Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

caption: putin na medvedev
1655753418200.png
 
Jeshi la Nato linafanya mazoezi Makubwa ya kijeshi Karibu na Urusi.


Download
720
 
Nakubaliana na wewe mia kwa mia.
Putin ana subira sana,Kuna miamba hapo Moscow ni mitata hatari.
Hebu fikiria Kuna libunge limoja la Urusi lilipendekeza Urusi ipige vituo ama makambi yote ya USA yaliyoko ulaya
Hivi mtu kama huyu ndio ukimuachia nchi si ataanzisha vita na NATO mazima?

Mzee Russia hawa jamaa hawaogopi wanajiamini sana hii ndo raha ya kuwa na taifa lenye nguvu. Viongozi wa Russia wanawasema US nje nje bila woga na wasiwasi, kuna watu kule Russia wanahasira sana na West.
 
Back
Top Bottom