Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

👉Kiufupi nina mashaka na hizi ajali za Moto za Urusi kwenye mabomba ya kusafirishia gas, nahisi kabisa hujuma hii anaifanya Mrusi mwenyewe ili kuzibana nchi za Ulaya👈Mmm, upo uwezekano huu,lakini ni mdogo sana kwa kuwa Mrusi mwenyewe anahitaji fedha.Hakuna sababu ya Mrusi kujifanya pumping facilities zina shida,angepunguza tu pumping,tena akasema wazi,pasingekuwa na shida yeyote,si na wao wamemuwekea vikwazo bwana,it's tit for tat,hana haha ya kuficha.

Nadhani most likely hii ni Western sabotage,ili Warusi wakose fedha washindwe ku-finance Vita,jambo wamekuwa wakilisema mara nyingi,hawajaficha kabisa.Hata hivyo kama the West ndio walio-sabotage ni ujinga kwa kuwa wanajiumiza wenyewe.

However,this could be the dirty work of NWO impostors and morons,because the aspirations of the NWO Elite are different from those of the ordinary Western citizenry.The aspirations of the NWO Elite is to destroy Russia,because it stands on the way of global tyranny and total control of humanity by the NWO.The ordinary citizen of the West however wants a multipolar World with peace and harmony among nations.
Hapo mkuu mrusi kujifanyia hujuma inakuwa na nguvu kuliko kama angefunga Kwa kusema nimeamua kufunga kwanini ni kwasababu

Akijifanyia hujuma maana yake kampuni za seamens watalazimika kuja kutengeneza sasa kama kuna vikwazo raia wa EU kipindi cha baridi hawata mlalamikia Putin Ila watawalalamikia viongozi wao Kwa kufanya maamuzi ya kujinga na hii itasababisha machafuko Kwa EU na kitu ambacho Putin anakitaka kama Putin akiamua yeye mwenyewe kufunga gas wananchi wa EU watashikamana na viongozi wao Kwa kuwa kitendo cha wao kukosa gas ni Kwa sababu Putin kaamua kufunga bomba la gas na Siyo maamuzi mabaya ya viongozi wao, sasa Putin hataki Kwa namna yeyote aonekane kuwa matatizo wanayopitia raia wa EU chanzo ni viongozi wao na Siyo putin
 
Kibabu Joe kilikuwa kinaendesha baiskel kimepiga mweleka hadi kinatia Huruma.
View attachment 2265219

Video hapa chini anaonekana vizuri... Again de cause of falling watatwambia ni Putin Strike 😂
View attachment 2265220

What comes around goes around, hii ingetokea kwa Putin Media zote duniani wangeiweka front page na main topic ya siku!
Nimekaona kamekula mweleka 🤣🤣🤣🤣 sasa atahutubia masaa manne huyu?
 
Screenshot_2022-06-18-22-09-20-479_com.instagram.android.jpg
 
Kwa sasa Marekani anapigania uhai wake hivyo vita itakuwa ngumu sana kama Russia hatajiongeza . Ndugu warusi wenzangu USA anaadhirika atatoa chochote alichonacho kuhami uchumi wake wa kinyonyaji . Kifo cha dola na kupoteza ushawishi ni pigo kuliko askari wa Ukraine wanaokufa
Na ajipange haswa akija kichwa kichwa analimwa ya kichwa tena, na hivi anapenda show off na visifa vya kijinga.
 
Hizo pesa nyingi ziliingizwa kwenye mzunguko Kama misaada ya Covid... Kama stimuli package za Covid...

US walipeana Stimuli package nyingi tu za Covid. Watu walipewa hard cash..

Huku kwetu Tanzania na sisi tukaambulia pia pesa za mikopo za Covid

Yaani pesa zilikuwa printed na kutolewa Kama njugu
Swala kubwa hapa ni burden ya hizo fedha inaangukia wapi. Hizo fedha zinakuwa mzigo kwa wazalishaji wa dunia nzima kuwa dola inatumika kama sarafu ya dunia . Wanaprint wanapeleka World Bank tunakopeshwa tunalipa kwa riba kubwa baada ya.kuzalisha pamba kahawa na mafuta . Wao hawahitajiki kuzalisha kama sisi wanachapisha tu fedha. Kama dunia itawatenga kwa maana ya kuitenga dola basi inflationary rate yao itakuwa ya kutisha sana ukizingatia gharama kubwa za kuendesha majeshi na vyombo vyao vya usalama ambavyo kimsingi vinagharamiwa na sisi raia wote wa dunia.
 
Nimekaona kamekula mweleka 🤣🤣🤣🤣 sasa atahutubia masaa manne huyu?
Awezee wapi wakati inaonesha mwili hauna coordination hapo! Ilipaswa akae kwake apumzishe fuvu hilo huku akiomba toba!

