Dada unaonekana hujapelekewa moto muda mrefu sana, kwa sisi wanaume wenye uzoevu tushajua unataka nini kama una gubu hivi[emoji23][emoji23] anyway, mpak sasa Russia anamiliki 30% ya eneo la ukraine tena potential areas, wewe jiulize kwanini wanahangaika ku capture snake island?? Kama ulikua toka mwanzo bila shaka utakua umejua jinsi ukraine anavo suffer kurudisha hayo maeneo.
Hakuna shughuli zozote za kiuchumi zinazofanyika, bandari ipo chini ya Russia maeneo yote muhim mpaka agriculture yamechukuliwa. Afu unakuja kuhoji Russia hajafanikiwa [emoji2371]upo serious kabisa??
Hivi Kenya akiichukua ukanda wote wa Mt. Kilimanjaro tutasema Kenya hakuna alichofanikiwa wakati tunategemea kilimanjaro kwenye Pato la Taifa??.
Eti Putin anaogopa NATO, unashindwa kutumia akili hata mwanangu wa miaka2 anaweza akakujibu hili, Nchi 30 zinaungana dhidi ya Taifa moja huoni aibu unachoongea hapa yaani Mataifa 30 yanasumbuliwa na Taifa moja?? ipe Russia heshima yake dada.
Kama mnaungana na mnashindwa kupambana na Russia bhasi nyinyi ni useless. Hao NATO wanamwogopa Russia ndomana hawamsogelei kabisaaa.
Dada nakushauri utumie ushauri wangu nilioanza nao