Huko mbeleni nahisi Jina litabadilishwa, hakutakuwa na nomenclature ya kufata herufi ya mwanzo ya jina la nchi. Wataupa huo Muungano jina la pa1.
Nasema hivi, kwasababu mfano zikifika nchi 7,8 au 20. Utaitwaje?
Bro wataikinga na nini hiyo London? Mmmh! Kule haitakuwa kwenda kuteka bali kuifuta London, UK kwenye uso wa dunia.
Ikianza vita rasm hakutakuwa na matumizi ya Ak47 kama hapo kwenye Operation ya Ukraine. Zitatumika silaha nzito mno.
Nitataja mbili kama mfano.
1. The Poseidon, Status-6
Hii ina 100Megatons, ina uwezo wa kutengeneza Radio active Sunami yenye wimbi hadi 500m. UK ni kisiwa, its like kitaenda kufunikwa na Sunami kiwe uninhabitable kwa milongo kadhaa huko mbeleni.
Hiyo ni tsunami, Je watailinda kwa kutumia nini?
2. Samart 2...
Ambayo yategemewa kuingia mzigoni kwa matumizi mwishoni mwa mwaka huu. Dude linatembea kwa speed ya zaidi ya mach 20, Speed mara 20 ya sauti. Chini ya dk 7 linaweza kuipiga London.
Hizi dk 7 hata mtu hajamaliza kukata gogo chooni, rudi kwenye raman iangalie London iliko kutoka Moscow kisha jiulize hao waliopo katikati kitawakuta nini.
Hizi nchi ambazo tu kupeleka silaha Ukraine zishaanza kupiga kelele Stocks zao "zinapokoyoka"
Mambo yameanza kua matam kuyaeleza, kuna lingine linaitwa Skyfall missile. Hiyo project bado haijakamilika. Hili litakuwa kombola lenye unlimited range. Yes unlimited range.
Wanadai n Nuclear war head itakayokua na uwezo wa kuizunguka dunia miezi likiwa kwenye Patrol Mode. Sasa fikiria Circumference ya dunia af unaambiwa linaweza kuizunguka dunia for months likiwa kwenye Patrol Mode.
Avangard bado, hujakaa sawa kuna EMP bomb, Electro Magnetic Pulse Bomb. Hili likipigwa linazifanya Electronics zote ziwe taka taka. No modern Vehicle itajongea, Power grid zote zitazima, hakutakuwa na mawasiliano kwasababu EMV inaua all electronics components.
So there you know Russia kutunza Vifaa vya kivita vya WW1 na WW2 ana akili miingi, They knows side effects za ku-modernize kila kifaa. Back up ni lazima.
Madude ya kutisha kama hayo watajilinda nayo kwa kutumia nini? Kama tu ile Hypersonic yao yenye Mach 5 iliyowatia joto kuitest muungano wa nchi kadhaa, wakati Russia yeye anayo Hypersonic yenye Mach 9, yan speed zaidi karib mara 2 ya ile waliyokuwa wanai-test na ipo mzigoni?
Kibaya zaidi ana defence mechanism ya kutungua alichokitengeza S-550 kwa hizo Hypersonic Missile.
Weeeee Russia anatisha bro in term of military na hakuna aliye closer kwake. US, Paper Tiger na wajukuu wake wanajua hilo jamba jamba lake.
Show show kama bikra aliyepakiwa mkongo! We Zisikilize tu kauli zao utagundua hawawezi kamwe kumchokoza Russia mazima.
Upande wa NATO... Utasikia "We don't want direct confrontation with Russia"
[emoji842]Hawa wapo zaidi ya mataifa 30 hawa.
Lakini Upande wa Russia... Utasikia "Tutapiga London, tutapiga Washington, tutapiga Satellites zao, tutapiga kile na kule"
[emoji842]Huku ni Nchi moja tu, de Russian Federation.
Hizo kauli mbili tu ushajua nani atachora 7 in case likizuka la kuzuka!
Eeee ase, niishi mingi miaka nishihudie mengi. Awam hii tunaziona Hollywood behind the Scenes za West Wadau.
Kumbe wachumba tu hawa kelele nyingi ila hawana kitu.