Raia wa US nao sijuw waliwaza nini kiukweli... Biden 80yrs kasoro miezi tu. Yule Speaker Nancy Pelosi 82yrs. Wote na Babu Joe wakiwa wanazungumza unajiuliza ina maana US walikosa viongozi wakaamua kuishikisha mihimili miwili hivi vizee viwili? Majibu unakooooooosa!

Wanasoma ila wanapuyanga live questions waanzaje kutoboa!
 
Nop Shangazi... Fedha haziingizwi kwenye mzunguko namna hiyo unavyowaza.

Kwamba una print unamaliza unaenda kuzimwaga kwa watumiaji la hasha.

Fedha zinaingizwa kwenyeb mzunguko in term of bill payment. Lel say unahitaji kilo 10 za mchele bei yake 20k, unazama chumbani unafanya prrrrr unachomoa note unaenda kununua....

Ile 20k uliyoitoa chumbani ndio umeiingiza kwenye mzunguko. Na kule ndivyo ilivyofanyika na inavyofanyika siku zote.

Msaada wa maelezo ya data kwa picha ni kama hivi
View attachment 2265197

Unaiona 2020 ilivyokua... That sharp rise? Happ 2021 data zake hazipo. Ila kwa mfano tu utakuwa umeshika kitu.

Kwa mfano mwaka 2022/23 budget ina deficit ya zaidi dollar trillion 1 na chenchi hivi. So hizo fedha zinatoka wapi? Wanajua Fed!

Kingine sio kwamba hawajui, wanajua sana. Toka kitambo mwanzoni kabisa wa mwaka jana nilikuwa nikiwasikia wanalalama kuhusu Fed kuzidisha shughul za Printers 😂😂

Kote huko kwenye social networks na baadhi ya Channels za wale wanaojiita ma-patriots (Sampuli za akina Mdee na Bulaya) wakilikosoa sana hilo swala.

Putin anavyowaambia West kua hawaongozi nchi kwa maslah ya Raia wao, He is sure na kile anachokizungumza.

Hapa sasa unajiuliza anayedai huu upande una demokrasia anamaanisha ipi kama ile "of the people to the people for the people" halipo katika uhalisia.
Thanks 😂😂😂😂sisi maslow learner tuvumilieni yaani nakukusoma kote hapa sikuambilia kitu,kuna uyo alotoa mfano wa covid 19 kwangu ndio nimemuelewa wanatengeneza tatizo alafu linatatuliwa kwa kukopeshwa note zao ambazo zina masharti ya jinsi ya kulipa.
 
Leo si umeona maandamano London mkuu, imetangaza aljazila
Kiufupi Nina mashaka na hizi ajali za Moto za urusi kwenye mabomba ya kusafirishia gas, nahisi kabisa hujuma hii anaifanya mrusi mwenyewe ili kuzibana nchi za ulaya

Kuna uharibifu wa bomba la mafuta umetokea kama siku Tatu nyuma Ila nimeona ya kuwa urusi imepunguza kusafirisha gas kwenda EU sababu watu wanahusika na ukarabati ambao ni seamens wameshindwa kwenda kukarabati sababu ya vikwazo

Yaani kiufupi EU wanajikuta wanalazimika kula matapishi Yao kitu ambacho kinawauma Sana Ila hawana jinsi
Kwa baridi hili linalokuja ulaya itakuja kuingia kwenye machafuko ya kiraia kama viongozi wao hawajachukua maamuzi mapema ya kuondoa vikwazo
 
Kibabu Joe kilikuwa kinaendesha baiskel kimepiga mweleka hadi kinatia Huruma.
View attachment 2265219

Video hapa chini anaonekana vizuri... Again de cause of falling watatwambia ni Putin Strike 😂
View attachment 2265220

What comes around goes around, hii ingetokea kwa Putin Media zote duniani wangeiweka front page na main topic ya siku!
kuna mambo yanachekesha sana,
ila nimegundua USA wajanja wajanja hivi, lakin IQ ndogo , Russia watulivu ila watu makin sana na high IQ
mwanzo nilikuwa neutral nikiangalia mwenendo lakin Russia jamaa wako makin sana
 
Thanks 😂😂😂😂sisi maslow learner tuvumilieni yaani nakukusoma kote hapa sikuambilia kitu,kuna uyo alotoa mfano wa covid 19 kwangu ndio nimemuelewa wanatengeneza tatizo alafu linatatuliwa kwa kukopeshwa note zao ambazo zina masharti ya jinsi ya kulipa.
Kawaida tu shangazi ila sina hakika kama na yeye umemuelewa alichokimaanisha.

