Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji95] Updates!!!

Moldova will join EU anti-Russian sanctions, - speaker of parliament.

"We will be in solidarity with the EU. This is requi red by our status and our European aspirations. The purpose of these sanctions is to stop the war, so that after that diplomats sit down at the negotiating table and find a solution," said Igor Grosu, Speaker of the Moldovan Parliament.

Moldova ni kama wameingizwa mkenge tayari
Wenzake wanatafuta jinsi ya kutoka yeye anaingia 😃😃😃 subiri vikwazo vimnyooshe
 
Mkuu hiyo Sarmat tukisema inachukua chini ya dkk 7 kufika Uingereza tunakuwa tumerefusha sana muda. Bomu hilo (Sarmat au Satan II) linachukua DAKIKA TATU tu kusafiri toka Urusi hadi Uingereza

View attachment 2272071
Naam shukran kwa Taarifa mdau wa nguvu!

Ingawa kiukweli dk 3 ni lugha ya kiuandishi sio realistic. Kwanini nasema hivyo?

Tufanye hivi kihesabu zaidi.

Umbali uliopo kutoka Moscow hadi London ni mile kama 1800 hivi, huu sio umbali wa barabara ambao tunaweza sema una kona za hapa na pale. Hii ni flight distance. Yani point to point.

Sasa tuje kwenye Speed, Distance and time calculation.

Kwa muda wa dk 3 ku-cover speed ya umbali wa kama mile 1,800. Itakulazimu utembee kwa speed ya 36,000 Miles per Hour, hii ni kama mach 48.5 hivi.

Swali sasa, je ni kweli samart 2 ina speed hiyo? Jibu ni hapana. So utaona zile dakika tatu zimetamkwa kiuandishi tu sio realistic.

Samart 2 ina maximum speed kati ya mach 20 hadi 27... Kwa hii speed kutembea umbali huo wa mile 1,800 itachukua mda range kati ya dk 5 for (speed ya 27 mach) up to dk 7 for (speed ya 20 mach).

So nadhani Umenipata sasa mdau sababu zilizonifanya nikasema chini ya dk 7 au sio?
 
Waziri wa Ulinzi wa Ukraine anasema majeshi ya Urusi yanamimina hadi makombora/mizinga 1000 kwa lisaa (kila saa moja) ili kuwavunja moyo wanajeshi wa Ukraine wakate tamaa na mapigano. Waziri huyo akaongezea kuwa kwa bahati mbaya Urusi haina uhaba kabisa wa silaha...yenyewe imamimina tu makombora.

Mwambieni ndugu Waziri wa Ulinzi atulie tuu...hiyo ndiyo raha ya kuingia vitani na mtu ambaye hanunui silaha hata moja, yeye anatengeneza silaha zake na anauza duniani tena kwa bei cheee. Wakati wewe unategemea silaha za kuuziwa na mabeberu kwa bei ghali zaidi lakini zenye ubora hafifu

SmartSelect_20220625-213617_Chrome.jpg
SmartSelect_20220625-213630_Chrome.jpg
Screenshot_20220625-213753_Chrome.jpg
 
China will provide humanitarian assistance to Afghanistan in the amount of $7.5 million, the first batch will be sent on June 27, the Chinese Foreign Ministry said.

View attachment 2272106

Taliban kwa ustawi na usawa wa Afghanistan.

Tuone sasa US walizoea vya kunyonga vya kuchinja watatoboa?

Kila walipopita US wanaume na wenyewe wanaenda kusafisha haogopwi mtu tenaa nyambafuuu.
 
Wenzake wanatafuta jinsi ya kutoka yeye anaingia [emoji2][emoji2][emoji2] subiri vikwazo vimnyooshe
Kibaya kajitia kimbele mbele kujoin Sanction kwa kupewa u-Candidate tu, EU nzima ipo katika nchi zinazotambuliwa na Russia kama Unfriendly Countries.

Moldova hakuepo kwenye hiyo List awali, lakini sasa tunaona kaongeza speed kwenye mteremko kuelekea shimoni walipo wenzie.
 
Woooooiiiii, wanabana wanaachia...

