Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Saaana, ile Move ya Medvedev kujiuzuru uwaziri mkuu kisha kuteuliwa as Deputy Chairman huwa naamini siyo ya Bure.

Huko nyuma hii position haikuepo, imekuwa established na akawekwa Medvedev, hii position ikamueka kua wa pili, second most powerful man in Russia baada ya Putin.

Ambapo mwanzo Patrushev ndio alikuwa second to Putin, kingine ukiangalia ni kama hizi position wanakuwa wanapishana. Vyeo alivyohodhi Patrushev ni vile alivyokuwa Putin kabla.

Cheo alichonacho Patrushev, aliwekwa na Medvedev alipoingia madarakani 2008 na Putin alivyorejea akaendelea nae. Kwenye position hiyo hiyo hadi leo.

Kinachofurahisha ni kwamba Patrushev kwenye utawala wa Putin wa awali alikuwa Director of Federal security service. So miaka 22 hii toka 1999, jamaa kakamata Position mbili tu.

Kingine ukiangalia mawaziri nyeti kama Foreign Minister Lavrov na Defense Minister Shoigu,

Lavrov toka 1994 hadi 2004, ambassador wa Russia huko UN, 2004 hadi leo hii... Ni Foreign Minister wa Russia.

Shoigu, 1991 hadi 2012, Minister of Emergency Situation, na kutoka 2012 hadi leo ni Minister of Defense. Aliwah pia kua deputy Prime Minister mwaka mmoja... 2000 hiyo.

Hii ni mifano michache, sasa ukiangalia kisha ukaaaaaaangalia unaweza zuka na udadisi flan. Haya nitakayoyasema naomba yachukuliwe kama mawazo yangu, sio kwa mujibu wa Kremlin.

[emoji842]Nahisi hiki ni kikosi chenye kazi maalum, walikuwa na kazi maalum ya kuhakikisha wanarejesha kile walichokipoteza 1991.

[emoji842]Ukaaji wa Mtu mmoja kwenye position moja. Ikasaidia leakage za Confidential Information kua rare hapo Russia.

[emoji842]Kingine kinachonisukuma kusema kwamba hiki ni kikosi kilichokua na kazi maalum. Angalia wanavyopishana kwenye uongozi bila kelele.

Putin kawa President toka 2000 hadi 2008, kashuka kawa Waziri Mkuu toka 2008 hadi 2012, karudi tena yupo hadi sasa.

Medvedev katoka kwenye Urais 2012, karudi kua waziri mkuu hadi 2020. Alipopewa cheo kipya hiki alicho nacho leo Deputy Chair.

Putin 69/70yrs old, Patrushev 71/72yrs, Lavrov 73yrs, Shoigu 67yrs... Kinda ni Medvedev mwenye 56yrs. Hiki pia kinanisukuma kuhisi Medvedev kama Favourite "Mrithi" wa Putin

[emoji842]Kingine zaidi ambacho huwa kinanifurahisha, Nikiitizama miaka ya hao wazee ukaangalia na hiki kinachoendelea Russia ni as if Team ambayo inahitimisha kazi yao mahsus na kuwaachia legacy wanaokuja.

Hii kambi ikiondoka, mwenyeji wa kusimamia wajao ni kinda mkali a.k.a Ask-Q, naaam Medvedev de bear!

Dah Natype sioni vizuri mwanga unanizingua, kama kuna sehem nimechapia maandishi nitarekebisha kesho.
Big up sana kaka! unaandika kama unaongea na unaeleweka sana!
 
Watu wanawalaumu NATO bila kujua nani yuko nyuma ya NATO. Nchi zote zinazoisapoti Ukraine hawanufaiki nayo, nani mnufaika? Ni MYAHUDI, kwa sababu wayahudi bado wanaamini kuwa wao ni taifa teule la Mungu kwahiyo sisi wengine ni wasindikizaji tu.

Kwahiyo anatumia kila mbinu kumuinamisha kila mtu hapa duniani awe 'mjumbe ndiyo' na ukikataa basi huna haki ya kuishi.

Anaitumia Marekani kama playground yake ili asionekane yeye moja kwa moja kwa sababu anajua kutokana na uchache wao na uovu wanaoupanga dhidi ya binadamu wengine ukija kugundulika basi watafutwa katika uso wa dunia dakika 0 tu kwahiyo wanatumia Marekani na nchi zingine za NATO as a shield.

Muda ni mwalimu mzuri sana kwahiyo tusubirie utupe majibu sahihi.
Hapa mjomba juu ya hili mie na wewe tunazungumza lugha moja kabisa.
 
