Hizi ndizo story za kwenye kahawa ambazo huwa tunasema[emoji16]
Wewe unahisi US ni dhaifu, Ila Putin hawezi kufikiria hivyo.
Labda tukumbushane si urus ilisema atakae toa misaada atapokea kichapo cha moja kwa moja? Vipi Kuna bomu lishatua US!
Na je unaiona marekani ikiacha kutoa misaada Ukraine? Unafikiri ni kwanini mpaka sasa hajachapwa?
Unahisi wewe unaijua urusi zaidi ya marekani?
Timizeni kwanza mliosema, then ndio mseme marekani ni dhaifu.
US yeye alisema urusi ikipiga hata nzi kwenye eneo ama nchi yoyote ilio chini ya NATO basi atakiona, vipi urusi kashapiga?
Hivi huoni mpaka sasa marekani ni mbabe maana anasaidia hata mtu asie muhusu, vipi ikitokea yeye kaguswa, itakuwaje[emoji16]
Mwisho, acheni story za kahawa, watu hizo ndizo kazi zao, assignments zimefanyika miaka na miaka na wameona wanaweza kupambana na urus, huwezi kumtaka mtu usie muweza.
Kwani we ulitegemea urusi kutoka jasho hivi?