East
JF-Expert Member
- May 9, 2022
- 603
- 1,725
daah hii enzi za O-level na A-level tumepiga Sana wale waoga wa baridi na wavivu kusubiri ndoo mabwenini. Kitu ni usini, mikononi na miguuni siku imepita na happy umehesabu umeoga.Kwaiyo wajerumani wameanza kuoga style ya kupiga passport kusevu garama[emoji28]