Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Donbass ni muunganiko wa majimbo mawili hambayo ni luhansk na Donetsk, kati ya majimbo hayo mawili dikiteta Putin hajaweza kuchukua hata Jimbo Moja kikamilifu,yupo anakazana na jimbo la luhansk tu ,
Waambie ProPutin maana wanamsifia wakati bado hata nusu jimbo ajaweza kuchukua anacheza makida makida vita sio mchezo
 
Waambie ProPutin maana wanamsifia wakati bado hata nusu jimbo ajaweza kuchukua anacheza makida makida vita sio mchezo
Hawa jamaa kwa upotoshaji hawajambo,na Kwa vile wapo wengi hapa jamvini basi wanapotosha wanavyotaka..,eti " urusi ameshachukua Donbass" wakati hata Jimbo Moja la Donbass bado!
 
Rais wa Argentina, aomba nchi yake iunganishwe kwenye jumuiya ya BRICS. https://t.co/WgQ28w7hSmView attachment 2271476
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Kwa Nini Sasa?
Kwa Nini kaomba kipindi hiki amabcho memba mmoja wa BRICS katengwa na "duniani nzima"?
Kwa Nini kipindi hiki memba mmoja wa BRICS kawekewa vikwazo vyote kabisa hapa duniani?
Kwa nini kipindi hiki memba mmoja wa BRICS Yuko vitani?

Majibu ni kwamba Argentina hana wasiwasi na memba huyo,
Ana Imani na memba huyo,
Anajua membo huyo keshashinda vita zake,za kijeshi na kiuchumi.
Argentina kaona Kuna haki huko,Kuna manufaa huko.
Kwa kitendo hicho,Argentina ameipaisha pakubwa sana BRICS.
Maana yake ni Nini?
Maana yake ni kuwa mabadiliko makubwa sana ya kimfumo yanaenda kutokea duniani.
Hii pia ni mwanzo wa kuhama kwa nguvu kutoka west kwenda east.
Shift of power is on the way.
 
Ila tukiacha hayo mambo tunayoyawaza kuwa ama anajihami na kuwekewa sumu,ama kuambukizwa korona ama vinginevyo,lakini ukweli hiki anachokifanya Putin ni bonge la propaganda.
Propaganda hii inawavutia sana wanyonge na watu masikini kama hizi nchi za Afrika ,Asia na Latino kuwa Putin ana Imani na watu kutoka maeneo hayo.
Watu wengi wa nchi za kusini watazidi kumpenda na kumuona kama mtetezi wao.
Watamuana anajali sana watu wa kawaida kuliko mabeberu na matajiri.watamuona kama Yuko karibu sana na watu blacks,Asians na Latinos.
Kwa kifupi huyu jamaa anajua sana kutumia ujanja wa Ujasusi kuwavutia watu.
Picha hizi zimemuongwzea sana umaarufu.
Kiwazingua mabeberu na kuwakarimu wa kusini.
Anachofanya,anawatumia salamu maadui zake "siwataki"
 
Russia alikuwa na plan ya kubadili utawala na kuweka kibaraka wake huko kyvi, lakini wanaume wamemndindishia
Bora ipi ya kuweka kibaraka na kuchukua kabisa, mi naona nafuu kwao ni kuweka kibara hii ya kuchukua na kubadirisha vitu kama urai, post code kuwa vya kirusi ni pigo zaidi ya kuweka kibaraka.
 
Urusi alitaka kuionyesha Dunia kwamba yeye ni super pawer kwa kuiteka Ukraine ndani ya saa 72 [emoji12], akatumia askari wa parachute na kuweka jitihada za kila namna lakini aligonga mwamba,anachofanya urusi kwa Sasa na kujifutafuta aibu tu,baada ya plani yake kudhibitiwa
 
Aise, Ukisoma kwa utulivu speach ya huyu Lut-general utagundua kuwa kumbe Putin kwa vichwa vya Urusi ni pastor wa jimbo kuu kabisa[emoji23][emoji23],

Just imagine vita hata haijaanza wala kunukia lakini mwamba huko bungeni kashuka phase zote za vita itakavyoanza na itakavyoisha, kasema hivi;

Phase I: “We’ll destroy the entire group of enemy’s space satellites during the first air operation,”

Phase II: "Second, we’ll mitigate the entire system of anti-missile defense, everywhere and 100 per cent"

Phase III: "We certainly won’t start from Warsaw, Paris or Berlin.The first to be hit will be London. As part of the operation to destroy critically important sites, Western Europe will be cut off from power supplies and immobilized. “All power supply sites will be destroyed"

Finally: "I shall see what the USA will tell Western Europe on continuing their fight in the cold, without food and electricity". Lut.General/MP.

Yani warusi huwa wananifurahisha sana, kabla hawajakupiga wanakupatia kwanza plan ya kipigo, sehemu watakapo piga, bomu watalo tumia na siku ya kipigo na hakuna kitu hata kimoja utaweza zuia. Kwangu mimi huyo ndo ana deserve kuitwa SUPER POWER siyo Super power wa kuvizia watu wametulia ndo anawapiga nukes (USA kwa Hiroshima na Nagasaki)
Ha ha haaa,
Aisee ingawa ni kweli ameyasema hayo lakini umechambua vizuri na umeongeza vionjo ambavyo kwa kweli vimenifanya nicheke.
Umenichekesha hapa
⬇️
Yani warusi huwa wananifurahisha sana, kabla hawajakupiga wanakupatia kwanza plan ya kipigo, sehemu watakapo piga, bomu watalo tumia na siku ya kipigo na hakuna kitu hata kimoja utaweza zuia. Kwangu mimi huyo ndo ana deserve kuitwa SUPER POWER siyo Super power wa kuvizia.
 
Bora ipi ya kuweka kibaraka na kuchukua kabisa, mi naona nafuu kwao ni kuweka kibara hii ya kuchukua na kubadirisha vitu kama urai, post code kuwa vya kirusi ni pigo zaidi ya kuweka kibaraka.
Hakika mkuu, Russia atajikaribishia maadui wa ndani
 
[emoji95] Updates!!!

Reports of strong explosions in the Kiev region...

IMG_20220625_195412_124.jpg


The Russian Aerospace Forces are launching missile strikes from Belarus, explosions are thundering in Kiev, the affected targets are burning in the Rivne region.
 
Urusi alitaka kuionyesha Dunia kwamba yeye ni super pawer kwa kuiteka Ukraine ndani ya saa 72 [emoji12], akatumia askari wa parachute na kuweka jitihada za kila namna lakini aligonga mwamba,anachofanya urusi kwa Sasa na kujifutafuta aibu tu,baada ya plani yake kudhibitiwa
Weka ushahidi wa saa 72 ww dada !
 
Back
Top Bottom