Afhanistan.
Kwanza watalaban,Hawa ni kikundi TU hakiwakilishi taifa Zima.
Pili hawakua na airforce,Navy na groundforce iliyokamilika.
Nikisema ground forces isiyorasmi maana yake hawana vifaru,mizinga,APC na vitu kama hivyo
Hawakupata misaada yoyote ya silaha wala fedha.
Hawakua na Ubalozi na nchi yoyote duniani.
Baadhi ya raia na makabila na madhehebu hawakua pamoja nao.
USA
Hawa kama kawaida walikua pamoja na washirika wao wakubwa wenye zana zote za kijeshi.
Wengi wa Hawa ni NATO.pamojabna wapambe wengine.
Walikua na silaha zote,
Wana Hela,
Vifaa vya kila aina vya kijeshi na kiraia.
Walikua na majeshi yote,
Ya ground,
Ya navy,
Ya airforce,
Kwa kifupi NATO wa silaha za aina zote za kijeshi hapa Duniani,nyingine wanazo wao TU,hakuna nchi nyingine inazo
Lakini walichukua miaka 20 na wakakimbia.
Sio msemo kukimbia,Bali walikimbia kwelikweli na kuacha vifaa na baadhi ya silaha.
Watalabani bado wapo na ndio wanaongoza nchi hiyo.