Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nilikuwa nazipata YouTube, sema kwa sasa baada ya Operation ya denazification na demilitarization huko Ukraine kuanza YouTube amekuwa wanahujumu Channel za YouTube kutoka upande huo. Mfano, Epic Media English. Yaani Hata Wikipedia ukisearch habari zake unazipata kwa mbinde. Epic Media ni watoa movie maarufu wa Russia.
Ok jibu hili limejitosheleza.
Ntafanyia kazi hata baada ya op.
 
Inawezekana Support anayoipata Ukraine kutoka NATO na military tactics zake Ukraine, zimechangia Kujilinda mji mkuu wake usitekwe
 
Oh!! JF inatumia Nginx. Made from Russia. Hongeteni JF
Screenshot_20220621-100652.png
 
Haijafikia hatua ya kuwa vita kamili kwa sababu Amiri jeshi mkuu bado hajatangaza vita kamili dhidi ya Ukraine. Kinachoendelea ni opération inayolenga kuharibu vifaa vya kijeshi mipango na wapangaji hasa bwana mchekeshaji na Serekali yake. Ingekuwa lengo ni kufyeka wapiganaji wa Ukraine, tungeshuhudia vilio na huzuni kubwa, kumbuka kati ya wapiganaji wa Ukraine, wapo waliochangia damu na Russia, hapa ndipo umakini unapotakiwa kwenye mgogoro huu.
Duuu sio mchezo, so inayofanyika ni operation ya kijeshi. Ila si ndio vita yenyewe hiyo kaka. Jeshi kuvuka mpaka wa nchi nyingine na kufanya mashambulizi tayari ni vita hiyo.
 
Marekani inaendelea kuteseka zaidi na kuongezeka kwa bei ya mafuta ya Urusi, yanasema yataka kuseti kikomo cha bei ya mafuta ya Urusi.

Kwani si tuliaminishwa kuwa Marekani huwa ana akiba kubwa ya mafuta kiasi kwamba anaweza kuhudumia Dunia? Sasa mbona Biden na wamarekani wote wanalilia kwa bei ya mafuta kupanda nchini Marekani?!

Halafu Marekani si ilitangaza kuwa yenyewe imesitisha kununua mafuta ya Urusi, Sasa mbona wamarekani wanateseka kwa bei ya mafuta ya Urusi kupanda?

Si huwa tunaambiwa kuwa Marekani hutoa misaada mingi ya pesa kwa nchi zinginezo ikiwemo Tanzania, kwa nini Marekani inashindwa kujisaidia yenyewe kwa serikali ya Marekani kufidia ongezeko la bei yya mafuta ili raia wa Marekani waendelee kulipia ile bei ya dezo waliyozoezwa kudekezwa na Urusi?

SmartSelect_20220621-101014_Chrome.jpg
 
Na mie nomba nizungumze kitu tuendelee kuwaumbua hawa matajiri wa mchongo [emoji23]

Ndugu zangu turudi tena tuigusie ile principle yetu pendwa ya Demand and Supply.

Leo tuizungumzie katika muktadha wa mzani... Demand ikiwa mkono wa kushoto na Supply ikiwa mkono wa kulia. Halafu zile Movement za Up and Down za Mzani tuzipatie jina la Value ili mfano wetu rahisi uweze kueleweka kwa kila mtu.

Unapoweka jiwe la kilo 1 upande wa kushoto, hiyo tuiite demand. Kama upande wa kulia hakuna "Kitu" chenye uzito sawa na ule wa kushoto "demand" basi mzani wako utapanda juu, maana ake sasa value inaongezeka.

Utakapoanza kujaza upande wa kulia taratibu mzani utaanza kushuka hadi itafikia hatua unakuwa balanced. Yani kulia na kushoto kunakuwa sawa.

Kabla hatujaendelea niwahamishe kidogo, Wengi mmekua mkisikia neno Stable Currency, Stable Currencies ni fedha ambazo zinamaintain Value in long term. Haz'fluctuate mara kwa mara.

So ukirejea kwenye mfano wetu wa mzani ni kua, Upande wa kulia na kushoto, rate ya demand na supply zinawiana.

Hapa sasa ndipo ilipo hoja ya kuumbua taifa flan. US Dollar ni free float currency, ni Currency ambayo haipo pegged to anything. value yake inategemea Market force, that's demand.

Katika miaka ya hapo nyuma tumeshuhudia US ambavyo amekua akiforce matumizi ya hela yake duniani kote hivyo kuiweka USD in high demand.

Huu mwanya kwa ambao walikuwa hawajui, ndio mwanya aliotumia US kuchapisha fedha zake kila mwaka unnoticed kwa walio wengi.

Nyakati ambazo anaforce 'demand', nikiwa na maana ya matumizi ya ela yake. Upande wa kushoto anaongeza Supply ya dollar kwa kuichapisha zaidi hivo value kua almost the same ndani ya kipindi kirefu.

Ukirudi kwenye mzani ni sawa na kuongeza jiwe la robo kilo upande wa kulia kisha kujaza unachojaza upande wa kushoto mzani uendelee ku-balance.

Na hali hii inatoa majibu, kwanini Petro-Dollar ikifa, inasepa na uchumi wa US. Ndio Petro Dollar ikisepa maana ake demand inapungua, hapo ni sawa na kupunguza jiwe upande wa kushoto hivo mzani unashuka chini.

Nini kitatokea, ni kwamba zile fedha zilizokua zikiingizwa kwenye mzunguko kila mwaka hakutakuwa na demand ya kuzifunikia. Matokeo yake ile budget ya ma-trillions of dollar will be no more [emoji23].

