Mie naona dawa yake huyo ni kutomjibu tu.Huyu jamaa mahali alipofika moderator waangalie utaratibu wa kumpiga ban tu
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Mie naona dawa yake huyo ni kutomjibu tu.Huyu jamaa mahali alipofika moderator waangalie utaratibu wa kumpiga ban tu
😂😂😂🤩🤩🤩🤩🤩🤩 Thanks again wengine tujue kununua,chench,muamala na ya kutolea vingine tuwaachie nyie maalumni😂😂😂🙌🙌.
Aibu ipi na wenyewe ndio washajiweka juu ya kila utaratibu. Abraham alitembezwa enzi hizo Rothschild ndio wamiliki wa Central bank. 1865 kawa assassinated while Feds ikaanzishwa 1913.Hawa jamaa wanafanya uhuni waziwazi bila aibu yoyote,hii federal reserve ya marekani haikuwekwa kwa bahati mbaya.Inshort niseme R.I.P to the former US president Abraham Lincoln and John F Kennedy.
Nataka niwaweke meza moja na MALCOM LUMUMBA huku nimeshika kalamu na karatasi yenye maswali meeeengi kama mchanga.[emoji23][emoji23][emoji23]
Alumni wapiiii shangazi, me nimeztoa kwenye kahawa tu, meokoteleza huko ila sina maajabu yoyote [emoji847].
Aibu ipi na wenyewe ndio washajiweka juu ya kila utaratibu. Abraham alitembezwa enzi hizo Rothschild ndio wamiliki wa Central bank. 1865 kawa assassinated while Feds ikaanzishwa 1913.
Ingawa ukichimba deep ni wale wale kasoro majina tu. Hapo kwenye hio miaka ukipita haraka kuna kitu huwezi kukiona... Ila ukitembea taratibu utakiona.
Fed imeanzishwa 1913, mwaka uliofata 1914 kukazuka vita ya kwanza ya Dunia. US akiongoza kwa kugawa mikopo Europe, na akajiingiza kwenye vita hizo zilzo thousands of mile kutoka kwake! Effects ya ile mikopo ndio Europe hii ya leo.
JFK nae akawa assasinated due to executive order number 11,110, yes hio number nimeikariri maana nyepesi sana so usishangae kiivo [emoji23]
JFK alitaka kuwe na US Notes ambazo zitakuwa printed na serikali sio hawa Federal Reserve. Akatia sign order hiyo, haikupita mda akanyofolewa. Rais aliyefatia akaifuta hiyo order kurejesha mamlaka yote Federal Reserve!
Kwa vitendo alivyofanya Rais aliyefatia, aliyekua makam wake JFK, Lyndon James haikupi shida kujua kwanini JFK aliuliwa. Mwenyewe aliingia na slogan au tuseme Vision of building a "Great Society" for American People he he!
So JFK na Abraham ni mifano ya viongozi ambao watakumbukwa daima, walio-dare kutaka kuitoa US kwenye mikono ya Elites kuirudisha kwa wananchi ila wakapotezwa!
Kwenye Speech ya juzi, Putin katamka haya majina mawili separately, "West Politicians, Western Elites."
Ok me na wewe tukisikia West Politicians haraka tushawajua kama Kijibabu Joe, na wengineo, swali hao Western Elites ni akina nani? Of course ukijaribu kuwazungumzia utaitwa Conspiracy Theorist.
Viongozi wa juu wanaelewa mengi ambayo hayapo kwa walio wengi. Bila kusahau Medvedev nae kuna post aliiandika akaweka neno "Cabal fight" nikasema hapa kwa wale Curious JF members wa kufatilia kila neno bass hilo hawatoliacha.
Sasa jumlisha hao Cabalist kutoka kwa Medvedev, Western Elites kutoka kwa Putin. JE NI WAKINA NANI HAO? Me sjuw [emoji23]
Kuna mda Mathanzua huwa anaongea vitu anaonekana kama yupo nje ya Script hivi, kuna mwingine akaenda mbali akamuita extremist n.k
Japo kuna mengine machache anaenda beyond reality, na yote yawezekana kwa7b ya prior knowledge aliyonayo (Bible Kno...ge) inayomfanya kila kitu kuki-judge kwa reference ya Bible but kiukweli at least He knows vingi of what most people here know not.