Fedha zilizotoka kwenye Covid-19 ni just a fraction ya hizo fedha... US kila mwaka ana deficit ya budget ya over trillion of dola. Hiyo deficit inasuluhishwa vipi? Hapo ndipo utakapouona mlango wa kuziingizia hizo fedha kwenye mzunguko.

Mfano we na Baba Yoyoo, mmepanga budget yenu ya 20k, ila makusanyo ya miradi yenu hapa na pale inafikia 11k, hivo 9k hauna... So inabidi ukakope si ndio?

Naam katika mikopo yako ukabahatisha 5k means 4k bado inahitajika right? Sasa zile bill ulizopanga na Baba Yoyoo za 4k unaingia chumbani kuprint.

So kile kipya unacho print unakiingiza kwenye mzunguko... N kwenye demand and Supply maana ake unaongeza Supply.

Demand and Supply iko hivi
1. High Demand with High Supply... The value is maintained constantly...

2. High Demand in Low Supply... The Value is Increasing

3. Low demand in Low supply... Rejea kwenye moja

4. Low demand kwenye high supply, inakua kinyume cha number 2... Thamani inaporomoka

Sasa ukirudi kwenye budget deficit ya US, Over 1 trillion dollar. Ambayo Iko on par na GDP ya 12th au 13th hivi of the world largest economies. Hiyo deficit haifidiwi kwa mkopo tu bali Printers zinahusika.

Kwenye ile Graph niliyokupa, Upande wa kulia inaonesha Jumla ya Fedha zilzio kwenye mzunguko. Upande wa kushoto unaonesha kiasi cha fedha kilichokua printed mwaka husika...

Ngoja niiweke tena...
images (20).jpg


Cha kutoa kwenye graph ni kama haya
1. Kila mwaka fed wana print fedha (Sio zile za kubadilisha chakavu pekee la hasha, za kuongezwa kwenye mzunguko) kupitia bills!

2. Kua 2020 na 2021 (mind you hapo 2021 kwenye graph haipo) US wamefanya over printing.

Mfano wa ziada, majuzi kati baada ya kuidhinishwa zile B40 dolla, Senator Rand Paul akawa anasema hizo fedha Serikali haina that means wakakope ili wapeleke Ukraine. (hapa china alihusishwa) wengine wakawa wanasema Fed watafanya mambo yao wana print kisha wanasafirisha.

Yote kwa yote issue za fedha ziko complicated sio lazima tuzijue deep kiiivyo. We kitendo cha kujua Putin anafanya nini mie nakupea salute tu 🤩🤩🤩
 
Additional note kuhusu nyakati za Covid ni hivi... Kipindi cha Covid ukichagiza na zile lockdown shughuli nyingi zilisimama hivo uchumi kuyumba.

Katika jitihada za kuimarisha uchumi huo hapa, feds waliongeza dola karib trillion karib 3 ndani ya miezi kadhaa.

Mwishoni mwa mwezi February 2020 US Feds balance sheet ilikuwa inasoma dollars trillion 4, mwezi June. Ikiwa ni miezi mi3 mbele US Feds balance sheet ikawa inasoma over 7 trillions dolla. Hizo fedha zote zimekuwa pumped in 😂

Hapo ni 4 hadi 7 miezi mi3 kati, Sasa again ikawaje zikatoka tena 7 hadi over 20, story nyingine tena hiyo...

That's why baadhi ya Pro-Russia wanasema uchumi wa US wa mchongo!
 
Hapo mkuu mrusi kujifanyia hujuma inakuwa na nguvu kuliko kama angefunga Kwa kusema nimeamua kufunga kwanini ni kwasababu

Akijifanyia hujuma maana yake kampuni za seamens watalazimika kuja kutengeneza sasa kama kuna vikwazo raia wa EU kipindi cha baridi hawata mlalamikia Putin Ila watawalalamikia viongozi wao Kwa kufanya maamuzi ya kujinga na hii itasababisha machafuko Kwa EU na kitu ambacho Putin anakitaka kama Putin akiamua yeye mwenyewe kufunga gas wananchi wa EU watashikamana na viongozi wao Kwa kuwa kitendo cha wao kukosa gas ni Kwa sababu Putin kaamua kufunga bomba la gas na Siyo maamuzi mabaya ya viongozi wao, sasa Putin hataki Kwa namna yeyote aonekane kuwa matatizo wanayopitia raia wa EU chanzo ni viongozi wao na Siyo putin

POINT
 
Swala kubwa hapa ni burden ya hizo fedha inaangukia wapi. Hizo fedha zinakuwa mzigo kwa wazalishaji wa dunia nzima kuwa dola inatumika kama sarafu ya dunia . Wanaprint wanapeleka World Bank tunakopeshwa tunalipa kwa riba kubwa baada ya.kuzalisha pamba kahawa na mafuta . Wao hawahitajiki kuzalisha kama sisi wanachapisha tu fedha. Kama dunia itawatenga kwa maana ya kuitenga dola basi inflationary rate yao itakuwa ya kutisha sana ukizingatia gharama kubwa za kuendesha majeshi na vyombo vyao vya usalama ambavyo kimsingi vinagharamiwa na sisi raia wote wa dunia.