Cheget ni nick-name ya hicho kijibriefcase cha code za Nuclear cha Russia. Wanasema ni part ya Automatic system kwa komandi na control ya Russia's SNF.

Kuhusu inafanyaje kazi vipi siko deep kihivyo na I bet ni siri ya wenye nacho. Ila za juu juu naelewa ndicho kifaa ambacho President hukitumia kutoa Command huko SNF in case of emergency of Nuclear Threat.

SNF- Strategic Nuclear Forces.
Sasa Yehodayachenikov au Yehodaya anaeleza kua yule jamaa alouliwa ndo alokua na codes za hicho kicheget kwaio Putin hatoweza kutumia nuclear tena je ni kweli?
 
Russian forces have likely reached the outskirts of Lysychansk and are reinforcing Severodonetsk to complete the capture of both cities. Belarusian forces are conducting exercises along the Ukrainian border but are unlikely to enter the war.

Click here to read the latest from ISW and CTP:
Institute for the Study of War

Eastern Ukraine Update:
  • Russian forces continued offensive operations to drive north toward Lysychansk and reached the southern outskirts of the city on June 23.
  • Russian forces have also likely restricted Ukrainian access to lines of communication into Lysychansk and can shell large areas of both the Siversk-Lysychansk and Bakhmut-Lysychansk highways.

Kharkiv Update:
Russian forces north of Kharkiv City focused on preventing Ukrainian advances and fired on and around Kharkiv City on June 23

Southern Axis Update:
Russian forces continued to focus on defensive operations and amassed equipment along the Southern Axis on June 23.

Russian-Occupied Areas Update:
Mass “passportization” efforts have reportedly been so unsuccessful that Russian authorities are forcing inmates at the Kherson Northern Correctional Colony to obtain Russian citizenship to increase their numbers.
 
Sasa Yehodayachenikov au Yehodaya anaeleza kua yule jamaa alouliwa ndo alokua na codes za hicho kicheget kwaio Putin hatoweza kutumia nuclear tena je ni kweli?
Akili zetu waswahili zinajiweza wenyewe ndugu. Huyo bila shaka ulivyojaribu kumueleza chochote huenda alikupa maneno ya kashifa...

Kwanza hio taarifa imechakachuliwa, aliye pata dharula sio huyu aliyepo. Ni ex Colonel/former Colonel.

Screenshot_20220624-165527-01.jpeg


Pili, Hiyo brief case anayeweza kuitumia kutoa Command ni President tu, ambaye ni Chief in Command ie CiC.

images (23).jpg


Tatu, kuhusu anayebeba hiyo Briefcase, Yoyote anayekua assigned hiyo kazi hukibeba hicho kibegi na yuko popote pale anapokuwa rais, iwe safari ya nje au ndani. Kama umuanavyo yule mpambe wa Mama Samia.

images (24).jpg


Napenda kutoa mifano, niruhusu nitoe mfano wa mwisho, pale bungeni kuna ile fimbo maarufu kama SIWA. Ile fimbo huwa kuna anayeingia kaibeba Spika akiwa nyuma. Na kutoka hivyo hivyo.

Mbebaji wa ile fimbo hana mamlaka yoyote juu ya ile fimbo, na anaweza kuondolewa akawekwa mwingine.

Mwenye mamlaka ni yule anayetenbea kuongozana na huyo aliyebeba fimbo. Mind you pia kuhusu Cheget, sio kwa Russia tu. Kule US kila Prezda anayeingia madarakani hukabidhiwa. Na Rais aliye madarakani hutembea na hiyo Briefcase popote pale atakapoenda.

Na anayemiliki hizo code kwa ajili ya kutoa Command ni mkuu wa nchi sio mbebaji.

images (25).jpg


Yote kwa yote mbeba Cheget, hatoki nje ya upeo wa Raisi, huezi kumkuta kwake kanyoosha kwato... ikitokea Emergency itakuaje?

Hadi apigiwe sim, hakuna ushamba wa namna hiyo kwenye issue nyeti kama usalama wa taifa...

Achana na hizo tope, zishapagawa hawajui hata wanazungumzia nini.

Tukutane kesho panapo Majaaliwa. Mwanga unaniumiza sana macho!
 
Saaana, ile Move ya Medvedev kujiuzuru uwaziri mkuu kisha kuteuliwa as Deputy Chairman huwa naamini siyo ya Bure.

