Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sio kwamba hawaamini? Wazee wa figisu awashindwi kutumia viongozi wao kumuangamiza Putin.
Mi naona hiyo haitoshi round nyingine wakienda awatengee room alafu waonane kupitia kioo😂😂😂😂 awakate shobo.
Unafikiri wataingia mjengoni kremlin bila screening ya kutosha😂??? Yani kabla hajaingia na kitu kibaya kashadakwa
 
1,800 miles ÷ 3 = 600miles/minute
600miles ÷ 60 = 10miles/second
Hapana kaka umeingia chaka kidogo,
Nahisi ulichokiandika hujakifaham au nilichokiandika pia hujakielewa... Umeiona Unit ulizotumia na Unit nilizotumia?

Speed = Distance/Time

Umeigawanya sawa, ila hiyo sio meter utumie second. Hiyo ni miles... Kwa hiyo Unit ya Mda hutumii kwa sekunde unatakiwa uipeleke katika saa. (mph), Ni miles per Hour sio Miles per Second? Umenipata sasa bro?

Sasa rudi tena ufanye calculation vizuri.
1 second ni sawa na 1/3600Hrs...
Convert hiyo 10Miles/second kua Miles per hour halafu tuletee mrejesho.

Mind you Kaka katika Standard Unit hatuna Miles per Second. Maana Mwingine nae anaweza kujiamulia kutumia Miles per Year, Months n.k as long as ni Unit ya Mda.

Standard ni Miles per Hour... mph.
 
Watu wanamuona Putin mkatili eti wanafikia hata kumfananisha na Hitler.
Ukweli putini ni mpole sana na ni mtulivu,ila sema ni mtu wa vitendo.
Niliwahi sema humu katika Thread hii,kuwa,kwa watu wanaoombea Putin afe walidhani ndio wataidgibiti Urusi kwa kweli wanajidanganya.
Urusi Kuna watu wenye uwezo wa kuwa Marais wa nchi hiyo wengi TU,Tena wenye mipango Bora kabisa hata pengine kuliko Putin.
Ila Sasa baadhi Yao ni wababe hatari,Putin Mtakatifu.
Sasa hebu ona jemba hiyo.
Imeweka wazi ramani ya vita,wala haiogopi na haijali.
Huo ni ujumbe kamili kabisa wala sio mkwala.
Na Serikali ya Moscow haijakanusha.
Yaani ujumbe ni kwamba njooni sisi tutafanya hivi.
Sijui kama njemba yey yewe ndio hii ama nyingine, yenyewe ilipendekeza kulipua Kambi zote za USA zilizoko ulaya.
Ha ha haa.
Pata picha.

Inshort tuseme Russia kashachoka na Ubabe wa kijinga wa US na wamedhamilia, kuna mtu anakuja anakwambia Russia alikurupuka, hawa jamaa kila siku zinavokwenda unaona wako siriaz
 
Mkuu kweli suala kama hilo linawezekana????? Yaani uhai wa dunia na urusi yenyewe aachiwe MTU mmoja????,

Hata kama Putin anakufa Leo basi jua kuna watu wa format hicho kidude na atakabidhiwa mtu mwingine

Uyo jamaa alikua wa zamani sio wa sasa na mpaka amekufa lazima kuna kitu, katika kitu ambacho Russia ipo makini ni hapo hawawezi fanya makosa.
 
1,800 miles ÷ 3 = 600miles/minute
600miles ÷ 60 = 10miles/second
Mh Mwamba unam-prove wrong au unamodoa jawabu? Unatumiaje large unit kwenye small Unit? Small unit kama Second unaitumia kwa small unit kama Meter, Miles ni large unit of distance zinawekwa kwenye saa ambayo ni large unit pia ya mda.

By the way em tupe majibu. 10miles/second ulizopata ukizibadilisha kwa miles per hour unapata ngapi? Kwanini hukutizama Units kabla ya kurukia kwenye hicho ukichofikiri ni kosa au ulikua unasoma huku unatafuta alipokosea [emoji23]
 
Hapana kaka umeingia chaka kidogo,
Nahisi ilichokiandika hujakifaham au nilichokiandika pia hujakielewa... Umeiona Unit ulizotumia na Unit nilizotumia?

Speed = Distance/Time

Umeigawanya sawa, ila hiyo sio meter utumie second. Hiyo ni miles... Kwa hiyo Unit ya Mda hutumii kwa sekunde unatakiwa uipeleke katika saa. (mph), Ni miles per Hour sio Miles per Second? Umenipata sasa bro?

Sasa rudi tena ufanye calculation vizuri.
1 second ni sawa na 1/3600Hrs...
Convert hiyo 10Miles/second kua Miles per hour halafu tuletee mrejesho.

Mind you Kaka katika Standard Unit hatuna Miles per Second. Maana Mwingine nae anaweza kujiamulia kutumia Miles per Year, Months n.k as long as ni Unit ya Mda.

Standard ni Miles per Hour... mph.
Sawa naona nilichanganya Ila hapo mwisho imenibidi nicheke "per year" 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hapana kaka umeingia chaka kidogo,
Nahisi ilichokiandika hujakifaham au nilichokiandika pia hujakielewa... Umeiona Unit ulizotumia na Unit nilizotumia?

Speed = Distance/Time

Umeigawanya sawa, ila hiyo sio meter utumie second. Hiyo ni miles... Kwa hiyo Unit ya Mda hutumii kwa sekunde unatakiwa uipeleke katika saa. (mph), Ni miles per Hour sio Miles per Second? Umenipata sasa bro?

