ngaboru
JF-Expert Member
- Mar 3, 2016
- 2,117
- 5,537
Mi pia I wish Africa ingesimama,nikikumbuka alivyosimamia corona kivyetuvyetu na akatoboa yaani angekuwepo nchi ingekua imechangamka.This got me thinking, just me thinking, msiseme namfufua marehemu
Angekuwepo yule mwamba [JPM] inawezekana angetoa li speech moja la kibabe sana hadi tungeunganishwa kwenye sanctions, maana kwa akili zake yule........
Cha ajabu tungekuwa proud maana tushaaminishwa tunajiweza👊💪. Basi tu labda kusudi lilikuwa jema wacha tuishi humo. Yamepita hayo. Tutakukumbuka mwamba.
Ila 😂😂😂😂🙌 tungekua kama zimbabwe na Comrade Mugabe.