Hawakujua kuwa Putin is "immortal"
Umewaza Kijasusi,Kwa sasa Marekani anapigania uhai wake hivyo vita itakuwa ngumu sana kama Russia hatajiongeza . Ndugu warusi wenzangu USA anaadhirika atatoa chochote alichonacho kuhami uchumi wake wa kinyonyaji . Kifo cha dola na kupoteza ushawishi ni pigo kuliko askari wa Ukraine wanaokufa
Unajua nikuambie kitu Mkuu?Nataka niwaweke meza moja na MALCOM LUMUMBA huku nimeshika kalamu na karatasi yenye maswali meeeengi kama mchanga.
Malcom lumumba upo wapi au ndo unashinda shamba mpunga wako unaliwa na ndege?
Hivi vindege vya USA vinavyoshushwaga vikiwa vizima na Iran ndio Urusi apoteza muda kuviteka?
Kumbe wewe ni kijana tu kama mimi sema jamaa unaakili Sana vitu unavyodadavua humu kwa normal Brain ni ngumu mtu kufanya unavyofanya we ni genius .. naomba kufaham ulisomea kozi gani au ulisomea shule gani kama hutojali ...Duh, me sio levels hizo mdau, hao wakongwe ase!
[emoji23]
Intelligence yako mbovu mdau ha ha ha, Mwaka na mwezi aliojiunga MALCOM LUMUMBA hapa JF mie nilikuwa nimekaa nasubiri majibu ya Mock Form 4. By that time nilikuwa na 16yrs old pekee tena nikiwa sijaikamilisha maana nimezaliwa mwishoni mwa mwaka.
So unaweza kulitafakari hilo Gap ndipo utaelewa mie sio yule unayemdhania.
Ha ha dah shukran for your admiration uliyonipea, Ila mie wa kawaida sana tena sana tu mdau.Kumbe wewe ni kijana tu kama mimi sema jamaa unaakili Sana vitu unavyodadavua humu kwa normal Brain ni ngumu mtu kufanya unavyofanya we ni genius .. naomba kufaham ulisomea kozi gani au ulisomea shule gani kama hutojali ...
Hapana mwamba, Hii sio mara ya kwanza nakumbuka mwanzo mwanzo thread bado mbichi mlisema hivi. Malcom Yule anaonekana mtu mzima sana. Bora mie huyo Ask-Q ndio kabisa bado chalii sana.Unajua nikuambie kitu Mkuu?
Nilimuwaza sana Malcom Lumumba katika mgogoro huu.
Hajaonekana kabisa.
Lakini Intelijensia yangu ikaniambia,
Huenda Malcom Lumumba nimoja kati ya Galip vrl au ASQ-Q.
Naishia hapo......
[emoji23][emoji23][emoji23]Duh, me sio levels hizo mdau, hao wakongwe ase!
[emoji23]
Intelligence yako mbovu mdau ha ha ha, Mwaka na mwezi aliojiunga MALCOM LUMUMBA hapa JF mie nilikuwa nimekaa nasubiri majibu ya Mock Form 4. By that time nilikuwa na 16yrs old pekee tena nikiwa sijaikamilisha maana nimezaliwa mwishoni mwa mwaka.
So unaweza kulitafakari hilo Gap ndipo utaelewa mie sio yule unayemdhania.
Basi utakuwa umetokea Kagera wewe[emoji28][emoji28]Ha ha dah shukran for your admiration uliyonipea, Ila mie wa kawaida sana tena sana tu mdau.
Na kuhusu "kozi" advance nilichukua PCM ila ngazi iliyofata nikachukua Data Science and Business Analytics huko Ugenini...
Mengine huwa tunajifunza pole pole kwa watu nje ya mfumo tu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Jomba sio mhaya huyoBasi utakuwa umetokea Kagera wewe[emoji28][emoji28]
Imebidi nikaangalie mwaka aliojiunga ...nikakuta nilishamaliza chuo na nipo kazini mwaka wa tatu....aseee kumbe TUNAZEEKA sasa....Duh, me sio levels hizo mdau, hao wakongwe ase!
😂
Intelligence yako mbovu mdau ha ha ha, Mwaka na mwezi aliojiunga MALCOM LUMUMBA hapa JF mie nilikuwa nimekaa nasubiri majibu ya Mock Form 4. By that time nilikuwa na 16yrs old pekee tena nikiwa sijaikamilisha maana nimezaliwa mwishoni mwa mwaka.
So unaweza kulitafakari hilo Gap ndipo utaelewa mie sio yule unayemdhania.
Basi atakuwa Mhehe.[emoji23][emoji23][emoji23] Jomba sio mhaya huyo
Tunatumia ID Fake, ningesema ila kote huko hayupo [emoji23][emoji23][emoji23]Basi atakuwa Mhehe.