Ndomana hii mikopo nchi nyingi za Africa haziendelei ni mikopo inayofanya tuzidi kuwa maskini
 
Kawaida tu shangazi ila sina hakika kama na yeye umemuelewa alichokimaanisha.

Fedha zilizotoka kwenye Covid-19 ni just a fraction ya hizo fedha... US kila mwaka ana deficit ya budget ya over trillion of dola. Hiyo deficit inasuluhishwa vipi? Hapo ndipo utakapouona mlango wa kuziingizia hizo fedha kwenye mzunguko.

Mfano we na Baba Yoyoo, mmepanga budget yenu ya 20k, ila makusanyo ya miradi yenu hapa na pale inafikia 11k, hivo 9k hauna... So inabidi ukakope si ndio?

Naam katika mikopo yako ukabahatisha 5k means 4k bado inahitajika right? Sasa zile bill ulizopanga na Baba Yoyoo za 4k unaingia chumbani kuprint.

So kile kipya unacho print unakiingiza kwenye mzunguko... N kwenye demand and Supply maana ake unaongeza Supply.

Demand and Supply iko hivi
1. High Demand with High Supply... The value is maintained constantly...

2. High Demand in Low Supply... The Value is Increasing

3. Low demand in Low supply... Rejea kwenye moja

4. Low demand kwenye high supply, inakua kinyume cha number 2... Thamani inaporomoka

Sasa ukirudi kwenye budget deficit ya US, Over 1 trillion dollar. Ambayo Iko on par na GDP ya 12th au 13th hivi of the world largest economies. Hiyo deficit haifidiwi kwa mkopo tu bali Printers zinahusika.

Kwenye ile Graph niliyokupa, Upande wa kulia inaonesha Jumla ya Fedha zilzio kwenye mzunguko. Upande wa kushoto unaonesha kiasi cha fedha kilichokua printed mwaka husika...

Ngoja niiweke tena...View attachment 2265261

Cha kutoa kwenye graph ni kama haya
1. Kila mwaka fed wana print fedha (Sio zile za kubadilisha chakavu pekee la hasha, za kuongezwa kwenye mzunguko) kupitia bills!

2. Kua 2020 na 2021 (mind you hapo 2021 kwenye graph haipo) US wamefanya over printing.

Mfano wa ziada, majuzi kati baada ya kuidhinishwa zile B40 dolla, Senator Rand Paul akawa anasema hizo fedha Serikali haina that means wakakope ili wapeleke Ukraine. (hapa china alihusishwa) wengine wakawa wanasema Fed watafanya mambo yao wana print kisha wanasafirisha.

Yote kwa yote issue za fedha ziko complicated sio lazima tuzijue deep kiiivyo. We kitendo cha kujua Putin anafanya nini mie nakupea salute tu 🤩🤩🤩
🤩🤩🤩🤩🤩🤩 Thanks again wengine tujue kununua,chench,muamala na ya kutolea vingine tuwaachie nyie maalumni😂😂😂🙌🙌.
 

The Holocaust​

Haya ni mauaji ya kimbali(Genocide) yaliyofanyika nchini ujerumani mwaka 1941 - 1945. Mauaji haya ya Wayahudi zaidi ya 6,000,000.

Wayahudi waliteswa na kuuliwa. Kiongozi wa mauaji hayo ni Aldof Hitler. Hitler hakutosheka kuwaua wayahudi ndani ya nchi yake. Aliamua kuwatafuta pande zote za dunia. Soviet Union ilikuwa na kiwango kikubwa cha wayahudi. Aliamua kuvamia Soviet Union ili kuwaangamiza wayahudi wote.

Alikuwa akiwa na Ideology ya NAZI kuwatesa na kuwaua wayahudi.

Kitendo hicho kicho Rais ya Ukraine alikuwa akikifanya. Rais wa Ukraine anajiita kuwa ni Muyahudi. Lakini kiuhalisia ni uongo. Yeye ni MNAZI na baba yake alikuwa ni MNAZI mkubwa tu.

Sehemu ya Ukraine mashariki inakaliwa na Warusi wenye asili ya Wayahudi. Lengo la Zelesky ni lile lile la Hitler.

Warusi wakikumbuka mauaji ya kimbali ya vita vya pili vya dunia wanaona ni bora kukomesha mapema tkabla ya ideology hiyo kukua zaidi.
wayahuni hao hao ndio waliompa mrussi Siri za Manhattan project
 
Back
Top Bottom