Sasa rudi tena ufanye calculation vizuri.
1 second ni sawa na 1/3600Hrs...
Convert hiyo 10Miles/second kua Miles per hour halafu tuletee mrejesho.

Mind you Kaka katika Standard Unit hatuna Miles per Second. Maana Mwingine nae anaweza kujiamulia kutumia Miles per Year, Months n.k as long as ni Unit ya Mda.

Standard ni Miles per Hour... mph.
Bravo!
 
Mh Mwamba unam-prove wrong au unamodoa jawabu? Unatumiaje large unit kwenye small Unit? Small unit kama Second unaitumia kwa small unit kama Meter, Miles ni large unit of distance zinawekwa kwenye saa ambayo ni large unit pia ya mda.

By the way em tupe majibu. 10miles/second ulizopata ukizibadilisha kwa miles per hour unapata ngapi? Kwanini hukutizama Units kabla ya kurukia kwenye hicho ukichofikiri ni kosa au ulikua unasoma huku unatafuta alipokosea [emoji23]
Hapa namaanisha ni kuwa kila sekunde moja hilo kombola linatembea Kwa umbali huo, na katika hiyo comment nikisema hivi " mkuu mbona kama hesabu hazipo sawa au Mimi ndiyo nimechanganya?" Nikiwa na maana hata Mimi sina uhakika lakini baada ya kuona alimaanisha nini nikafuta hiyo sentensi
 
Poa poa Jomba nimekusoma, tena kwa kua sisi hatutumii sana vipimo vya miles, tuseme kwa kilometer. So hiyo ni speed ya 16KM kwa sekunde, baaabeki!

Kuna sauti ya Hayati JPM inakuja kuja ile ya kumalizia sentensi ya mshangao... Be like "hiiiiiiiiiiiii"
 
Uyo jamaa alikua wa zamani sio wa sasa na mpaka amekufa lazima kuna kitu, katika kitu ambacho Russia ipo makini ni hapo hawawezi fanya makosa.
Ni kweli kuna nafasi ukipewa kushika basi kubali kufatiliwa hata kama unakata gogo, yaani unakuwa unafatiliwa masaa 24 na kuna watu wanaajiriwa kuhakikisha wanakufatilia kila kitu, usishangae hata demu unayekutana nae kama hawamuelewi basi utazuiwa kukutana nae
 
[emoji777][emoji1255] NATO rejected Ukraine,Kiev will not try to join the Alliance[emoji777]

Before NATO summit in Madrid, Deputy head of the office of the President of Ukraine Igor Zhovkva told the Financial Times

"NATO members have rejected our aspirations. We will not do anything else in this regard,"

Yule FUSO bado kalala[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamaa wa NATO walikuwa wanafanya mkutano hapo Lithuania, sasa Putin baada ya kujua akiamua kuingiza ndege juu ya paa jamaa wakapoteana na mkutano uliishia hapo hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], hii habari nzuri sana tunaomba ifafanue kdg tupate na source ikiwezekana.
 
Acha kabisa Mkuu, Russia kwenye nguvu ya kijeshi ni hatari hadi inawakera NATO na USA.

Yani imeufanya muunganiko wa kijeshi wa nchi 30 za ulaya na America (NATO) kuwa kama kikundi cha waasi wa M23 kujificha ficha nyuma ya Ukraine.

Waasi wa M-23 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1316][emoji1316]
 
[emoji95] Updates!!!

[emoji631][emoji1255] Arms supplies to Ukraine are coordinated by the CIA and US special forces — mass media.

According to the New York Times, the Americans are training the Ukrainian military and passing them intelligence.

Earlier, Biden urged US citizens to "stay away from Ukraine," after information that American mercenaries were captured.
 
Ni sawa kabisa, Ila nilichogundua asilimia kubwa ya nchi hazipendi siasa za west walikuwa pamoja Kwa kuwa walikuwa hawana jinsi Ila hii Vita ya Ukraine ikiisha na dunia ikatulia kuna anguko kubwa Kwa west wanaenda kushuhudia,

Kuna msomi mmoja wa west kama sijakosea alisema kwenye Vita hii EU na USA ndiyo zimetengwa na dunia na Siyo Russia, akasema hebu angalia nchi ngapi zimeiwekea Russia vikwazo na nchi ngapi hazijaweka????, Alisema baada ya Vita hii West wanapaswa kujitathimini kwenye siasa zake
Yap
Nchi nyingi ,zilikua zikiziunga nchi za west kwa uwoga na ama kwa kutishwa.
Sasa zotaamua kua ama nyutro ama kufuata upande utakao kua una ukweli.
Hii itatokana na kua hakuna Tena nchi ya kuzitisha kwa sababu Kuna kaka mwema atawakingia kifua.

Mfano mtu hatalazimishwa kuiwekea nchi Fulani vikwazo wakati Hana bifu na nchi hiyo na wala matendo yake hayaathiri maslahi yake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Baadae EU wakaja na taarifa ya draft document ya kuondoa blockage waliyoiweka kwenye mji wa Kaliningrad kabla onyo la Urusi halija Expire kwa Lithuania.

NATO wameona EU atawaponza na kuwavua nguo endapo mwanachama wao Lithuania akichakazwa na Russia halafu wakaishia kupiga makelele tu.

Hizo zilikuwa salam tu, kwa Lithuania kuwa leo tumepitisha ndege tupu, onyo letu likiisha muda wake bado hamueleweki, tutapitisha Iskanda na hao NATO wenu hakuna watakachofanya.

Russia anawadhalilisha sana NATO
 
Back
Top Bottom