[emoji95] Updates!!!

The European Commission may allow Russian "sanctioned" transit to Kaliningrad through the EU territory

Lithuanian MEP Pyatras Aust'ryavicius wrote about this in his social network.

According to him, "it's very hot in Brussels right now about transit to Kaliningrad, and it looks like Russia is winning so far."

One of the countries even proposed to revise the provision on sanctions. And as a result, a document appeared "authorizing the transportation of sanctioned goods through the territory of the EU from "Russia to Russia". It may be published next week if Lithuania stops putting sticks in the wheels.
Wameachia Siyo Kwa kupenda mrusi kawafanyia kitu mbaya viongozi wa NATO waliokuwa kwenye mkutano Lithuania 😃😃😃😃😃 kuna video nimeona jamaa wanakimbizana
 
Naam shukran kwa Taarifa mdau wa nguvu!

Ingawa kiukweli dk 3 ni lugha ya kiuandishi sio realistic. Kwanini nasema hivyo?

Tufanye hivi kihesabu zaidi.

Umbali uliopo kutoka Moscow hadi London ni mile kama 1800 hivi, huu sio umbali wa barabara ambao tunaweza sema una kona za hapa na pale. Hii ni flight distance. Yani point to point.

Sasa tuje kwenye Speed, Distance and time calculation.

Kwa muda wa dk 3 ku-cover speed ya umbali wa kama mile 1,800. Itakulazimu utembee kwa speed ya 36,000 Miles per Hour, hii ni kama mach 48.5 hivi.

Swali sasa, je ni kweli samart 2 ina speed hiyo? Jibu ni hapana. So utaona zile dakika tatu zimetamkwa kiuandishi tu sio realistic.

Samart 2 ina maximum speed kati ya mach 20 hadi 27... Kwa hii speed kutembea umbali huo wa mile 1,800 itachukua mda range kati ya dk 5 for (speed ya 27 mach) up to dk 7 for (speed ya 20 mach).

So nadhani Umenipata sasa mdau sababu zilizonifanya nikasema chini ya dk 7 au sio?
Ha ha prove Zero equal to Sifuri... Tumekupata mjomba!
 
Katika viongozi walioacha Alama hapa duniani naamini Vladimir Putin na yeye jina lake litakuwepo,

Kulikuwa na mipango pamoja mikakati wa nchi za NATO pamoja na USA kuzidhibiti au kuiangamiza Russia moja Kwa moja isinyanyuke tena, Ila sijajua Vita ya Ukraine Nani aliitaka ni Russia au NATO??

Maana kipindi Vita inaanza Putin alitumia nguvu kubwa Sana na kuonyesha lengo la kutaka kuiteka Kyiv, majeshi ya Ukraine yalijizatiti kweli kweli kuyakabili na kuyazuia majeshi ya urusi, baada ya hatua ya Kwanza kuwaingiza kingi NATO na USA kuwa anaitaka Kyiv akaja na hatua ya pili akaweka msafara wa magari 64km baada ya pale zikaonekana picha chache kuwa Yale magari yameangamizwa na hivyo kuwaaminisha kuwa urusi kapata kichapo kikali na amepata hasara kubwa, katika kuliongezea chumvi hili ambalo watu wa NATO na USA waliloliamini kuwa urusi imepokea kichapo akaanza kusambaza taarifa kuwa wanajeshi wa Russia wameishia silaha na chakula, wale pro nato wakatuambia kuwa hakuna nchi yenye logistics mbaya kwenye uwanja wa Vita kama super power wa mchongo wakimaanisha urusi,

Katika kukoleza mambo Putin akaenda China kuonana na Rais wa China na wakati anaenda FSB walihakikisha wanavujisha taarifa kuwa Russia imeishiwa silaha Putin kaenda kuiomba uchina msaada WA silaha,

Katika kipindi hiki ndicho ambacho nchi za NATO na USA waliamini wakiongeza nguvu kubwa basi Wana uhakika ushindi utakuwa upande wao

