Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Yah ni kweli, hapana mwamba... Hufanani nae, najua dogo kasema mithili ya Mk254 ulipoingiza issue za dini kwenye ile post. Wala hakuwa na maana ya wewe kufanana na hilo bombonya.Nashukuru ila najua mnajua,
Lile ni debe tupu haliachi kutika
ndio mnifananishe nalo!!!
Dah???????
Nishasema toka awali, Pro-Russia mna heshima yangu nishawapatia. Siezi kuwasema vibaya 🤗
Nyie ndugu zangu, ndio maana ulipogusa issue za dini nikasema STOP. Tuishie hapo...
So usijihisi vibaya mwanetu.