Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kiufupi Nina mashaka na hizi ajali za Moto za urusi kwenye mabomba ya kusafirishia gas, nahisi kabisa hujuma hii anaifanya mrusi mwenyewe ili kuzibana nchi za ulaya

Kuna uharibifu wa bomba la mafuta umetokea kama siku Tatu nyuma Ila nimeona ya kuwa urusi imepunguza kusafirisha gas kwenda EU sababu watu wanahusika na ukarabati ambao ni seamens wameshindwa kwenda kukarabati sababu ya vikwazo

Yaani kiufupi EU wanajikuta wanalazimika kula matapishi Yao kitu ambacho kinawauma Sana Ila hawana jinsi
Kwa baridi hili linalokuja ulaya itakuja kuingia kwenye machafuko ya kiraia kama viongozi wao hawajachukua maamuzi mapema ya kuondoa vikwazo
Binafs na ham sana ya kuona Civil wars za hawa watu. Wanaojifanya kuzijua sana haki za magasho kuliko haki za Raia wao kupata huduma za kijamii wanazozichezea kamari kwa jina la Ukraine.
 
😂😂😂

Kikawaida kila nchi duniani ina Print fedha hizi ambazo tunazitumia. Kuna baadhi wana print wenyewe kama hao US na wengine ambao ndio wengi haswa wana print fedha zao nje ya mipaka ya nchi zao.

Mfano hapa Africa over 40 Countries wanaprint fedha zao hapo Europe.

Alichokifanya US ni over printing!

We all know hii principle ya demand and supply. When the demand become high while supply is fixed basi Value inaongezeka. Na demand inapobaki fixed au kupungua ilhali Supply inaongezeka basi Value inaporomoka.

Yakadiriwa kufikia mwaka 2019, kulikuwa na around 4 trillion dollar kwenye mzunguko. Lakini mwanzoni mwa 2022 kunakadiriwa kua na over 20 trillion dollars kwenye mzunguko.

Maana ake nini? Kwamba jumla ya dollars zote zilizopo kwenye circulation toka 1792 kulipokoma matumizi ya Continental currency kuzaliwa kwa US dollar , 85% katika hizo zimekua printed ndani ya miezi 24 hii ya juzi kati 😂...

So there ndipo ilipo point... Why there record inflation in US.

Sasa kama kawaida ya wajeuri huwa hawakubali makosa, hawakili kukosea, hujiona wako sawa mda wote na ndipo anaangaliwa wa kutupiwa lawama. Ndio maana Putin anawaambia Actions zao wenyewe ndio zinawagharim wala sio Issue ya Ukraine.

Yes, Of course US sio kama Europe. US is rich in resources kama ilivyo Russia na nchi nyinginezo. US ana natural resources worth of 45 trillions dollars, second only to Russia mwenye natural resources worth of 75 trillions dollars.

So excuse ya US kua tatizo ni Russia huko kwao ni invalid. Tatizo lipo kwao wenyewe. Miscalculation, Upuuzi wa viongozi na majina mengineyo unayoweza kuyatumia.

Hii inanikumbusha 2001, enzi hizo kwenye issue ya Sept 11.

On Sept 10, Pantagon ikatangazwa kupotea kwa kama 2.3 trillion dollar hivi halaf siku inayofata Sept 11 kukatokea Ulipuzi wa hilo eneo bila kusahau kule World trade center. Hii ikawa sababu ya wao kwenda Afghanistan miaka 20 na wameteketeza almost 8 trillions dola za walipa kodi wao kwa wachunga mbuzi wa taleban.

2022 huu ni mwaka wa mid-term election hapo US... Chaka la kujifichia ndio hili Ukraine, Nyukraine, Vyukraine, Pussykraine 😂😂 utafikiri ni jimbo la 51 la United Shit of America.
Mi nna swali kutoka 4 trillion dollars hadi 20trilion bila wao kugudundua? Yaani imeongezeka vip? Kila noti ya dolla ina mwaka iliyoprintiwa,alafu zile za zamani zaidi huondolewa kwenye mzunguko na ambazo tuseme n za 2018 zinakua cheaper compared na za 2005 cheapest.

Kwamba walisombeshewa manoti au???
 
