Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kyiv mnafika lini? tunataka bendera ya Ukraine ishushwe pale Ikulu ipandishwa ya Urusi kwa muda kabla ya uchaguzi wa Serikali mpya itakayofuata masharti ya makubaliano yetu kuhusu Usalama wa eneo la ukanda wetu.
Mkuu nadhan una uelewa mdogo was mambo haya ya Vita...hivi kwa kufatilia kwako unadhan Russia ameshindwa kwenda hapo kiev?!
 
Mkuu nadhan una uelewa mdogo was mambo haya ya Vita...hivi kwa kufatilia kwako unadhan Russia ameshindwa kwenda hapo kiev?!
sasa lengo la vita ilikuwa ni lipi kiongozi? au mnaishia Donetsk, Luhansk na Mariupol?
 
H ha baa
Mpumzishe MALCOM LUMUMBA ... Huyo ni mzeee wetu aliyekuwa anakaa nasi kwenye vioto akituhadithia .... Na tumejifunza vyema kwake ... Nahisi amenikua kidogo ... Na ametukua wengi ...huyo Mzee muacheni... NAMI nazeeka nawaachia vijana majukwaaaa ..... Ila akichapwa vizuriiii vizuri Ukraine narudi kutoa .. URAAAAAAA URAAAAAAA.......
Ha ha haa,Mzee baba umejipa uzee usiokua nao.
Bado sana ,tunakuhitaji hapa jamvini ktk kipindi hiki muhimu.
Mwezako Sergey Ravlov alitaka kusataa akazuiwa na Vladimir.
NAMI natamka rasmi usiondoke kwanza Hadi kieleweke.
 
sasa lengo la vita ilikuwa ni lipi kiongozi? au mnaishia Donetsk, Luhansk na Mariupol
Uliambiwa Hilo ndo lilikuwa lengo kuu?!...now mrus anashika karibu asilimia 30 ya nchi Yote unadhan Ni mchezo...mwambie huyo shoga kwamba hao west wanamuuza ....Kila siku casualties iko juu kwa majeshi yake....
 
Russian officials have stated that Lithuanian’s move is an egregious breach of international law and akin to a full blown economic blockade and an attempt to “place the region in an economic chokehold.”

Russia has warned that unless the ‘blockade’ of Kaliningrad is lifted immediately, Moscow may have no choice but to “untie its hands” and rectify the situation by any means necessary.

Many countries, including EU member states, imposed sweeping sanctions on Russia in response to the military campaign in Ukraine launched by Moscow in late February. The European bloc closed its airspace to Russian aircraft on February 27, and Moscow responded in kind, banning many European airlines.
====
RED: Kwa ajili ya msisitizo.
 
Australia has sent the first four of 14 armoured personnel carriers to Ukraine as part of a $285 million aid package.

The M113AS4s were loaded into a Ukrainian aircraft last week after the former defence minister Peter Dutton promised the personnel carriers and 20 additional Bushmaster protected infantry vehicles in May.
View attachment 2266378

View attachment 2266379
KYIV ($1=29.61 Ukrainian Hryvnias) — Australia has promised Ukraine to provide 14 M113 APC units as military assistance in the war against Russia. The first four APSs have already been delivered and Kyiv is waiting for the remaining ten. The delivery of the first four units were confirmed by the Ministry of Defense of Ukraine and the Ministry of Defense of Australia, the latter publishing photos of the loading of the M113 on Antonov An-124 cargo aircraft nearly two weeks ago.
Zele atawauzia Urusi kimtindo,atachukua cha juu chake maisha yaendelee
Nalog off  Z
 
sasa lengo la vita ilikuwa ni lipi kiongozi? au mnaishia Donetsk, Luhansk na Mariupol?
Wewe una akili fupi kama mkia wa mbuzi! Vita ni akili sio kujiendea endea tu kama li kondoo😂😂😂! Lengo la Urusi sio kuteka Kiev ingekuwa kipaumbele ni hicho wangekuwa washaiteka zamani sana.

Unapovamia kwenye nyumba ni lazima uhakikishe ume tighten security ya milango ili intruders wasije wakaku attack tokea mlangoni ulipoingilia. Huoni wanaovamia benki kwanini wanahakikisha wamefunga milango na ku tighten security ya milangoni wakati uporaji unaendelea?

Kwanini wasiingie tu huku milango ipo wazi. Ukipata jibu la hilo swali utaelewa kwanini Urusi kakaba mipakani!
 
Medvedev again 🌚

View attachment 2266410
Question from the RIA Novosti agency:

“Recently, there have been many comments about how important it is for humanity to start discussing the issue of extending the START-3 Treaty with the Americans or a new agreement on limiting strategic potentials without delay. How do you think?"

Answer:

This will depend on the decision of the President of the country.

In turn, as a person who had a direct relationship with START-3 and signed it in 2010, I consider the time for new negotiations to be the most inopportune.

Even last year, the situation for negotiations on a new agreement was different, which was also mentioned by Vladimir Putin, who extended START-3 for 5 years by exchanging notes with D. Biden. And it was exactly like that.

(Jina kamili la POTUS ni Joseph Robinnete Biden Jr. Hakuna jina linaloanza na D kwenye majina yake, So hapa D imesimamia nini? Au kaamua kukiita hiki kijibabu cha baiskel "Dementia" 😂😂😂) tuendelee

And now everything: dead zone.
We don't have any relations with the USA now. They are at zero Kelvin.

