Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dah
Ila Putin mjivuni sana ,safari hii kawadhalilisha Sana Viongozi wengi wa ulaya Magharibi.
Kila akitaka kuongea nao anawaweka kwenye meza ndefu.
Akiongea na wengine anawaweka karibu. Aisee.
Ingawa Sergei Lavrov humuweka mbali pia,sijui labda kwa kuogopa corona,maana Lavlov anasafiri sana.
Sijui lakini.
 
🤣🤣🤣ngoja nianze #TBT

IMG_20220625_110825.jpg

Hili sijui linawaza nini akilini mwake, haya ma-bloc ya kipuuzi ndiyo yanaficha amani ya Dunia. Sasa hiyo Version ya NATO against nani?

Jordan ni moja ya nchi maskini sana hapo Middle East, badala ya liwaze maendeleo linawaza Military Alliance. Fu** Him!

IMG_20220625_112153_708.jpg

Jordan’s king says he would support Middle East version of NATO with clear mission

🔹Jordan’s monarch has announced he would support the formation of a Middle East military alliance similar to the US-led NATO.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] We jamaa,panya rodi wachukue Poland [emoji119] alafu,siku hizi Poland iko kimya Sana,kulikoni?

Poland uchawa umemshinda ameona kuna dalili za kupitiwa na yeye afu akichek shoga zake NATO kama hawaeleweki wanaogopa mziki akaona bora awe mpole, aliyefata ni Estonia naye kawa mpole[emoji23]

Russia kweli mbabe
 
Moja ya Pumba iliowahi kuandikwa hapo kabla.

Huyu jamaa sijui hali iliyopo leo kama anaweza kupata nguvu za kuandika ufonongo kama huu.

Kukimbia Uzi ni lazima... Huwa nikiwakumbuka nacheka mno.. MNOO
Huyo jamaa ni chenga sana, alafu muongo balaa. Alinikosha aliposema anaishi Moscow Russia, na hali ya uchumi mgumu anaiona live mitaani, akaenda mbali akasema supermarket ziliishiwa chakula na shelves zote zilikua empty [emoji23][emoji23][emoji23]. Wapumbavu wenzie walishangilia sana, mie darasa la saba B, nilimuuliza tuwape siku ngapi Russia kufa kwa njaa? Maana hawana msosi na sanctions za kila aina wamepewa. Akasema ndani ya miez miwili Russia wata surrender na kuongezeka kwa thamani ya pesa (rubles) ni kwa mda mfupi tu, sasa anajionea mwenyewe

Kwa ufupi, pro Nato wenye akili nao wamejivika 'miwani ya mbao' hawaamini wanachosikia na kuona. Wengi walidhani Russia ni 'kanchi kanyonge' sasa wanaamini kimya kimya moyoni kua ile nchi ni dubwana kubwa la kutisha.

Huko nyuma nilichoka kubishana na nikaandika "tunywe mtori nyama tutazikuta chini" na kweli nyama tumeanza kuziona soon or later tutazitafuna.
The irreplaceable
#uraaa
 
Wafuasi wa NATO kwa sasa tuna aibu kubwa sana. Au nasema uongo ndugu yangu figganigga ? Kitendo cha kufuatilia BBC,The sun sijui sky ni kupoteza muda,uhalisia ni tofauti na habari zao.
Nimestuka sana jana kusikia wanajeshi wa Ukraine wameambiwa waondoke tu kwenye mji wa severdonetsk kwa sababu hawana wanacholinda.
Ukienda vyombo vya magharibi unaona vifaru vya Urusi vikipigwa tu. Nimesikitishwa sana,sa ni chombo gani cha habari hakiegemei upande wowote nikifiate?
Jf
 
Sio kwamba hawaamini? Wazee wa figisu awashindwi kutumia viongozi wao kumuangamiza Putin.
Mi naona hiyo haitoshi round nyingine wakienda awatengee room alafu waonane kupitia kioo😂😂😂😂 awakate shobo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👏👏👏👏👏👍👍👍👍👍
Huo ni unoko wa Hali ya juu sana.
 
Wafuasi wa NATO kwa sasa tuna aibu kubwa sana. Au nasema uongo ndugu yangu figganigga ? Kitendo cha kufuatilia BBC,The sun sijui sky ni kupoteza muda,uhalisia ni tofauti na habari zao.
Nimestuka sana jana kusikia wanajeshi wa Ukraine wameambiwa waondoke tu kwenye mji wa severdonetsk kwa sababu hawana wanacholinda.
Ukienda vyombo vya magharibi unaona vifaru vya Urusi vikipigwa tu. Nimesikitishwa sana,sa ni chombo gani cha habari hakiegemei upande wowote nikifiate?

Kiukweli mimi nilikua mjinga sana nilikuwa naamini kweli gadaffi na saddam walikua magaidi kumbe sio kweli na uhalisia Mungu anisamehe kwakweli toka nijue propaganda na fitina na west niliamua kuwachukia mpaka kufa kwangu hawa sio watu wanajikuta wao ndo walioumba dunia. Wanajikuta wao ndo kila kitu.

Kutoka huo upande ni ngumu sana hao jamaa sijui wanadawa wakiweza kukalia ubongo wako kila wanachosema unaamini.

