Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Marekani inaendelea kuteseka zaidi na kuongezeka kwa bei ya mafuta ya Urusi, yanasema yataka kuseti kikomo cha bei ya mafuta ya Urusi.

Kwani si tuliaminishwa kuwa Marekani huwa ana akiba kubwa ya mafuta kiasi kwamba anaweza kuhudumia Dunia? Sasa mbona Biden na wamarekani wote wanalilia kwa bei ya mafuta kupanda nchini Marekani?!

Halafu Marekani si ilitangaza kuwa yenyewe imesitisha kununua mafuta ya Urusi, Sasa mbona wamarekani wanateseka kwa bei ya mafuta ya Urusi kupanda?

Si huwa tunaambiwa kuwa Marekani hutoa misaada mingi ya pesa kwa nchi zinginezo ikiwemo Tanzania, kwa nini Marekani inashindwa kujisaidia yenyewe kwa serikali ya Marekani kufidia ongezeko la bei yya mafuta ili raia wa Marekani waendelee kulipia ile bei ya dezo waliyozoezwa kudekezwa na Urusi?

View attachment 2267341
hao ukiwaibia printer zao ni weupe tu kuliko sisi.
 
❗️ The Washington Post reported that American Steven Zabelsky had died while participating in the fighting in Ukraine.

According to the publication, "he became at least the second American citizen" to die in Ukraine. The first was Willie Joseph Kansel; his death was announced in early June.
 
‼️🇺🇦🏴‍☠️Another group of UAF militants realized the futility of resistance and recorded a video message to the leader of the Kyiv junta Zelensky

The Ukrainian Nazis, located in the city of Seversk, DPR, having seen the map of the offensive of the Russian troops, realized that the boiler could close directly on them. In the appeal, they claim that they "keep the defense in the hottest spot", although in fact they are not on the first line of defense. It is hard to imagine how they would wail if they faced the Russian military in open battle.

Also, the militants of the Armed Forces of Ukraine persistently ask for their replacement and complain about the command. If the demand is not met, they threaten to flee from their positions.
 
⚔️⚔️⚔️Slovakia refused to supply tanks to Ukraine, all because of Germany.
Slovakia was supposed to transfer 30 T-72 tanks to Ukraine and in return receive Leopard 2A4 tanks from Germany. But the deal failed, Berlin offered the Slovaks only 15 leopards and had to transfer 30⚔️⚔️⚔️
 
Unyenyekevu unaendelea taratibu. Sindano zinaingia kisawa sawa

The EU Ambassador said that he met with Deputy Minister Grushko and Rudenko at the Russian Foreign Ministry, addressed the Russian side with a request to resolve the issue of Kaliningrad transit through diplomacy and not aggravate the situation
 
Kwahio walitaka wakae nae Mezani tu😂 hii ni sawa na kuchelewa kipindi na kumsubiria Lecture koridoni akielekea ofisini ili muyajenge
 
Hii kauli ya Putin ya kukataa si vita bali kinachoendelea Ukraine ni operation, ni kwa sababu jopu la washauri wa Putin baadhi wanaona ni kama Russia inawalea Ukraine, au ni kama Russia haipeleki mashambulizi vile ambavyo wanajua kiuhalisia uwezo wake.

Kuna washauri wa Putin ni vichaa, vichaa haswa, na wanajua kabisa Russia uwezo wake kijeshi upo vipi, ukitizama viongozi wengi wakubwa Russia ni wakongwe toka anguko la Soviet Union wakiongozwa na Putin, wana uelewa mkubwa sana kwa kila kinachoendelea EU na USA na umoja wao wa NATO, ni jopu la watu ambao ni vichwa haswa.

Putin anawatuliza washauri kwa kuwaambia hio ni operation tu si vita, Putin ni kama kwa namna flani anawatuliza wenzie. Sasa tujifikirieni tu Russia si nchi ya propaganda wala kujisifu, lakini unapoona kiongozi wa nchi ya Russia anasema ni operation unaelewa nini?

USA wanalifahamu hili kuwa Putin ana washauri vichaa, na mistake ndogo yaweza pelekea kupokea ushauri kwa hao vichaa kitu ambacho hapatokalika hapo EU, ndio maana hata siku ile Biden alitaka kuvuka mipaka kwenye hotuba eti Putin hafai kuendelea kubaki madarakani, white house ikakana juu ya hio kauli kwamba hayo ni maneno yake binafsi 😂😂😂.

Kinachoendelea hapa ni kwamba NATO wanabalance Russia iendelee kuwa kwenye Operation Mode, mistake ndogo wakikaa kwenye War Mode, nina imani kabisa kuna moja kati ya hivi kutokea.

1-NATO wakijua Russia yupo kwenye War Mode wajitoe kabisa kwenye huu mgogoro waiache Ukraine ipigwe itekwe yote.
au
2-NATO waingilie kumuokoa Ukraine, EU yote moto uwake, uchumi udorore, kazi za viwanda na uzalishaji mali zisimame, wakimbizi ambao ni raia wa EU wakimbilie Africa na sehemu nyingine salama kwao na familia zao.(Kuelekea WWIII)

Wote tuendeleeni kuomba tu, Putin asije akaamka asubuhi akasema sasa tunaingia vitani.
 
Hajataka tu ila nguvu hizo anazo kabisa za kwenda full scale na kusambaratisha kila kilichopo katika eneo la vita.
 
Back
Top Bottom