njooo kistaarabu ...unavyokuja ndio nakugongesha hivyohivyo...
 
Back
Top Bottom