Tuisupport sana Russia yupo kwenye vita kali sana nyie mnaweza ona anavita na ukraine tu ila kuna mambo mengi yamejificha na hatari. Russia taifa teule [emoji1377][emoji635][emoji635]
 
Tatizo la nchi za kikomunisti haki za binadamu hawataki? Hakuna uhuru wa kuabudu
 
Huyo jamaa ni chenga sana, alafu muongo balaa. Alinikosha aliposema anaishi Moscow Russia, na hali ya uchumi mgumu anaiona live mitaani, akaenda mbali akasema supermarket ziliishiwa chakula na shelves zote zilikua empty [emoji23][emoji23][emoji23]. Wapumbavu wenzie walishangilia sana, mie darasa la saba B, nilimuuliza tuwape siku ngapi Russia kufa kwa njaa? Maana hawana msosi na sanctions za kila aina wamepewa. Akasema ndani ya miez miwili Russia wata surrender na kuongezeka kwa thamani ya pesa (rubles) ni kwa mda mfupi tu, sasa anajionea mwenyewe

Kwa ufupi, pro Nato wenye akili nao wamejivika 'miwani ya mbao' hawaamini wanachosikia na kuona. Wengi walidhani Russia ni 'kanchi kanyonge' sasa wanaamini kimya kimya moyoni kua ile nchi ni dubwana kubwa la kutisha.

Huko nyuma nilichoka kubishana na nikaandika "tunywe mtori nyama tutazikuta chini" na kweli nyama tumeanza kuziona soon or later tutazitafuna.
The irreplaceable
#uraaa
Hio Post niliihifadhi, zipo nyingi kama hizo. Kuna watu niliwaamini sana kabla. Nilikua nikiwafatilia kabla sijafungua account enzi hizo na visit JF kama Guest User.

Ila hii thread imewavua nguo sana.

Aliyebaki real wala hajifichi ni Tandahimba Shilling, I think hili sakata hajalibeba rohoni kama hao Makima.

Namna wanavyoteseka huu mwaka ukiisha hawajapata madundo ya tumbo sijui!
 
Tatizo la nchi za kikomunisti haki za binadamu hawataki? Hakuna uhuru wa kuabudu
Tufanye sawa,wamekataza uhuru wa kuabudu,tufanye sawa.
Sasa vipi hawa walioruhusu uhuru wa kuabudu na pia wanaruhusu na kutetea wanaume kwa wanaume wafanyane yaani wafi-rane Tena kwa ndoa .
Wakati Mungu mwenyewe kakataza? Na akaangamiza sodoma na gomora?
Wanawake kwa wanawake wasagane na waoane kwa ndoa kabisa?
Kwa hiyo wote Wana matatizo east na west.
Je Urusi hakuna kuabudu?.
China hakuna kuabudu?
Tunajadili.
 
Huyo jamaa ni chenga sana, alafu muongo balaa. Alinikosha aliposema anaishi Moscow Russia, na hali ya uchumi mgumu anaiona live mitaani, akaenda mbali akasema supermarket ziliishiwa chakula na shelves zote zilikua empty [emoji23][emoji23][emoji23]. Wapumbavu wenzie walishangilia sana, mie darasa la saba B, nilimuuliza tuwape siku ngapi Russia kufa kwa njaa? Maana hawana msosi na sanctions za kila aina wamepewa. Akasema ndani ya miez miwili Russia wata surrender na kuongezeka kwa thamani ya pesa (rubles) ni kwa mda mfupi tu, sasa anajionea mwenyewe

Kwa ufupi, pro Nato wenye akili nao wamejivika 'miwani ya mbao' hawaamini wanachosikia na kuona. Wengi walidhani Russia ni 'kanchi kanyonge' sasa wanaamini kimya kimya moyoni kua ile nchi ni dubwana kubwa la kutisha.

Huko nyuma nilichoka kubishana na nikaandika "tunywe mtori nyama tutazikuta chini" na kweli nyama tumeanza kuziona soon or later tutazitafuna.
The irreplaceable
#uraaa
@T14 Armata mwengine huyu[emoji23]
Alisema cjui RUSSO wanapika viazi cjui vigumu kuiva cjui nn na nn
Kiufupi kuns watu walijitoa akili kwamakusudi ama kutolewa kwabahati mbays na MSM
Sie wengine tukawapa muda kwakua tulijua yakwamba kwa KREMLIN kila GOTI la WAMAGHARIBI litapigwa nisuala lamuda tuuu
PUT IN kawa OUT SMART hawa UMBWA WATU[emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua wanaipenda wanaitaka pia, na kila ikipita hawachoki kuiangalia.... Salam ziende Washington!

images (26).jpg

⚡⚡⚡The President of Argentina announced the country's intention to join the BRICS.

"We strive to be full members of this group of nations, which already represents 42% of the world's population and 24% of the world's gross product," said Alberto Fernandez.

He recalled that Argentina is a responsible supplier of food and a recognized global player in the field of biotechnology and logistics.

Today, the BRICS includes Brazil, Russia, India, China and South Africa.
 
Back
Top Bottom