lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
πππππππππππ
Wewe jamaa ni bonge la mstaarabu.
πππππππππππ
Tabia za Putin ni hua haeleweki ana waza Nini.Duuh kwahiyo Putin kaamua liwalo na liwe maana karudi tena kiev
Huu ndio urafiki na ishirika wa ukweli.Belarus amenunua makombora ya nyuklia ya Iskandar-M pamoja na mfumo wa ulinzi wa anga wa S-400 toka Urusi. Urusi imesema itapeleka makombora hayo ya nyuklia ndani ya miezi michache tu...
Ikumbukwe kuwa makombora ya Iskandar-M ballistic missiles hata yakibeba milipuko ya kawaida mifumo ya Ulinzi ya NATO haiwezi kuyadungua. Sikwambii sasa yabebeshwe vichwa vya nyuklia...yaani hadi raha aisee
View attachment 2272057View attachment 2272059View attachment 2272060
NYUNDO YA MOTO is backπππππππNIKO NJE YA MJI, MTANDAO SIO RAFIKI SANA, NITAENDELEA KUJITAHIDI KUTOA UPDATES
Mwamba wa habari za ndani kabisa umerudi.Malengo ya Russia yaelekea kufikiwa kwa kiasi kikubwa.
Kazi iendelee.
Naona huruma sana wa wanajeshi wa Ukraine kwa kweli.Commander of Ukrainian Elite Special Operations unit in Severodonetsk:
SKY NEWS UK reporter asks: βHow many men have you lost?β
Ukrop Commander: βMy unit was made up of 100% professional, trained soldiers with lots of war experience. 80% of those are now dead/injured. They are replaced by new recruits who arenβt trained.β
SKY NEWS UK reporter: βYou canβt sustain those losses, can you?β
Ukrop commander: βI donβt even know how to answer that question. Itβs hard.β
Ukrop combat medic says: βI see the soldiers that come here now. They are really not professional. They donβt know what to do. They are really scared. Many of Ukraineβs best soldiers are now dead. Now I treat the inexperienced replacements.β
πππππππ€Acha kabisa Mkuu, Russia kwenye nguvu ya kijeshi ni hatari hadi inawakera NATO na USA.
Yani imeufanya muunganiko wa kijeshi wa nchi 30 za ulaya na America (NATO) kuwa kama kikundi cha waasi wa M23 kujificha ficha nyuma ya Ukraine.
Usijal kawaida man, si wajua tena source ni kama zile zile kila mmoja akiwa anapost itakuwa utoto. Taarifa zitakuwa zinajirudia rudia. Nyundo y moto naona yupo nje ya Mji. For the meantime tutazileta hadi watakaporejea.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106]
Wewe jamaa ni bonge la mstaarabu.
ππ΅π΅π΄π΄π΄π₯±π₯±π₯±Amkeni kumekucha jua linaanza kuchomoza... Amka na BBC
Wajomba karibuni tusikilize BBC, Amka na BBC. [emoji23]
HeheheeeJamaa wa NATO walikuwa wanafanya mkutano hapo Lithuania, sasa Putin baada ya kujua akiamua kuingiza ndege juu ya paa jamaa wakapoteana na mkutano uliishia hapo hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ningependa kuzijua hizo Nchi nne!Nchi za Afrika zimemtosa Zelensky hata kumsikiliza tu kwenye 'Zoom meeting'πππππ
Yaani kwenye jumla ya nchi 55 za Afrika, ni nchi nne tu ndio ziliamua kuhudhuria mkutano wa mtandaoni na Zelensky ambapo Zelensky alikuwa akiomba sapoti ya Umoja wa Afrika dhidi ya Urusi
View attachment 2271421
Ni sawa kabisa, Ila nilichogundua asilimia kubwa ya nchi hazipendi siasa za west walikuwa pamoja Kwa kuwa walikuwa hawana jinsi Ila hii Vita ya Ukraine ikiisha na dunia ikatulia kuna anguko kubwa Kwa west wanaenda kushuhudia,ππππππππππ
Kwa Nini Sasa?
Kwa Nini kaomba kipindi hiki amabcho memba mmoja wa BRICS katengwa na "duniani nzima"?
Kwa Nini kipindi hiki memba mmoja wa BRICS kawekewa vikwazo vyote kabisa hapa duniani?
Kwa nini kipindi hiki memba mmoja wa BRICS Yuko vitani?
Majibu ni kwamba Argentina hana wasiwasi na memba huyo,
Ana Imani na memba huyo,
Anajua membo huyo keshashinda vita zake,za kijeshi na kiuchumi.
Argentina kaona Kuna haki huko,Kuna manufaa huko.
Kwa kitendo hicho,Argentina ameipaisha pakubwa sana BRICS.
Maana yake ni Nini?
Maana yake ni kuwa mabadiliko makubwa sana ya kimfumo yanaenda kutokea duniani.
Hii pia ni mwanzo wa kuhama kwa nguvu kutoka west kwenda east.
Shift of power is on the way.
Ningependa kuzijua hizo Nchi nne!
Mkuu hizo nchi nne za Afrika zilizoudhuria mkutano wa Zelensky ni zipi?[emoji95] Whoooa [emoji45][emoji45][emoji45]!!!
[emoji1151]The President of Lithuania decided not to concede to Russia on the issue of transit of goods to the Kaliningrad region.
According to Nauseda, the country "must and will maintain control over the goods transported through its territory, and there can be no question of any corridors."
Denazifiedπππ·πΊπ·πΊWatu wenyewe ndio hawa,kuna mpiganaji hapa.?View attachment 2272235View attachment 2272237View attachment 2272238View attachment 2272236
Ningeshtuka kama wangempa ucandidate wa NATO!Wafanye kama wanajikuna wamuingize NAT
Huwa napitia comment za watu humu naona Kama hawaelewi tofauti ya Nato na EU.Kuna ambao wanachama wa Nato hawako Eu pia Kuna wala wanaowaza kutoka Eu Kama uingereza ila watabaki Nato.Ningeshtuka kama wangempa ucandidate wa NATO!Wafanye kama wanajikuna wamuingize NATO!