Huko nyuma hii position haikuepo, imekuwa established na akawekwa Medvedev, hii position ikamueka kua wa pili, second most powerful man in Russia baada ya Putin.

Ambapo mwanzo Patrushev ndio alikuwa second to Putin, kingine ukiangalia ni kama hizi position wanakuwa wanapishana. Vyeo alivyohodhi Patrushev ni vile alivyokuwa Putin kabla.

Cheo alichonacho Patrushev, aliwekwa na Medvedev alipoingia madarakani 2008 na Putin alivyorejea akaendelea nae. Kwenye position hiyo hiyo hadi leo.

Kinachofurahisha ni kwamba Patrushev kwenye utawala wa Putin wa awali alikuwa Director of Federal security service. So miaka 22 hii toka 1999, jamaa kakamata Position mbili tu.

Kingine ukiangalia mawaziri nyeti kama Foreign Minister Lavrov na Defense Minister Shoigu,

Lavrov toka 1994 hadi 2004, ambassador wa Russia huko UN, 2004 hadi leo hii... Ni Foreign Minister wa Russia.

Shoigu, 1991 hadi 2012, Minister of Emergency Situation, na kutoka 2012 hadi leo ni Minister of Defense. Aliwah pia kua deputy Prime Minister mwaka mmoja... 2000 hiyo.

Hii ni mifano michache, sasa ukiangalia kisha ukaaaaaaangalia unaweza zuka na udadisi flan. Haya nitakayoyasema naomba yachukuliwe kama mawazo yangu, sio kwa mujibu wa Kremlin.

[emoji842]Nahisi hiki ni kikosi chenye kazi maalum, walikuwa na kazi maalum ya kuhakikisha wanarejesha kile walichokipoteza 1991.

[emoji842]Ukaaji wa Mtu mmoja kwenye position moja. Ikasaidia leakage za Confidential Information kua rare hapo Russia.

[emoji842]Kingine kinachonisukuma kusema kwamba hiki ni kikosi kilichokua na kazi maalum. Angalia wanavyopishana kwenye uongozi bila kelele.

Putin kawa President toka 2000 hadi 2008, kashuka kawa Waziri Mkuu toka 2008 hadi 2012, karudi tena yupo hadi sasa.

Medvedev katoka kwenye Urais 2012, karudi kua waziri mkuu hadi 2020. Alipopewa cheo kipya hiki alicho nacho leo Deputy Chair.

Putin 69/70yrs old, Patrushev 71/72yrs, Lavrov 73yrs, Shoigu 67yrs... Kinda ni Medvedev mwenye 56yrs. Hiki pia kinanisukuma kuhisi Medvedev kama Favourite "Mrithi" wa Putin

[emoji842]Kingine zaidi ambacho huwa kinanifurahisha, Nikiitizama miaka ya hao wazee ukaangalia na hiki kinachoendelea Russia ni as if Team ambayo inahitimisha kazi yao mahsus na kuwaachia legacy wanaokuja.

Hii kambi ikiondoka, mwenyeji wa kusimamia wajao ni kinda mkali a.k.a Ask-Q, naaam Medvedev de bear!

Dah Natype sioni vizuri mwanga unanizingua, kama kuna sehem nimechapia maandishi nitarekebisha kesho.
Shukran MKUU umeeleweka
Ila Med nlikua najua kikoongwe kama ni hvyo hata mie nahisi huyo ndio mrithi baada ya huyu mnyoosha UKRO NATO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha mizimu wala nini ni tamaduni zetu kutegemea ancestors wetu watusaidie pale tunapokwama,neno mizimu limepewa sifa mbaya ili tuone tulikua wapumbavu kuamini katika mababu zetu.

Mababu wa mababu zetu waliomba mvua ikanyesha,waliomba ufumbuzi wa Kila walilohitaji wakafanikiwa kwa kutumia njia zao nazo ni umwagaji wa damu za wanyama.

sasa apa unapata mfano wa rejea kutoka kwa baba wa imani Ibrahim alitaka kumtoa sadaka mwanae wa pekee,yeye nadhani alienda extra mile ili kuonyesha utiifu kwa bwana Mungu wake hivyo ndio akaonyeshwa mwanakondoo si ndio.Hii inadhihirisha kua kwenye jamii yake umwagaji wa damu kwa ajili ya kuomba ni kitu cha kawaida.


Hata wao wanatoa damu kama sadaka kwa ajili ya kufanikisha jambo lao.