This is nonsense!It is not Russia which is putting the World at the risk of famine,it is the West.It is the lunacy of Western Governments which is the cause of this War.It is the West which broke all security agreements with Russia,not Russia.Russia could not sit by and look, while the West has surrounded it and is ready to attack with conventional,nuclear chemical and biological weapons,it has to protect itself.Russia in reality is defending itself and that is legitimate for any nation on the planet.
 
IMG-20220618-WA0073.jpg
 
Mi nna swali kutoka 4 trillion dollars hadi 20trilion bila wao kugudundua? Yaani imeongezeka vip? Kila noti ya dolla ina mwaka iliyoprintiwa,alafu zile za zamani zaidi huondolewa kwenye mzunguko na ambazo tuseme n za 2018 zinakua cheaper compared na za 2005 cheapest.

Kwamba walisombeshewa manoti au???
Nop Shangazi... Fedha haziingizwi kwenye mzunguko namna hiyo unavyowaza.

Kwamba una print unamaliza unaenda kuzimwaga kwa watumiaji la hasha.

Fedha zinaingizwa kwenyeb mzunguko in term of bill payment. Lel say unahitaji kilo 10 za mchele bei yake 20k, unazama chumbani unafanya prrrrr unachomoa note unaenda kununua....

Ile 20k uliyoitoa chumbani ndio umeiingiza kwenye mzunguko. Na kule ndivyo ilivyofanyika na inavyofanyika siku zote.

Msaada wa maelezo ya data kwa picha ni kama hivi
images (20).jpg

Unaiona 2020 ilivyokua... That sharp rise? Happ 2021 data zake hazipo. Ila kwa mfano tu utakuwa umeshika kitu.

Kwa mfano mwaka 2022/23 budget ina deficit ya zaidi dollar trillion 1 na chenchi hivi. So hizo fedha zinatoka wapi? Wanajua Fed!

Kingine sio kwamba hawajui, wanajua sana. Toka kitambo mwanzoni kabisa wa mwaka jana nilikuwa nikiwasikia wanalalama kuhusu Fed kuzidisha shughul za Printers 😂😂

Kote huko kwenye social networks na baadhi ya Channels za wale wanaojiita ma-patriots (Sampuli za akina Mdee na Bulaya) wakilikosoa sana hilo swala.

Putin anavyowaambia West kua hawaongozi nchi kwa maslah ya Raia wao, He is sure na kile anachokizungumza.

Hapa sasa unajiuliza anayedai huu upande una demokrasia anamaanisha ipi kama ile "of the people to the people for the people" halipo katika uhalisia.
 
Kiufupi Nina mashaka na hizi ajali za Moto za urusi kwenye mabomba ya kusafirishia gas, nahisi kabisa hujuma hii anaifanya mrusi mwenyewe ili kuzibana nchi za ulaya

Kuna uharibifu wa bomba la mafuta umetokea kama siku Tatu nyuma Ila nimeona ya kuwa urusi imepunguza kusafirisha gas kwenda EU sababu watu wanahusika na ukarabati ambao ni seamens wameshindwa kwenda kukarabati sababu ya vikwazo

Yaani kiufupi EU wanajikuta wanalazimika kula matapishi Yao kitu ambacho kinawauma Sana Ila hawana jinsi
Kwa baridi hili linalokuja ulaya itakuja kuingia kwenye machafuko ya kiraia kama viongozi wao hawajachukua maamuzi mapema ya kuondoa vikwazo
Uk wameshaanza maandamano
 
👉Kiufupi nina mashaka na hizi ajali za Moto za Urusi kwenye mabomba ya kusafirishia gas, nahisi kabisa hujuma hii anaifanya Mrusi mwenyewe ili kuzibana nchi za Ulaya👈Mmm, upo uwezekano huu,lakini ni mdogo sana kwa kuwa Mrusi mwenyewe anahitaji fedha.Hakuna sababu ya Mrusi kujifanya pumping facilities zina shida,angepunguza tu pumping,tena akasema wazi,pasingekuwa na shida yeyote,si na wao wamemuwekea vikwazo bwana,it's tit for tat,hana haja ya kuficha.

