Nzige Mdudu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,073
- 874
Upuuzi upi wa kitoto?Kabla haujaandika upuuzi wa kitoto jiulize US alipigana miaka mingapi Afghanistan na bado wavaa vipedo wakamshinda akaishia kukimbia kwa aibu
Upuuzi upi wa kitoto?Kabla haujaandika upuuzi wa kitoto jiulize US alipigana miaka mingapi Afghanistan na bado wavaa vipedo wakamshinda akaishia kukimbia kwa aibu
Inawauma🤣🤣🇷🇺💪Upuuzi upi wa kitoto?
Haijawahi Mkuu acha iendeleekwani hii vita ishawahi kukunyima papuchi
Sifungamani na upande wowote MkuuInawauma🤣🤣🇷🇺💪
Noma sana mzazi bora walivyoamua kuishi nayondugu vita hii si ya kuisha leo wala kesho, ni vita endelevu na kama Dunia ni lazima tujifunze kuishi nayo kama ilivyoishi na Ukimwi na sasa Corona.
Kule Kyiv watu wameanza kuchoma nyama, kwenda Club na kujivinjari katika migahawa na mitaani kama kawaida.
Despite continued nighttime attacks from Russia, daily life in the Ukrainian capital Kyiv is slowly returning to normal,
Mkuu japo ni mawazo yako lakini nahisi kuna ukweli Fulani hapo, na huwenda kuna timu nyingine inaandaliwa kama ilivyoandaliwa ya kina Putin Kwa sasa bado wanapikwa, na huwenda ndiyo utakao kuja kuwa ni namna Yao ya kuchagua viongozi watakao chukua madaraka, na kama ni ukweli naamini kuna mataifa yata copy na kupest hasa mataifa ya kiafrika yanahitaji mfumo kama huo lakini lazima kuwe na masharti magumu ili kuondoa kuwekana ndugu maana viongozi wa afrika ukiwapa kidole wanataka kushika mkono 😃😃😃😃Saaana, ile Move ya Medvedev kujiuzuru uwaziri mkuu kisha kuteuliwa as Deputy Chairman huwa naamini siyo ya Bure.
Huko nyuma hii position haikuepo, imekuwa established na akawekwa Medvedev, hii position ikamueka kua wa pili, second most powerful man in Russia baada ya Putin.
Ambapo mwanzo Patrushev ndio alikuwa second to Putin, kingine ukiangalia ni kama hizi position wanakuwa wanapishana. Vyeo alivyohodhi Patrushev ni vile alivyokuwa Putin kabla.
Cheo alichonacho Patrushev, aliwekwa na Medvedev alipoingia madarakani 2008 na Putin alivyorejea akaendelea nae. Kwenye position hiyo hiyo hadi leo.
Kinachofurahisha ni kwamba Patrushev kwenye utawala wa Putin wa awali alikuwa Director of Federal security service. So miaka 22 hii toka 1999, jamaa kakamata Position mbili tu.
Kingine ukiangalia mawaziri nyeti kama Foreign Minister Lavrov na Defense Minister Shoigu,
Lavrov toka 1994 hadi 2004, ambassador wa Russia huko UN, 2004 hadi leo hii... Ni Foreign Minister wa Russia.
Shoigu, 1991 hadi 2012, Minister of Emergency Situation, na kutoka 2012 hadi leo ni Minister of Defense. Aliwah pia kua deputy Prime Minister mwaka mmoja... 2000 hiyo.
Hii ni mifano michache, sasa ukiangalia kisha ukaaaaaaangalia unaweza zuka na udadisi flan. Haya nitakayoyasema naomba yachukuliwe kama mawazo yangu, sio kwa mujibu wa Kremlin.
🔸Nahisi hiki ni kikosi chenye kazi maalum, walikuwa na kazi maalum ya kuhakikisha wanarejesha kile walichokipoteza 1991.
🔸Ukaaji wa Mtu mmoja kwenye position moja. Ikasaidia leakage za Confidential Information kua rare hapo Russia.
🔸Kingine kinachonisukuma kusema kwamba hiki ni kikosi kilichokua na kazi maalum. Angalia wanavyopishana kwenye uongozi bila kelele.