Hii ipo mpaka leo hii kwa izi imani zote kuu hapa nyumbani kwamba kuna sikukuu fulani zikifika inapaswa damu imwagike sasa inatofauti ganii na enzi za mababu zetu(mizimu) wenyewe walitimiza bila kuambiwa na hao ivyo tuwape heshima yao bana walikua bora kwa wakati wao.

Tamaduni mbovu zilikuwepo sikatai ila zilikoma na ni jamii zote zilikua nazo hizo tamaduni mbovu.

Mi naona tuwaeshimu waliotutangulia kuishi katika hii ardhi ya Africa,walikua na mema ya kuenziwa,tegemea hata sisi hapa tukifa baada ya miaka 100 tutakua mizimu na wa upande wa pili wao watakua watakatifu tukomeshe huu upuuzi.
Ni kweli kabisa kilichotakiwa ni kurekebisha ili ziwe za manufaa zaidi Kwa kizazi chetu na Siyo kama tulivyofanya Sisi timeziacha kabisa
 
Watu wanawalaumu NATO bila kujua nani yuko nyuma ya NATO. Nchi zote zinazoisapoti Ukraine hawanufaiki nayo, nani mnufaika? Ni MYAHUDI, kwa sababu wayahudi bado wanaamini kuwa wao ni taifa teule la Mungu kwahiyo sisi wengine ni wasindikizaji tu.

Kwahiyo anatumia kila mbinu kumuinamisha kila mtu hapa duniani awe 'mjumbe ndiyo' na ukikataa basi huna haki ya kuishi.

Anaitumia Marekani kama playground yake ili asionekane yeye moja kwa moja kwa sababu anajua kutokana na uchache wao na uovu wanaoupanga dhidi ya binadamu wengine ukija kugundulika basi watafutwa katika uso wa dunia dakika 0 tu kwahiyo wanatumia Marekani na nchi zingine za NATO as a shield.

Muda ni mwalimu mzuri sana kwahiyo tusubirie utupe majibu sahihi.
Umemaliza kila kutu MKUU
Sehem yeyote hapa DUNIANI ukiona kuna haya mauaji mauaji basi hao wajinga wamehusika kwa 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KIMEUMANAA - NI PIGO JIPYA KWA PUTIN.

Ukraine granted EU candidate status in ‘historic moment’​

European leaders have formally accepted Ukraine and Moldova as candidates to join the EU, in a “historic moment” which will also serve as a blow to Russia’s Vladimir Putin.
Which blow to be exact?
😂😂😂😂😂 maake apo kwanza ncheke
 
Watu wanawalaumu NATO bila kujua nani yuko nyuma ya NATO. Nchi zote zinazoisapoti Ukraine hawanufaiki nayo, nani mnufaika? Ni MYAHUDI, kwa sababu wayahudi bado wanaamini kuwa wao ni taifa teule la Mungu kwahiyo sisi wengine ni wasindikizaji tu.

Kwahiyo anatumia kila mbinu kumuinamisha kila mtu hapa duniani awe 'mjumbe ndiyo' na ukikataa basi huna haki ya kuishi.

Anaitumia Marekani kama playground yake ili asionekane yeye moja kwa moja kwa sababu anajua kutokana na uchache wao na uovu wanaoupanga dhidi ya binadamu wengine ukija kugundulika basi watafutwa katika uso wa dunia dakika 0 tu kwahiyo wanatumia Marekani na nchi zingine za NATO as a shield.

Muda ni mwalimu mzuri sana kwahiyo tusubirie utupe majibu sahihi.
Mkuu usishie tu kutaja tu WAYAHUDI, bali malizia na neno FEKI.ili isomeke vizury wayahudi feki.
 
Ebu subirini Kwanza, mbona comment za pro nato sioni kulikoni. Uongo mbaya jamani ona sasa wanaishi Kama mashetani kwa kujifichaficha. Angalieni msipige ndugu zenu kisa hasira za kushindwa na urusi, pigeni mswaki meno yenu, safisheni masikio na pia mrelax maana kabati lenu limebeba hayo tu ubongo mshawauzia west.
 
Mimi ni mtu wa Mara ..na natokea Bukwaya...lakini ni mtanzania tuna Waruri,wakirobha,Wajita,wazanaki,wakurya,wajaluo,wangurimi....waikoma, nimeona nyanda za juu kusini .... Nisiende mbali hizo ndio "ethnic communities/groups"....... Ukimjibu tena ...ni kwa mapenzi yako...Tanzania Mkoa wa Mara pekee Tuna makabira32!!? Najua ethnicity kuliko wanavyodhani....
Kumbe pot
 
Back
Top Bottom