Nadhani most likely hii ni Western sabotage,ili Warusi wakose fedha washindwe ku-finance vita,jambo ambalo wamekuwa wakilitamani na kulisema mara nyingi,hawajaficha kabisa.Hata hivyo kama the West ndio walio-sabotage ni ujinga kwa kuwa wanajiumiza wenyewe.

However,this could also be the dirty work of NWO impostors and morons,because the aspirations of the NWO Elite are completely different from those of the ordinary Western citizenry.

The aspirations of the NWO Elite is to destroy Russia,because it stands on the way of instituting global tyranny and total control of humanity by the NWO.The ordinary citizen of the West however wants a multipolar World with peace and harmony among nations,which is also the aspiration of any sane human being.
 
Tayari naona limesemwa huko juu nikilirudia itakuwa kiporo. Kwa ufupisho zaidi ni Overprinting. Kumekua na Ongezeko la dola nyingi sana kwenye mzunguko ndani ya mda mfupi, Hali inayopelekea mfumuko mkubwa wa bei.

Ukiangalia kiasi kilichoongezeka ndani ya hiki kipindi lau kama dola isingekuwa inatumika sana basi uchumi wa US unge+collapse kama jengo lililopigwa tetemeko.

Kingine nijazilize maelezo ya Ask-Q

Ku-Print fedha kupo kwa aina 2,
1. Ku-print fedha kuongeza fedha hizo kwenye mzunguko na
2. Ku-print fedha ku-replace zile zilizochakaa ambazo zipo ndani ya mzunguko.

Ya kwanza ikifanywa kwa fujo inaugharimu uchumi mazima due to hyper inflation.

Ya pili ni healthy kwasababu supply ya fedha inakuwa maintained na demand hivo value yake pia inakuwa preserved.

Alichokifanya US ni hiyo ya kwanza, kajaza lundo la dola kwenye mzunguko ndani ya mda mfupi.
Mambo yapo well calculated.

Russia imemvizia US katika moment ambayo US yupo weak and vulnerable.

Naona kila siku Fed Reserve wanaangaika kuongeza Interest Rate.

Wiki hii, Kuna masoko mengi ya fedha yamekuwa kwenye red margin kutokana na hii ishu ya Interest Rate.

Option waliyonayo kwa Sasa Ni kuongeza hiyo Interest Rate au wa increase government debt kwa ku buy back hizo dollar kupitia fictitious offshore companies za CIA...
 
Marekani imeyumba sana kwenye uzalishaji . Kidogo Trump alijaribu kufufua viwanda KWA kupunguza kodi na kujiepusha na mavitavita ya kijinga yasiyokuwa na tija kwenye uchumi. US amepata ushindani kwenye bidhaa za kijeshi kwani mataifa mengi yameanza kujitegemea kama India , Pakistan , Turkey na hao wa EU. Mataifa yenye raslimali km Venezuela Iran Saudia nayo yanazilinda kwa faida ya wananchi wao . Upande wa bidhaa za kawaida km nguo magari na huduma km afya na elimu mataifa mengi yameanza kuizidi US mf Ukraine yenyewe imekua kitovu cha elimu , Russia China , South Africa na nyinginezo . Ubabe wa Marekani ni on papers hakuna maajabu lazma uprint noti.
 
Nop Shangazi... Fedha haziingizwi kwenye mzunguko namna hiyo unavyowaza.

Kwamba una print unamaliza unaenda kuzimwaga kwa watumiaji la hasha.

Fedha zinaingizwa kwenyeb mzunguko in term of bill payment. Lel say unahitaji kilo 10 za mchele bei yake 20k, unazama chumbani unafanya prrrrr unachomoa note unaenda kununua....

Ile 20k uliyoitoa chumbani ndio umeiingiza kwenye mzunguko. Na kule ndivyo ilivyofanyika na inavyofanyika siku zote.

Msaada wa maelezo ya data kwa picha ni kama hivi
View attachment 2265197

Unaiona 2020 ilivyokua... That sharp rise? Happ 2021 data zake hazipo. Ila kwa mfano tu utakuwa umeshika kitu.

Kwa mfano mwaka 2022/23 budget ina deficit ya zaidi dollar trillion 1 na chenchi hivi. So hizo fedha zinatoka wapi? Wanajua Fed!