Uncle Joe na mashosti zake wakaingia kwenye bank zao kuichangia pesa Ukraine Biden akaingia stationary kuchapisha Dola 40B, Poland Kwa kuonyesha kuwa ni mkereketwa akaenda kufagia ghala lake silaha zote akapeleka Ukraine yeye mwenyewe akabaki mweupe kiasi kwamba hata wakiingia panya road Wanachukua nchi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Katika kipindi hiki vitu kama kila Aina ya silaha Kali zilipelekwa Ukraine ili ashinde Vita, pro NATO wakitamba mrusi safari hii anachapika, ili waingie vizuri na wajikute west wamevuka hadi mstari wa point of no return, urusi ikatoa sababu moja nyepesi kuwa wanarudi nyuma ili kuonyesha kuaminiana ili kupisha mazungumzo ya Amani ila ukweli NATO walijua mrusi karudi nyuma kutokana na kuzidiwa,kuishiwa silaha na chakula Kwa hiyo kipindi mazungumzo yanaendelea walikuwa busy kupeleka silaha sehemu husika ili waje wampe pigo moja takatifu urusi,

Mrusi baada ya kuona samaki kasha NASA kwenye chambo akaanza kupiga na kuchukua maeneo muhimu yote kiuchumi, NATO na USA wanakuja kutahamaki wanakuta bandari imekwenda, chakula kimechukuliwa kinu cha umeme kimechukuliwa na kujikuta kuwa maeneo muhimu yote yapo Kwa Russia, ndipo nchi kama ujerumani ilihisi tatizo na kuanza kupunguza ukimbelembele ikimuacha nchi kama Poland isiamini inachokiona maana silaha zote zilizoingia Ukraine zilifikia Kwa urusi, kuangamizwa na hata chache zilikuwepo zilikuwa alhazifanyi kazi ipasavyo,

Katika kipindi hiki sasa ndiyo NATO na USA wanakuja kujua Russia aliwalisha matango pori, katika kipindi hiki asilimia kubwa ya jeshi la Ukraine wameuawa, majeruhi, wametekwa au wamejisalimisha na kuomba uraia wa Russia, mpaka sasa kuna uwezekano mkubwa 40% ya wapiganaji Wote wa ndiyo waukraine lakini waliobaki ni marcenary kutoka mataifa mbalimbali ya ulaya, America na middle East,

Kitu kingine kinachowaumiza kichwa ni baada ya urusi kuchukua miji yote ya kiuchumi, na Ukraine kutokana iko vitani haizalishi tena na kazi hazifanyiki inabidi west waingie mifukoni kuendesha Vita na pia kuhudumia mahitaji muhimu hapa ndipo wanapoumia zaidi na ukichukulia uchumi unaharibika kila Leo kutokana na vikwazo walivyoweka na kibaya zaidi Russia anaonekana anataka hii Vita iendelee Kwa muda mrefu ili west na marekani waumie zaidi kipindi hicho nchi Kama uchina, India na Irani wanapiga gap kubwa kiuchumi

Kitu ambacho EU na USA hawataki kutoka Ukraine ni aibu ya kushindwa ambapo kutasababisha kuanguka Kwa nchi za ulaya na marekani, maana kumbuka nchi hizo zote za ulaya wanategemea resources za urusi ili uchumi wao na viwanda vikue, sasa jiulize kama walisema basi halafu urusi ikasema hatuwauzii west resources zetu, kutatokea nini???, Si ndiyo mwanzo wa machafuko maana pesa zao zitapoteza thamani, Ajira zitakuwa hakuna umasikini utawanyemelea ndiyo mwanzo wa mzungu kuwa mzamiaji afrika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], sasa ili kuepuka aibu hii ndipo inakuja Ile kauli " tutapigana Vita na urusi mpaka mtu wa mwisho wa Ukraine"

Hapa sasa nchi za NATO na USA itabidi hii Vita waigharamie wao na wapeleke Askari wao kupigana baada ya asilimia kubwa ya jeshi la Ukraine limeangamizwa au wapo majeruhi, Kwa hiyo itabidi waombe bajeti kwenye mabunge Yao ili waendeshe Vita,