Putin kawa President toka 2000 hadi 2008, kashuka kawa Waziri Mkuu toka 2008 hadi 2012, karudi tena yupo hadi sasa.
Medvedev katoka kwenye Urais 2012, karudi kua waziri mkuu hadi 2020. Alipopewa cheo kipya hiki alicho nacho leo Deputy Chair.
Putin 69/70yrs old, Patrushev 71/72yrs, Lavrov 73yrs, Shoigu 67yrs... Kinda ni Medvedev mwenye 56yrs. Hiki pia kinanisukuma kuhisi Medvedev kama Favourite "Mrithi" wa Putin
🔸Kingine zaidi ambacho huwa kinanifurahisha, Nikiitizama miaka ya hao wazee ukaangalia na hiki kinachoendelea Russia ni as if Team ambayo inahitimisha kazi yao mahsus na kuwaachia legacy wanaokuja.
Hii kambi ikiondoka, mwenyeji wa kusimamia wajao ni kinda mkali a.k.a Ask-Q, naaam Medvedev de bear!
Dah Natype sioni vizuri mwanga unanizingua, kama kuna sehem nimechapia maandishi nitarekebisha kesho.
Watu wanamuona Putin mkatili eti wanafikia hata kumfananisha na Hitler.Jamaa anaoneonekana ana hamu sana na hao NATO na anajua sehemu ya kichwa cha NATO ambapo ukishaibutua tu hiyo, hizo mikia zilizo baki haziwezi hata kurusha jiwe.
Mkuu kweli suala kama hilo linawezekana????? Yaani uhai wa dunia na urusi yenyewe aachiwe MTU mmoja????,Sasa Yehodayachenikov au Yehodaya anaeleza kua yule jamaa alouliwa ndo alokua na codes za hicho kicheget kwaio Putin hatoweza kutumia nuclear tena je ni kweli?
Katika jimbo la luhansk na Donetsk tuambie ni sehemu gani au kijiji gani kuna jeshi la Ukraine?Waambie ProPutin maana wanamsifia wakati bado hata nusu jimbo ajaweza kuchukua anacheza makida makida vita sio mchezo
PoapoaID mpya hiyo ya Fala mmoja mwenyeji asikuchoshe... Weka kapuni mjomba!
Russia is beating the nazisim out of them[emoji95] Updates!!!
Polish mercenaries are being denazified in the industrial zone of Severodonetsk.
[emoji23][emoji23][emoji23]
mwenye nguvu mpishe.![emoji95] Updates!!!
[emoji845][emoji1151][emoji1099][emoji635]The EU Commission has prepared a draft document allowing Russia to transport goods to the Kaliningrad region through the territory of the European Union
This was stated by the member of the EU Parliament from Lithuania Pyatras Aust'evicius[emoji845]
Mrusi amewapa ujasiri sana wachina, naona sasa wanatoa kauli ngumu ngumu tu.[emoji95] Updates!!!
[emoji845][emoji630][emoji1239]"We will return Taiwan by any means, including military"
The Chinese Ambassador to France in an interview with Livre Noir.[emoji845]
[emoji23]
Ukitaka kujua kuwa Putin ni akili kubwa ni pale anapoweza kuwaweka katika kapu moja mahasimu wawili na wakatualia china na India.Kwahiyo jina litasomeka hivi ABRICS.
Ni matumaini yangu lile beef lá milele Kati ya Argentina na Brazil kuwa kati ya Maradona na Pele nani bora hawatoliingiza kwenye hili shirikisho,hawa majirani wana mabeef yao yanachekesha sana hahahahaha
Nalog off Z
Pro nato wengi saa hizi wamekimbilia mafichoni....hawataki hata kusogelea hizi nyuzi....bahati mbaya tz hakuna viwanda vingi vya kujificha kama pro nato wa ukraine maana wako vizuri kitafuta maficho kwenye viwanda[emoji23]
Halafu na sie tunautindua UPOPOMA kwenye vichwa vya Pro NATO hapa JF. Baaabeki show kali!
Tena hawa wana midadi ya kumchapa Taiwan kuliko Russia hapo Ukraine!Mrusi amewapa ujasiri sana wachina, naona sasa wanatoa kauli ngumu ngumu tu.