Chukulieni mfano zile dolla trillion 3 zilizochapishwa ndani ya miezi kama mi3 hivi. Hizo zinaongezwa kwenye Uchumi wa US, Pro west waendelee kukaza mafuvu kutwambia Uchumi wa California ni mkubwa kuliko wa Russia.

Huh na sasa imekua rahisi kuwaeleza hili kutoka kwenye Ruble ya Mrusi.

Value ya Ruble imekua ikiongezeka kila siku kutokana na demand kua kubwa as we know, petro-ruble kwa mazeru zeru wa EU while supply ikiwa ile ile ya mwanzo (Means hakuna ongezeko la uchapishaji note za rubble) hivyo value yake inaenda inapanda tu.

Lau kama US asingekuwa anachapisha fedha, akaendelea kukomalia matumizi ya fedha zake bas leo hii dola 1 ingebadilishwa kwa pesa ndefu sana mithili ya Bitcoin.

Sasa hizo printed paper anazozijazia kwenye supply, anazidumbukiza kwenye uchumi wake, Day to day anaonekana ni Trillions dollar economy by far kuliko mataifa mengine.

Siku zijazo, Russia nae ataweza kujifanyia yake. Katika kuzuia ongezeko zaidi la thaman ya Ruble, atafanya kuongeza Ruble zingine kwenye mzunguko. Ili kuikeep Ruble ndani ya range ya value flan.

You know what it means [emoji23][emoji23][emoji23]

Ni Skyrocketing of Russia's economy as government itakuwa na fedha nyingi sana za kutumia!

Hii issue nataman tungekua tumekaa mahala tunaizungumza, maandishi hayamalizi kila lililomo kichwani.

Hii comment ukiisoma vzr kuna vitu vingi vimejificha inshort uchumi wa US unategemea demand & supply ya dollar, kama dollar itakufa au dd kupungua means uchumi wa US utashuka sana.

Ikitokea Tanzanian shillings ika replace dollar kwenye transanctions hii inamaana kwamba uchumi wetu utakua sanaa.

Hapa unapata picha kwanini hawa jamaa hawataki socialism’s?? Coz wanajua uchumi wao umekaa kihuni huni sana. Petro-dollar ikifa uchumi wa US upo hatarini kufa na kuwa kama zimbabwe[emoji23].

Unarudi nyuma unapata picha ya kilichotokea kwa ndugu yetu Gaddafi na sadam hussein hawa jamaa walitaka kuswitch mauzo ya mafuta kwenda gold bhs ikawa tatizi jamaa wakasepa na Uhai wao ila tukaambiwa ni magaidi. Ila lilikua ni suala la kuipiga chini dollar.

Inshort dollar ni dhuluma sana kwa mataifa yote duniani kwanini kila nchi isitumia pesa yake?? Huu mfumo ni wa kidhuluma upo kwaajili ya kumnufaisha mtu mmoja. Dunia ndo tunaendesha uchumi wa US aseee ila wengi hawajui hili.

Ulishakaa ukajiuliza kwanini ukifanya international transactions kuna fee unalipia? Ni amount ndogo inabaki bank sasa unajiuliza hiyo amount nyingine inakwenda wapi?? Akili mtu wangu.
 


FIRST INTERROGATION OF RESPONSIBLE FOR EXPLOSIONS IN DONETSK❗️

As you all know, yesterday the commander of the national battalion was caught who bombed the peaceful areas of Donetsk. Everyone asked when the interrogation will take place?! Here we provide you with a link to the full version of the interrogation without censorship, his face was smashed into the meat, but that was just the beginning. Due to the obscene language and cruelty of the video, according to the rules of the telegram, we publish the full version of the interrogation in a closed private channel.

At 3:41 a hot knife is applied to the face.

STRICTLY 18+❗️
 
The Ministry of Economic Development of the Kaliningrad Region has published a list of goods that are prohibited from being transported in transit through Lithuania

It included, in particular:

▫️wood
▫️cement;
▫️silver;
▫️fertilizers;
▫️ bricks;
▫️ tile;
▫️metal products;
▫️ alcohol;
▫️perfumes;
▫️ caviar;

The Russian Foreign Ministry has already called this ban hostile actions and delivered an ultimatum to the Lithuanian government.
 
🇺🇦The witch hunt has begun in Ukraine.

The SBU reports on the exposure of Russian agents, which included officials from the Cabinet of Ministers and the Chamber of Commerce and Industry of Ukraine.

The head of the department of the secretariat of the Cabinet of Ministers and the head of one of the directorates was detained. According to the SBU, the officials gave Moscow all sorts of intelligence information: from the state of defense to the arrangement of the state border and personal data of Ukrainian law enforcement officers.
 
🇹🇷In Turkey, they started talking about a possible exit from NATO.

The oldest Turkish newspaper Cumhuriyet writes that the country has not received any benefits from membership in the Alliance. Exit from it promises Ankara a lot of pluses.

The loss of Turkey will mean for NATO the loss of influence in the Caucasus and Central Asia. For Ankara, this will be a transition to a strategic partnership with Russia and Iran, as well as integration into the SCO and BRICS.
Huyu Turkey ni pasua kichwa
 
Mimi nilianza nao kitambo kuwafutilia, lakini nilizidisha kasi kuwafutilia toka 2014! Nikaanza kufuatilia hata wa Movies zao na zile za Belarus. Movies zinatengenezwa kwa akili tupu! Siyo zile za jamaa zetu movie ukiaangalia 1/5 yake unajua itaishaje. Wale jamaa wako serious, hawana utani kabisa.
Movie zao tamu sana, unakuta hata starring kafa kwa kujitoa mhanga huko
 
Back
Top Bottom