Kingine sio kwamba hawajui, wanajua sana. Toka kitambo mwanzoni kabisa wa mwaka jana nilikuwa nikiwasikia wanalalama kuhusu Fed kuzidisha shughul za Printers [emoji23][emoji23]

Kote huko kwenye social networks na baadhi ya Channels za wale wanaojiita ma-patriots (Sampuli za akina Mdee na Bulaya) wakilikosoa sana hilo swala.

Putin anavyowaambia West kua hawaongozi nchi kwa maslah ya Raia wao, He is sure na kile anachokizungumza.

Hapa sasa unajiuliza anayedai huu upande una demokrasia anamaanisha ipi kama ile "of the people to the people for the people" halipo katika uhalisia.
Hizo pesa nyingi ziliingizwa kwenye mzunguko Kama misaada ya Covid... Kama stimuli package za Covid...

US walipeana Stimuli package nyingi tu za Covid. Watu walipewa hard cash..

Huku kwetu Tanzania na sisi tukaambulia pia pesa za mikopo za Covid

Yaani pesa zilikuwa printed na kutolewa Kama njugu
 
Mkuu si unajua US $ ni Fiat money,it's paper value sio zaidi ya the value of the paper it is printed on na marangi rangi yaliyopakwa humo!Any money which is not pegged to a commodity like Gold or Silver as the Ruble/Rouble is worthless,ni ujinga tu wa watu,na nadhani tunapumbazwa na Talmudic Occult ya akina Rothschild. siku hizi Ndio uiseme,wana-print tu kama fliers,ni upuuzi mtupu.

On the other hand the Ruble/Rouble is pegged to Gold,kwa hiyo ndiyo habari ya mujini.Soma hii👇

Kibabu Joe kilikuwa kinaendesha baiskel kimepiga mweleka hadi kinatia Huruma.
IMG_20220618_222407_012.jpg

Video hapa chini anaonekana vizuri... Again de cause of falling watatwambia ni Putin Strike 😂

What comes around goes around, hii ingetokea kwa Putin Media zote duniani wangeiweka front page na main topic ya siku!
 
Mambo yapo well calculated.

Russia imemvizia US katika moment ambayo US yupo weak and vulnerable.

Naona kila siku Fed Reserve wanaangaika kuongeza Interest Rate.

Wiki hii, Kuna masoko mengi ya fedha yamekuwa kwenye red margin kutokana na hii ishu ya Interest Rate.

Option waliyonayo kwa Sasa Ni kuongeza hiyo Interest Rate au wa increase government debt kwa ku buy back hizo dollar kupitia fictitious offshore companies za CIA...
Wakahisi wanagawa maandazi ya hitma eeh? [emoji23][emoji23][emoji23]

Unakopa kwenda kukopesha ili uonekane una fwedha mam@e!

Hivi sasa washaonesha watu namna gani walivyo vibaka hizo bond zao wazinunue wenyewe, siku zijazo wawekezaji watakimbia US na EU wakiogopa kukwapuliwa na hizi serikali za kisheeenene.
 
Kibabu Joe kilikuwa kinaendesha baiskel kimepiga mweleka hadi kinatia Huruma.
View attachment 2265219

Video hapa chini anaonekana vizuri... Again de cause of falling watatwambia ni Putin Strike [emoji23]
View attachment 2265220

What comes around goes around, hii ingetokea kwa Putin Media zote duniani wangeiweka front page na main topic ya siku!
Nimeinyaka hii nimecheka hadi mbavu zaniuma. Dementia Joe Mada Fanta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bint Cocacola.
IMG_20220618_223150_922.jpg
 
Mi nna swali kutoka 4 trillion dollars hadi 20trilion bila wao kugudundua? Yaani imeongezeka vip? Kila noti ya dolla ina mwaka iliyoprintiwa,alafu zile za zamani zaidi huondolewa kwenye mzunguko na ambazo tuseme n za 2018 zinakua cheaper compared na za 2005 cheapest.

Kwamba walisombeshewa manoti au???
Duh em ongezea na Post yangu Miss wa kaskazini... Post #51,164 kuna maswali yako hapa utajijibu shangazi. Hasa hapo kwenye aina 2 za kuprint fedha.
 
Back
Top Bottom