Unafikiri Ile kauli ya Russia kusema baada ya miaka miwili Ukraine haitakuwepo kwenye uso wa dunia ilitoka Kwa bahati mbaya?????
Hapana ilitoka Kwa makusudi ili kuwatia hasira west waendelee na Vita au wakubali hasara Kwa misaada yote walioipa Ukraine na ukumbuke hii ni biashara za watu hizi Kwa hiyo walikuwa wanajua Ukraine alishinda watalipwa sasa kama Ukraine itafutwa kwenye uso wa dunia maana yake na madeni yote waliyomkopesha Ukraine yatakuwa yamepotea, hapa ndipo lile kundi la wahuni linaloongoza marekani in shadow ndipo linapochanganyikiwa, pesa ndefu imepotea kisa Putin kazingua Kwa hiyo Kwa mtazamo wangu kuna kila dalili NATO watakuja kuingia Ukraine au wakubali kuanguka kwao

Kitu ambacho marekani na NATO hawataki kukubali ni kuwa zile zama zao zimefikia tamati sasa ni Zama za Asia kuongoza dunia

Naona kuna kila dalili afrika kupokea wakimbizi kutoka ulaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na hivi silaha walizopeleka Ukraine zipo black market ni swala la muda tu patachimbika hapo ulaya

Naomba samahani Kwa kuandika gazeti lakini Kama kuna pa kujazia nawakaribisha Sana watu pro - Russia [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Umeandika kiufasaha kabisa chief[emoji4][emoji106]
 
Urusi alitaka kuionyesha Dunia kwamba yeye ni super pawer kwa kuiteka Ukraine ndani ya saa 72
emoji12.png
, akatumia askari wa parachute na kuweka jitihada za kila namna lakini aligonga mwamba,anachofanya urusi kwa Sasa na kujifutafuta aibu tu,baada ya plani yake kudhibitiwa
Mistari ile ile 72 hrs meaning different I'd same person
 
Commander of Ukrainian Elite Special Operations unit in Severodonetsk:

SKY NEWS UK reporter asks: “How many men have you lost?”

Ukrop Commander: “My unit was made up of 100% professional, trained soldiers with lots of war experience. 80% of those are now dead/injured. They are replaced by new recruits who aren’t trained.”

SKY NEWS UK reporter: “You can’t sustain those losses, can you?”

Ukrop commander: “I don’t even know how to answer that question. It’s hard.”

Ukrop combat medic says: “I see the soldiers that come here now. They are really not professional. They don’t know what to do. They are really scared. Many of Ukraine’s best soldiers are now dead. Now I treat the inexperienced replacements.”
 
Commander of Ukrainian Elite Special Operations unit in Severodonetsk:

SKY NEWS UK reporter asks: “How many men have you lost?”

Ukrop Commander: “My unit was made up of 100% professional, trained soldiers with lots of war experience. 80% of those are now dead/injured. They are replaced by new recruits who aren’t trained.”

SKY NEWS UK reporter: “You can’t sustain those losses, can you?”

Ukrop commander: “I don’t even know how to answer that question. It’s hard.”

Ukrop combat medic says: “I see the soldiers that come here now. They are really not professional. They don’t know what to do. They are really scared. Many of Ukraine’s best soldiers are now dead. Now I treat the inexperienced replacements.”
Ukrop Commander: “My unit was made up of 100% professional, trained soldiers with lots of war experience. 80% of those are now dead/injured. They are replaced by new recruits who aren’t trained.

Sio mchezo naona wameanza kua wakweli.
 
[emoji1054] [emoji635] [emoji1128] [emoji630] [emoji1221] BRICS Group calls for reform of World Bank, IMF and UN

Brazilian President Jair Bolsonaro stressed the need for reform of international organizations, especially the UN Security Council, the World Bank (WB) and the International Monetary Fund (IMF).

Bolsonaro recalled that the BRICS bloc appeared in difficult financial conditions and developing countries played a key role in the recovery of the global economy after the 2008 crisis.

In this regard, in his opinion, reform of international institutions is necessary. "The growing role of developing countries should have due and deserved representation in international institutions,"Bolsonaro said

He added that for[emoji1054],BRICS is a system of cooperation based on "benefits for all parties involved and for the international community as a whole."
 
Back
Top Bottom