Hii operation imefanya nijue vingi asee nilikua sijui kama US wanaprint noti, na inabidi ujiulize kwanini US ndo nchi pekee inayoprint pesa zake?. Putin ametuonesha mengi sana, uchumi wa US ni wa kimchongo sana[emoji1787][emoji23].
Eti wanatoa misaada kumbe wanaingia store wanaprint dollar za kutosha, fwallaa sana[emoji1787][emoji1787]
😂😂😂
Kikawaida kila nchi duniani ina Print fedha hizi ambazo tunazitumia. Kuna baadhi wana print wenyewe kama hao US na wengine ambao ndio wengi haswa wana print fedha zao nje ya mipaka ya nchi zao.
Mfano hapa Africa over 40 Countries wanaprint fedha zao hapo Europe.
Alichokifanya US ni over printing!
We all know hii principle ya demand and supply. When the demand become high while supply is fixed basi Value inaongezeka. Na demand inapobaki fixed au kupungua ilhali Supply inaongezeka basi Value inaporomoka.
Yakadiriwa kufikia mwaka 2019, kulikuwa na around 4 trillion dollar kwenye mzunguko. Lakini mwanzoni mwa 2022 kunakadiriwa kua na over 20 trillion dollars kwenye mzunguko.
Maana ake nini? Kwamba jumla ya dollars zote zilizopo kwenye circulation toka 1792 kulipokoma matumizi ya Continental currency kuzaliwa kwa US dollar , 85% katika hizo zimekua printed ndani ya miezi 24 hii ya juzi kati 😂...
So there ndipo ilipo point... Why there record inflation in US.
Sasa kama kawaida ya wajeuri huwa hawakubali makosa, hawakili kukosea, hujiona wako sawa mda wote na ndipo anaangaliwa wa kutupiwa lawama. Ndio maana Putin anawaambia Actions zao wenyewe ndio zinawagharim wala sio Issue ya Ukraine.
Yes, Of course US sio kama Europe. US is rich in resources kama ilivyo Russia na nchi nyinginezo. US ana natural resources worth of 45 trillions dollars, second only to Russia mwenye natural resources worth of 75 trillions dollars.
So excuse ya US kua tatizo ni Russia huko kwao ni invalid. Tatizo lipo kwao wenyewe. Miscalculation, Upuuzi wa viongozi na majina mengineyo unayoweza kuyatumia.
Hii inanikumbusha 2001, enzi hizo kwenye issue ya Sept 11.
On Sept 10, Pantagon ikatangazwa kupotea kwa kama 2.3 trillion dollar hivi halaf siku inayofata Sept 11 kukatokea Ulipuzi wa hilo eneo bila kusahau kule World trade center. Hii ikawa sababu ya wao kwenda Afghanistan miaka 20 na wameteketeza almost 8 trillions dola za walipa kodi wao kwa wachunga mbuzi wa taleban.
2022 huu ni mwaka wa mid-term election hapo US... Chaka la kujifichia ndio hili Ukraine, Nyukraine, Vyukraine, Pussykraine 😂😂 utafikiri ni jimbo la 51 la United Shit of America.