Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Kumbe alikua mwanamke?? ameshaing'oa papaIla mpaka sasa Rais wa Ukraine ni mwanaume.
Ameamua kubaki na nchi yake mpaka mwisho.
Alionekana ni commedian mwepesi ila sasa anawaonesha.
Kumbe alikua mwanamke?? ameshaing'oa papaIla mpaka sasa Rais wa Ukraine ni mwanaume.
Ameamua kubaki na nchi yake mpaka mwisho.
Alionekana ni commedian mwepesi ila sasa anawaonesha.
View attachment 2264708
CEO of Russia's largest oil producer Rosneft, Igor Sechin, delivered his keynote speech at the SPIEF:
🔺 The global economic crisis is gaining momentum not because of sanctions, but exacerbated by them;
🔺 Europe 'commits energy suicide' by sanctioning Russia;
🔺 After exhausting sanctions against Iran, Venezuela and Russia, the US can go after their own companies;
🔺 Russia with its energy potential 'is Noah's Ark of the world economy';
🔺 BP announced its withdrawal from Rosneft, but it is still a shareholder and shows its willingness to stay and survive the crisis without any real losses;
🔺 US accusations of Rosneft's participation in supplies of Iranian oil to Europe is absolutely unfounded and groundless;
🔺 Sanctions against Russia have done away with the green transition, as it is no longer needed to manipulate the market
Harafu wengi nato ni mashoga manyangau makenya[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hilo nakuunga mguu maaana akili zao na mawazo yanafanana... kama hujaangalia ID unaweza fikiri mwandishi ni yule yule
Imenishtua kumbe wanaonekana wana pesa kumbe wanayprint chumbani mengi sanaKumbe ndio maana kugawa usd 40 million kwao jambo easy tu. Si wanaingia stoo tu na kuwasha mtambo wa Canon unachapa benjamins za kutosha[emoji23][emoji23][emoji23]
ukweli mm mwenyewe hapa nimeshangaa sana , kumbe Putin anajua na hatuambiiHii operation imefanya nijue vingi asee nilikua sijui kama US wanaprint noti, na inabidi ujiulize kwanini US ndo nchi pekee inayoprint pesa zake?. Putin ametuonesha mengi sana, uchumi wa US ni wa kimchongo sana[emoji1787][emoji23].
Eti wanatoa misaada kumbe wanaingia store wanaprint dollar za kutosha, fwallaa sana[emoji1787][emoji1787]
[emoji23]Harafu wengi nato ni mashoga manyangau makenya
[emoji23]uk
ukweli mm mwenyewe hapa nimeshangaa sana , kumbe Putin anajua na hatuambii
Fafanua MKUU[emoji23]
Ndio keshasema sasa. Ila hii nukta ya ku-Print imeeleweka vibaya wajomba!
Tayari naona limesemwa huko juu nikilirudia itakuwa kiporo. Kwa ufupisho zaidi ni Overprinting. Kumekua na Ongezeko la dola nyingi sana kwenye mzunguko ndani ya mda mfupi, Hali inayopelekea mfumuko mkubwa wa bei.Fafanua MKUU
Shukrani sanaTayari naona limesemwa huko juu nikilirudia itakuwa kiporo. Kwa ufupisho zaidi ni Overprinting. Kumekua na Ongezeko la dola nyingi sana kwenye mzunguko ndani ya mda mfupi, Hali inayopelekea mfumuko mkubwa wa bei.
Ukiangalia kiasi kilichoongezeka ndani ya hiki kipindi lau kama dola isingekuwa inatumika sana basi uchumi wa US unge+collapse kama jengo lililopigwa tetemeko.
Kingine nijazilize maelezo ya Ask-Q
Ku-Print fedha kupo kwa aina 2,
1. Ku-print fedha kuongeza fedha hizo kwenye mzunguko na
2. Ku-print fedha ku-replace zile zilizochakaa ambazo zipo ndani ya mzunguko.
Ya kwanza ikifanywa kwa fujo inaugharimu uchumi mazima due to hyper inflation.
Ya pili ni healthy kwasababu supply ya fedha inakuwa maintained na demand hivo value yake pia inakuwa preserved.
Alichokifanya US ni hiyo ya kwanza, kajaza lundo la dola kwenye mzunguko ndani ya mda mfupi.
We are heading towards a cashless society no doubt about it.And you know what,this is necessary if the idea of controlling humanity 100% can be a reality,which is the aspiration of the NWO Elite.We are right now in a conditioning process by using M-pesa,TigoPesa,Airtel Money etc.
Kiufupi Nina mashaka na hizi ajali za Moto za urusi kwenye mabomba ya kusafirishia gas, nahisi kabisa hujuma hii anaifanya mrusi mwenyewe ili kuzibana nchi za ulaya⏩**Europe 'is commiting energy suicide' by sanctioning Russia
**Russia with its energy potential 'is Noah's Ark of the world economy'⏪ Indeed!