And you don't need to defrost them today. And there is no need to negotiate with them yet. This is bad for Russia. Let them run or crawl and ask for it. And they appreciate it as a special favor. Otherwise, it looks like this: they are solid abominations to us, and we are to them - here, pity, the nuclear deal.

Unproductive, dangerous and seen as a sign of weakness. Let them truly appreciate such a dialogue and ask for it on all the streets and in the gateways.

By the way, there is another proven method of communicating with America on this topic - a shoe on the UN rostrum. Once upon a time it worked...

Sasa wale wanaofikiri baada ya Putin no More, watamkumbuka sana. Kuna wababe na wakali Mzee Putin Mtakatifu.
Nakubaliana na wewe mia kwa mia.
Putin ana subira sana,Kuna miamba hapo Moscow ni mitata hatari.
Hebu fikiria Kuna libunge limoja la Urusi lilipendekeza Urusi ipige vituo ama makambi yote ya USA yaliyoko ulaya
Hivi mtu kama huyu ndio ukimuachia nchi si ataanzisha vita na NATO mazima?
 
Anti satellite weapons Hakuna asie nazo hata US anazo hata Russia anazo hata China ameendelea kufanya tafiti juu ya Jambo hili.nb Hakuna silaha ambayo Russia anayo us Hana au US Hana mpango was kuwa nayo.
Kwenye " black jack " warusi hupenda kuipraise kwa kuiita "white swan" Ni dege la kurusha makombora masafa marefu Hadi 7000 km likiwa Russia lakini si linalopaa angani juu Sana lisitunguliwe.
Na ndo maana ndege hii ikitembea katika mission yoyote lazima I we na escort ya SU 30 multrolefightee jet

America ana hypersonic??
America ana lasser weapons??

Ukinipa source na evidence najiondoa jf
 
Acha fix, si Urusi pekee yenye hypersonic missiles.

China, the U.S., and Russia have the most advanced capabilities, and several other countries are investigating the technology, including India, Japan, Australia, France, Germany and North Korea, which claims to have tested a hypersonic missile.6 Apr 2022

Naomba suppertive evidence sio kuruka ruka kma mkojo wa mbwa
 
Wewe una akili fupi kama mkia wa mbuzi! Vita ni akili sio kujiendea endea tu kama li kondoo😂😂😂! Lengo la Urusi sio kuteka Kiev ingekuwa kipaumbele ni hicho wangekuwa washaiteka zamani sana.

Unapovamia kwenye nyumba ni lazima uhakikishe ume tighten security ya milango ili intruders wasije wakaku attack tokea mlangoni ulipoingilia. Huoni wanaovamia benki kwanini wanahakikisha wamefunga milango na ku tighten security ya milangoni wakati uporaji unaendelea?

Kwanini wasiingie tu huku milango ipo wazi. Ukipata jibu la hilo swali utaelewa kwanini Urusi kakaba mipakani!
sasa lengo la Urusi ni lipi? kama ni kuyashikilia Donetsk, Luhansk na Mariupol basi sawa !! Lakini kama lengo ni hilo basi Urusi kafeli tena vibaya mno.

ila mimi na wengine wanaamini lengo la urusi si hilo la kwako, yaonekana hata wewe hujui main objective ya Russia kuivamia Ukraine. Soma kama acha uvivu.
 
Kwa kifupi USA ameingia kwenye 18 za ma "starring".
Ni kweli kabisa, kwanza nimestushwa na kauli ya Naibu wa baraza la Usalama la Russia. Anasema, kwa sasa uhusiano na US upo nyuzi joto sifuri, kwa hiyo ni US inatakiwa kupasha joto uhusiano huu. Na akaongeza kusema kuwa, kuna mkataba wa mambo ya Nyuklia baina ya Russia na US. Akaongeza hu mkataba ni US inatakiwa aje kuomba uongezewe muda hata kwa kutambaa inabidi aje tu, vinginevyo Russia haitapaja joto uhusiano na US! (Ni kwa tafsiri isiyo rasmi ya maelezo ya Dmitry M.)
====
The US would perceive Russian attempts to negotiate a prolongation of the New START nuclear treaty as a sign of weakness, so no talks should take place unless Washington changes its behavior, former Russian President Dmitry Medvedev argued on Monday.

“We don’t have any relationship with the US at the moment. They are at zero degrees Kelvin. And we should not unfreeze them for now,” the official wrote on social media.

“Let them come or crawl and beg for it. And they should value it as an act of utmost generosity,” he added. “Otherwise, this is how it looks: they toss only sleaze our way, and we go, there, have this nuclear deal, please.”

New START is the last remaining bilateral nuclear arms reduction treaty between the US and Russia. It limits the two nations’ stockpiles of nuclear warheads and delivery vehicles for them. While president, Medvedev signed the deal with US President Barack Obama in April 2010.

 
Jesh la Syria limeblock magari ya Jesh la USA na kuwataka warudi walipotoka huku helcopta ya mashambulizi ya Urusi ,Ka-52 ikiwa Angani ikiwapa ulinzi wa Anga wanajesh wa Syria. https://t.co/zXK3qTYoe8

Kuna taarifa Russia kalipua kambi ya US huko syria. Bado naifatilia kama kuna mtu ana full news tupatie
 
Back
Top Bottom